Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 7,210
- 12,708
Akili, juhudi, maarifa...Mkuu mwageni basi formula za kuyafanya masomo hayo yawe rahisi ili wengine wanayoyapenda waweze kujifunza njia za kutoboa kwa urahisi
Akili, juhudi, maarifa...Mkuu mwageni basi formula za kuyafanya masomo hayo yawe rahisi ili wengine wanayoyapenda waweze kujifunza njia za kutoboa kwa urahisi
Elezea zaidi kwenye juhudi na maarifa.Akili, juhudi, maarifa...
Kumuomba Mungu (kuna vitu vipo nje ya uwezo km afya,reality beyond nature), kujali afya ya mwili na akili,kuwa na nidhamu,uvumilivu,ratiba na kujali mambo ya msingi sio upo shule unahangaika na betting,Elezea zaidi kwenye juhudi na maarifa.
Toplayer......hii kitu nilikuwa nachukua alaf nasubir maharage ya mwisho nachanganya na top layer...aisee unakuwa hautaman kupata likizoMida hiyo ya saa 11-12 nilikuwa napumzika kama wewe na pia nilikuwa nautumia muda huu vizuri kuwahi msosi jikoni ili nichukue toplayer..toplayer ni habari nyingine kabisa shuleni..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhhhh....mkuu asanteh...inaonekana tumematch kwenye techniques za kusoma....Na mimi nilikuwa na ndoto kama zako.
Siku wakati tunajaza fomu za kuchagua shule za A-level, nilijishauri sana kivipi nitaweza kuchaguliwa shule maalum kama Mzumbe, Kibaha, Ilboru na Tabora boys kwa urahisi.
Nikaangalia historia ya nyuma kidogo kwa waliotutangulia nikabaini ili uweze kuchagulia hizo shule kwa ufaulu wa kawaida ni vyema uchague PCB, ndio nikaichagua PCB ya kwanza, lengo likiwa nikichaguliwa hizo shule nitaenda kubadili niende PCM.
Lakini baada ya selection kutoka nikawa sijafanikiwa kuchagulia miongoni mwa hizo shule.
Pia nikashauriwa kutobadili comb, nikakubali kusoma PCB kwa shule niliyochaguliwa maana niliambiwa utakuwa Daktari na mimi nikaridhia.
Nilikomaa kufa na kupona, nikafaulu na kufurahi sana, nikafanya Application za MD nikagonga mwamba japo nioibahatika kuchaguliwa kozi nyingine ya AfyaPia mimi Phyz niliipenda sana na nilitumia muda mwingi na gharama kubwa kuisoma kuliko masomo mengine, huku wenzangu wa PCB walikomaa na Bios na Chemia.
O-level nilisoma Addition Maths kwa sababu nilikuwa na ndoto za kusoma PCM, hilo lilinisaidia sana kusoma BAM na nilikuwa naifaulu sana kwa kupata A huku nikowa naisoma kwa siku chache kabla ya mtihaniChemia nilikuwa naisogeza bila shida ila Bios kukariri ilisaidia japo nilikuwa natumia muda mwingi kuikariri
Na mimi pia hivyo hivyo nilikomaa na Phyz na ndio iliyoniokoa kwa ufaulu wa kuridhisha maana Bios sikufaulu vizuri kama wengine wabobezi wa PCB kwa kukomaa na Bios na Chemia
Kweli kabisa mkuuHahhhhh....mkuu asanteh...inaonekana tumematch kwenye techniques za kusoma....
Sent using Jamii Forums mobile app

Ukishakimbilia CBG udaktari na kozi zote za afya unazipa mkono wa kwa heri!!!!!!!!!! Ila kozi nyingi za huko SUA ndo mahali pake!!!

UshirikianoElezea zaidi kwenye juhudi na maarifa.
Unaonekana ni jinsi gani ulivyo kilaza toka form 2 eti theory ya Newton hata hujui kutofautisha kati ya theory na law.Pole kwa hilo pia hujui kma kuna Theoretical and Practical Physics ukijua hvo vitu hautaandika huo upuuzi tena.Hawa walisoma 'historia' tu ya sayansi(pcb and pcm), ukitaka kujua walisoma historia ya haya masomo waulize ni kipi walichogundua. Wanakariri theory zilezile za kina Isaac newton, au archimedes hahahaha, afterall tunafurahi kuwa nao,simply because they give us challenges...
Nilisoma PCM sababu ilikuwa rahisi kwangu.View attachment 848895lol
hao waliosoma hizo kombi walikua wanasoma sana jamani,
Leo nataka kujua was it worth?LOL
naomba mliosoma hizi kombi msaidie watoto wafanye right choice..
ningependa kujua;ulisoma nini kati ya hizo?matarajio yako yalikua nini? umeachieve?nini changamoto ulizokumbana nazo mpaka umefikia hapo?
currently huku mtaani,PCB ni madaktari na PCM ni ma engineer
nauliza hivi kwa nini mnatoka kusoma kozi ngumu advance then mnachagua masomo magumu Zaidi huko chuo???😀😀😀😀😀😀😀😀
je wanafanya hivi kwa kuwa hamna choices nyingi?
Kuna ukweli mmoja nilikutana nao katika soma soma yangu,hasa kwa vijana waliopita CoET. Hapa kwenye kipengele cha malengo,vijana wengi walikuwa hawasomi kwa malengo kwa maana kusoma fani ambazo walikuwa wanazipenda,wengi walikuwa wanasoma fani kulingana na matokeo yao,hapa hasa wadau waliosoma Telecom,au CIT kwa pale UDSM.Kikubwa malengo,halafu wengine husoma PCM kwani ina uwanja mpana wa kuchagua course chuo IKIWA UMEFAULU, arts kufaulu si ngumu kama science,ila ni njia ipitwayo na wengi hivyo ushindani mkubwa,mtu aweza pata div 2,akakosa chance nzuri chuo,kupata Div one pt 3 ni ngumu kwa arts lakini kufail sio rahisi,nmechoka kuandika
Kugundua bro haujawahi kuwa lengo la kusoma hata kwa hao wagunduzi. Yalitokea tu,ila lengo lilikuwa au ni kujua na kufanyia kazi kile unacho kijua.Hawa walisoma 'historia' tu ya sayansi(pcb and pcm), ukitaka kujua walisoma historia ya haya masomo waulize ni kipi walichogundua. Wanakariri theory zilezile za kina Isaac newton, au archimedes hahahaha, afterall tunafurahi kuwa nao,simply because they give us challenges...
Inaonekana wewe ni wa kitambo kidogo,kwani hata field ya uhandisi hasa umeme miaka hiyo iikuwa Tanesco walikuwa wanakuja CoET wanawachukua tu wahitimu wanaingia kazini. Zama zimebadilika sana siku hizi. Hali hiyo haipo tena siku hizi.PCB kwa kweli sijawahi kukosa ajira na mwanza nilisoma ki udadisi tu lakini pia kuna job satisfaction.