View attachment 848895lol
hao waliosoma hizo kombi walikua wanasoma sana jamani,
Leo nataka kujua was it worth?LOL
naomba mliosoma hizi kombi msaidie watoto wafanye right choice..
ningependa kujua;ulisoma nini kati ya hizo?matarajio yako yalikua nini? umeachieve?nini changamoto ulizokumbana nazo mpaka umefikia hapo?
currently huku mtaani,PCB ni madaktari na PCM ni ma engineer
nauliza hivi kwa nini mnatoka kusoma kozi ngumu advance then mnachagua masomo magumu Zaidi huko chuo???
😀😀😀😀😀😀😀😀
je wanafanya hivi kwa kuwa hamna choices nyingi?