Duh,,,Nani kakuambia hayo masomo ni magumu?? Ugumu unatofautiana kuna wengine history, kiswahili na English ni masomo magumu. Wengine mtihani wa hesabu kabla hatujaingia kwenye chumba cha mtihani tulikiwa tumeshahesabu A.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu, Mm hako biology nilikuwa naona shida aiseee, nafuuu na namba.PCB kwa kweli sijawahi kukosa ajira na mwanza nilisoma ki udadisi tu lakini pia kuna job satisfaction.
.... Unajitofautisha na hawa waliosoma history kwa lipi?....(ingawa history nayo ni sayansi, refer Dk leaky-olduvai george)...
Lakini pia history is the science like other science ndugu tusikariri , ndio maana Kuna ugunduzi wa miji ya kale hata leo na kunu vipimo mbili mbili vya kusaidia kupata accurate data.
Hesabu ndio somo Rahisi zaidi duniani,lakini watu wanaliogopa toka std 1Nani kakuambia hayo masomo ni magumu?? Ugumu unatofautiana kuna wengine history, kiswahili na English ni masomo magumu. Wengine mtihani wa hesabu kabla hatujaingia kwenye chumba cha mtihani tulikiwa tumeshahesabu A.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sana mkuuNilisoma PCB...kilicho nifanya nisome hasa mkumbo na ushawishi kutoka kwa family na friends..kua utaonekana mtabe mtoto wa kiume utasomaje arts bhana..
Kusema kweli PCB sio lelemama kuna jamaa zangu kama wawili walikuaga kama machizi.
Ila nashukuru Muumba nilipiga shule nikaingia chuo cha Afya nikapiga kozi ya Afya..
NOW nakula hela ya serikali..
Ila PCB ni msuli tena msuli kweli..penye ugumu ndo penye mafanikio.
Ila nw natamani sana kozi za uchumi mana kuna watu wanavuta hela sio za kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wa hizi kombi ilikuwa ni kufuata mkumbo na pia STATUS. Ukionekana unasoma hizo kombi wewe ni kichwa.View attachment 848895lol
hao waliosoma hizo kombi walikua wanasoma sana jamani,
Leo nataka kujua was it worth?LOL
naomba mliosoma hizi kombi msaidie watoto wafanye right choice..
ningependa kujua;ulisoma nini kati ya hizo?matarajio yako yalikua nini? umeachieve?nini changamoto ulizokumbana nazo mpaka umefikia hapo?
currently huku mtaani,PCB ni madaktari na PCM ni ma engineer
nauliza hivi kwa nini mnatoka kusoma kozi ngumu advance then mnachagua masomo magumu Zaidi huko chuo???😀😀😀😀😀😀😀😀
je wanafanya hivi kwa kuwa hamna choices nyingi?
Vipi leo laifu umetusu kwa kusoma hayo masomo?Nimesoma PCM sio PCB.....lol
Nachokumbuka physics tu ndio ilinisumbua kidogo nikapata C lakini hesabu na kemia niliweka B flat.
Aaahh mkuu pamoja nahilo, Na katabia ka uchafu kanachangiaAisee mziki wa PCB acha Kabisa. Unasoma Mpka unasahau kuoga
Huyu Dada nampenda kwa sababu kila atakachoandika hata kama ni cha kuhuzunisha ataweka lol ........lolNataka ujue kua likes zangu hua unazipata kwakua hua unaandika 'lol' hua sifikirii sana maudhui yako kuliko hiyo 'lol'