Salute kwa waliosoma PCB/PCM

Salute kwa waliosoma PCB/PCM

Huo ndo ukweli mkuu mi nlikimbiaga history sio ilikuwa ngumu nlikuwa naichukia so hata nkisoma vipo sivuki c mwisho nkaamua kukomaa na mengine koz lengo ilikuwa ku injinia nkaamua kupita na pcm so kabla yakufanya kitu kipende kwanza ugumu hautauona japo pcm sikufaulu vizuri lakin mpaka kesho sioni ugumu wake,nlitafuta B ya history ili niwe na dv nzuri lakin pamoja nakuisoma ilinishinda nkahamia biology nliona ngumu lakin sikuichukia mwisho nlifaulu vizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza penda somo lisikupende mkuu!so cha muhimu ni kupenda,kuliweza,material/msaada wa walimu au wenzako ndio vitasaidia kufaulu kwako
 
Unaweza penda somo lisikupende mkuu!so cha muhimu ni kupenda,kuliweza,material/msaada wa walimu au wenzako ndio vitasaidia kufaulu kwako
Ukishalipenda hata lisipokupenda ugumu wake hauta utambua ila ukichukia somo hase ndo utajua ni ngumu kiasi gan kuna watu wanachukia maths kiasi kwamba akiambiwa elfu kumi jumlisha elfu atakwambia hilo swali haliwezi kisa ni mtihani wa maths mpe hela uone ka atashindwa kujua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiswahili na History mbona ndio magumu. Yaani mimi kukariri miaka ya watu kuzaliwa, kupigana, kufa nk ilinishinda kabisa. Masomo ya sayansi yamenifikisha mbali lakini hata hivyo kwa sasa natamani uchumi. Najua hii ni nature ya binadamu tu - kutaka kile asichokuwa... Mrefu anataka kuwa mfupi, mfupi anataka kuwa mrefu nk.
Mrefu hajawahi tamani kuwa mfupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtabe mmoja wa PCM tulkutana chuo kwenye course ya finance.
Nkawa namuuliza Newton's laws zinakusaidia nini hapa tulipo??

Hadi kesho hajanipa majibu huyu banker wa sasa hivi na pcm wa zamani.
HV watanzania mtaacha lini ujinga wa kuhisi sayansi haina msaada .. HV unafikiri simu unayotumia imetoka kwenye muembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uungwana clasmadness 28136757 said:
Ukishalipenda hata lislakenda ugumu wake hauta utambua ila ukichukia somo hase ndo utajua ni ngumu kiasi gan kuna watu wanachukia maths kiasi kwamba akiambiwa elfu kumi jumlisha elfu atakwambia hilo swali haliwezi kisa ni mtihani wa maths mpe hela uone ka atashindwa kujua

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ila determinant ya kisucceed kwenye somo fulani si moja tu,mapenzi ni sababu moja(ili ufaulu no muhimu kulipenda somo,lakiniuwezo(IQ) ni muhimu.Sema hiyo huioni kwa kuwa mara nyingi huwezi kupenda somo ambalo unapata 5,au 10!
 
View attachment 848895lol

hao waliosoma hizo kombi walikua wanasoma sana jamani,

Leo nataka kujua was it worth?LOL

naomba mliosoma hizi kombi msaidie watoto wafanye right choice..

ningependa kujua;ulisoma nini kati ya hizo?matarajio yako yalikua nini? umeachieve?nini changamoto ulizokumbana nazo mpaka umefikia hapo?

currently huku mtaani,PCB ni madaktari na PCM ni ma engineer

nauliza hivi kwa nini mnatoka kusoma kozi ngumu advance then mnachagua masomo magumu Zaidi huko chuo???😀😀😀😀😀😀😀😀

je wanafanya hivi kwa kuwa hamna choices nyingi?
Daaaaahhh! PCB si mchezo, nimepata tabu sana kuanzia A-level hadi Chuoni.

Yote kwa yote , Mungu ni mwema
 
M
Nilisoma PCM sababu Kiswahili kilinikataa kabisa hasa fasihi. Na history kuandika mavitu marefu na mimi mwandiko wangu mdogo. Chuo sikusoma engineering japo natamani nirudi nikasome Civil.


Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE wa science wengi ndo ivyo,mwenyewe niliweka malengo ya kupata A history nkaishia B arts zote zikakubali A zote science olevel
 
Kuna mtabe mmoja wa PCM tulkutana chuo kwenye course ya finance.
Nkawa namuuliza Newton's laws zinakusaidia nini hapa tulipo??

Hadi kesho hajanipa majibu huyu banker wa sasa hivi na pcm wa zamani.
Maisha yako takriban yote,yamezunguukwa na sayansi hususan hiyo PCM na PCB

kushindwa kwake kujibu,haina maana ameshindwa kukujibu,huenda hana muda na maswali ya ajabu ajabu
au anatafuta jibu sahihi la kukujibu kutokana na uwezo wako wa kufikiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wazee wenzangu tuliopiga pcb tupunge mkono..unasoma magnetism,ukitoka hapo unasoma coordination..yaan full kuchanganyana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ratiba yangu ilikuwa lazima niguse masomo yote kwenye Comb kila siku.

Asubuhi nikiunganisha na vipindi vya kawaida mathalani nasoma Biology.

Mchana baada ya Lunch nasoma Chemistry.

Usiku muda wa prepo napiga Physics.

Kwa ratiba hiyo napata muda wa kupumzika kwa lisaa limoja kuanzia saa 11 kamili jioni hadi saa 12 kamili ambapo ndio ulikuwa muda wa menu ya jioni.

Hii ratiba niliisimamia ipasavyo japo iliweza kualternate lakini kila somo nilikuwa naligusa.

Msuli wa PCB sio lelemama ikizingatia ukiwa na kichwa kizito unapata tabu sana.
 
Maisha yako takriban yote,yamezunguukwa na sayansi hususan hiyo PCM na PCB

kushindwa kwake kujibu,haina maana ameshindwa kukujibu,huenda hana muda na maswali ya ajabu ajabu
au anatafuta jibu sahihi la kukujibu kutokana na uwezo wako wa kufikiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubali umuhimu wa PCMB katika maisha ya binadamu.

Jamaa tulisoma nae shule moja O level. A level akachagua P kunani mie nkachagua biashara.

Chuo tukakutana course ya finance. mtabe wa PCM nkawa namshushia financial accounting kama maji vile.

Hakwenda kusoma hayo masomo ya science. Sasa kwa nn ajiangaishe kote huko??

Bora angeliunga tuu moja kwa moja.
 
Kama kwako ni gumu huo ni uzembe wako ama ni akili yako tu.. Mbona kuna watu wanasoma hkl na wanapata 0 lakini mtu anasoma pcm anapata 1 (hakuna 1 rahisi kupata kama pcm)

Itabidi nyie mliosoma PCMB kutoa hizi formula rahisi za kutoboa kwenye hayo masomo.
Msaada wenu utawanufaisha vijana wengi sana.
 
Itabidi nyie mliosoma PCMB kutoa hizi formula rahisi za kutoboa kwenye hayo masomo.
Msaada wenu utawanufaisha vijana wengi sana.
Mimi kama una kijana wako niunganishe ni mpe mbinu..

Kusoma bwana muda mwingine unatakiwa uwe na sababu ya kwanini unasoma.. Na hiyo sababu sio zile za kujazilizwa na wazazi au walimu bali ni wewe mwenyewe kutoka ndani yako...

Mfn mimi nilikuwa na sababu nilikuwa mseminari, nilichujwa kwa kutofikisha wastani wa GS na Divinity nikiwa f5...

Na nilifanikiwa kuwapita vijana wao wote masomo ya sayansi hakukuwa na div 2 hata ya kusingiziwa.
 
Back
Top Bottom