Ila nasikitika sana sikuwahi kuipenda elimu ya chuo hata siku moja.hongera mkuu
Kuna ukweli mmoja nilikutana nao katika soma soma yangu,hasa kwa vijana waliopita CoET. Hapa kwenye kipengele cha malengo,vijana wengi walikuwa hawasomi kwa malengo kwa maana kusoma fani ambazo walikuwa wanazipenda,wengi walikuwa wanasoma fani kulingana na matokeo yao,hapa hasa wadau waliosoma Telecom,au CIT kwa pale UDSM.
Huu utaratibu wa kusoma kwa kufuata matokeo umewaathiri vijana wengi sana na bila shaka wengi wanajuta.
Hii ilikuwa kila alie pata one kali anakimbilia Telecom au CIT,naimani zama Telecom na CIT zimekwisha siku hizi,zimerudi zile zama ukweli na umama wa fani za uhandisi. Hapa najua watanielewa wachache sana.
Ila Secular kizungumkuti sana....
Sent using Jamii Forums mobile app




Uko sahihi !mie naona hamna choices nyingi,watoto wachague course wenye interests nazo . lazima kuwe varieties,kuna course kibao zinazoweza kuwa added kwenye mitala ya secondary na chuo..sio lazima kuingia kwenye u engineer makozi magumu,lol kuna environmental science,Psychology,Accounting,Business ,Photography etc Masomo yanayoweza kusomwa kwenye shule za secondary na baadae chuo
Ila fani za uhandisi zina mitaala mibovu sijapata kuona,ukitaka kuona uozo wa fani hizi uingie mtaani.
Fani za uhandisi kibongo bongo zina mitaala mibovu sana. Ukitaka kuona uozo wa fani hizi uingie mtaani.mie naona hamna choices nyingi,watoto wachague course wenye interests nazo . lazima kuwe varieties,kuna course kibao zinazoweza kuwa added kwenye mitala ya secondary na chuo..sio lazima kuingia kwenye u engineer makozi magumu,lol kuna environmental science,Psychology,Accounting,Business ,Photography etc Masomo yanayoweza kusomwa kwenye shule za secondary na baadae chuo
Hongera sana !Ha haha...nimekumbuka kitu jomonii lol,sio kwa kukomaa kule usiku wa ma8,wadada tulikuwa na sura ngumu kama "string theory",..ngoja niwafikishie salute hizi asee...
Fani za uhandisi kibongo bongo zina mitaala mibovu sana. Ukitaka kuona uozo wa fani hizi uingie mtaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Course zipo specific sana,sema tunakuwa tuko nyuma ya wakati yaani tunayoyasoma sasa wenzetu wametutangulia zamani sana. Hapa unakuta kuna tatizo sehemu mbili,kwanza ni kwa wale waliopewa dhamana ya elimu au fani husika,pili serikali haijawekeza vya kutosha katika fani za uhandisi.ni kweli mkuu,mie nahisi tatizo hizo courses hazipo specific na mazingira yetu,lazima tuangalie mazingira yetu yakoje ndio tutunge mitala ya kusoma...mie nilishawahi kuhisi watu wanasoma vitu viko general huko vyuoni,, unakuta engineer anajenga daraja mvua tu ikipita linavunjika,huyu engineer sio kwamba hajasoma bali amesoma vitu general.....,
Hatimaye tukajikuta PCB na PCM tumeoana. Wanetu nadhani waconcentrate kwenye CBG na PGM ili timu itimie...Kale ka mwisho acha kapambane na HGL familia tusikose mwanasheria. Au unaonaje mama?PCB kwa kweli sijawahi kukosa ajira na mwanza nilisoma ki udadisi tu lakini pia kuna job satisfaction.
Hapo ndipo mnapokosea. Ukweli ni kwamba siasa zimeingilia taaluma ndio maana unajikuta unashangaa tu daktari bingwa wa binadamu anamfanyia operesheni ya kichwa mgonjwa wa mguu...ni kweli mkuu,mie nahisi tatizo hizo courses hazipo specific na mazingira yetu,lazima tuangalie mazingira yetu yakoje ndio tutunge mitala ya kusoma...mie nilishawahi kuhisi watu wanasoma vitu viko general huko vyuoni,, unakuta engineer anajenga daraja mvua tu ikipita linavunjika,huyu engineer sio kwamba hajasoma bali amesoma vitu general.....,
Hahahah wanakuwa Bashite kidizaini...H
Haha,first world war na second manayosoma history mmegundua nyie?halafu ukikosa ajira arts utafanya nn km sio kukimbilia business au kilimo?sayansi waweza kuwa fundi.
Kuchanganya madawa alogudundua mwanasayansi hakukufanyi kuwa mwanasayansi bali kutumia njia za kisayansi kufanya ugunduzi kunakufanya kuwa mwanasayansi.Kutumia nyenzo za kisanyansi kujua historia ya kale hakumfanyi muhusika kuwa mwanasayansi japo kuwa mwanasanyansi anaweza kugundua mambo ya kihistoria kwa kutumia ugunduzi wa kisayansi.
Course zipo specific sana,sema tunakuwa tuko nyuma ya wakati yaani tunayoyasoma sasa wenzetu wametutangulia zamani sana. Hapa unakuta kuna tatizo sehemu mbili,kwanza ni kwa wale waliopewa dhamana ya elimu au fani husika,pili serikali haijawekeza vya kutosha katika fani za uhandisi.
Hapa nina mifano kadha wa kadha. Leo hii utandawazi umerahisisha mambo sana lakini hatuutumii ipasavyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo mnapokosea. Ukweli ni kwamba siasa zimeingilia taaluma ndio maana unajikuta unashangaa tu daktari bingwa wa binadamu anamfanyia operesheni ya kichwa mgonjwa wa mguu...
Choices zinazoweza kumfanya mtu kuwa independent sio kutegemea ajira tu za systemmie naona hamna choices nyingi,watoto wachague course wenye interests nazo . lazima kuwe varieties,kuna course kibao zinazoweza kuwa added kwenye mitala ya secondary na chuo..sio lazima kuingia kwenye u engineer makozi magumu,lol kuna environmental science,Psychology,Accounting,Business ,Photography etc Masomo yanayoweza kusomwa kwenye shule za secondary na baadae chuo