Hakuna somo gumu hapo,hata hayo wanatofikiria ni mepesi,kama ya Sana'a na biashara,watu wanafeli,View attachment 848895lol
hao waliosoma hizo kombi walikua wanasoma sana jamani,
Leo nataka kujua was it worth?LOL
naomba mliosoma hizi kombi msaidie watoto wafanye right choice..
ningependa kujua;ulisoma nini kati ya hizo?matarajio yako yalikua nini? umeachieve?nini changamoto ulizokumbana nazo mpaka umefikia hapo?
currently huku mtaani,PCB ni madaktari na PCM ni ma engineer
nauliza hivi kwa nini mnatoka kusoma kozi ngumu advance then mnachagua masomo magumu Zaidi huko chuo???😀😀😀😀😀😀😀😀
je wanafanya hivi kwa kuwa hamna choices nyingi?
Kabisa mkuu, ugumu wa kitu ni wewe mwenyewe tu. Pana wengine hata kumtongoza mwanamke huona vigumu.Nani kakuambia hayo masomo ni magumu?? Ugumu unatofautiana kuna wengine history, kiswahili na English ni masomo magumu. Wengine mtihani wa hesabu kabla hatujaingia kwenye chumba cha mtihani tulikiwa tumeshahesabu A.
Sent using Jamii Forums mobile app
Theory ni zile ila kuna namna ya kutumia afu hakuna anayesoma historia ya sayansi kwa sababu sayansi ipo na vifaa vilivyotengenezwa kwa hizo theory zipo na tunaviendeleza na kuviboresha sio lazima tugundue vitu vipya sasa mtu aliyesoma vita vya kwanza vya dunia kwa sasa vitasaidia nn maana hata vikitokea vita vya tatu vya dunia vitakuwa vita vingine tofauti kabisa na vile vya kwanza,....Narudia ndugu Motcu, moja ya misingi mikubwa ya sayansi(pcb and pcm) ni ugunduzi, na sio historia ya uanasayansi. Tatizo huanzia kwenye ufahari wakati wa uchaguzi kuliko inavyodhaniwa katika application yake. Mathalani, unajihitaje mwanasayansi kwa kutumia chemicals, za wanasayansi wenzio maabara au whatever? Unajitofautisha na hawa waliosoma history kwa lipi?....(ingawa history nayo ni sayansi, refer Dk leaky-olduvai george)....ukija kwenye hoja ya kuajiriwa ni kweli ,lakini ukija kwenye innovation, theories ni zilezile miaka nenda rudi. Wanasayansi mjiongeze ili kuendana na kasi ya viwanda, na uchumi wa kati. Kumbuka mnategemewa sana.
History siyo sayansi bhana ila sayansi inasaidia history maana vifaa vinavyotumika kugundua vinatengenezwa kisayansi na sio kihistoryLakini pia history is the science like other science ndugu tusikariri , ndio maana Kuna ugunduzi wa miji ya kale hata leo na kunu vipimo mbili mbili vya kusaidia kupata accurate data.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakin pia kupata o ni rahisi kama ilivyo rahisi kupata 1Kama kwako ni gumu huo ni uzembe wako ama ni akili yako tu.. Mbona kuna watu wanasoma hkl na wanapata 0 lakini mtu anasoma pcm anapata 1 (hakuna 1 rahisi kupata kama pcm)
Hayo masomo sio magumu tatizo watu wameaminishwa maana kama msingi mzuri mtu hakuupata form one ama alipuuzia form 1 and 2 kama somo la Chemistry ndio basi tena na hapo ndio huwa chanzo cha tatizoInabidi tuwaonyeshe watoto wetu kuwa physics, chemistry, biology na maths sio masomo magumu kama wanavyoaminishwa.
Tuliosoma combi hizo, japo wengine tulisoma PGM, CBG etc hatuna tofauti na waliosoma HKL, HGL ambao wanadhani masomo hayo ni rahisi zaidi.
Dah....ndiyo maana nchi haiendi mbele.....tunasoma masomo ili tuwe watu fulani baadaye....badala ya kusoma masomo TUNAYOYAPENDA ......ndiyo maana siyo ajabu kumkuta daktari akijifunza namna ya kutengeneza chachandu ya mbilimbi kwa ajili ya pilau ndani ya chumba cha upasuaji...au kumkuta dereva wa daladala akijifunza Plankalkül programming 😡View attachment 848895lol
hao waliosoma hizo kombi walikua wanasoma sana jamani,
Leo nataka kujua was it worth?LOL
naomba mliosoma hizi kombi msaidie watoto wafanye right choice..
ningependa kujua;ulisoma nini kati ya hizo?matarajio yako yalikua nini? umeachieve?nini changamoto ulizokumbana nazo mpaka umefikia hapo?
currently huku mtaani,PCB ni madaktari na PCM ni ma engineer
nauliza hivi kwa nini mnatoka kusoma kozi ngumu advance then mnachagua masomo magumu Zaidi huko chuo???😀😀😀😀😀😀😀😀
je wanafanya hivi kwa kuwa hamna choices nyingi?
All in all hakuna somo gumu... Ni sawa na ule usemi.. Uzuri wa mtu upo machoni mwa mtizamaji/mpendaji
Mkuu umenena, nimesomea engineering lakini natamani sana uchumi. Sijui hata kwanini!Kiswahili na History mbona ndio magumu. Yaani mimi kukariri miaka ya watu kuzaliwa, kupigana, kufa nk ilinishinda kabisa. Masomo ya sayansi yamenifikisha mbali lakini hata hivyo kwa sasa natamani uchumi. Najua hii ni nature ya binadamu tu - kutaka kile asichokuwa... Mrefu anataka kuwa mfupi, mfupi anataka kuwa mrefu nk.
Huo ndo ukweli mkuu mi nlikimbiaga history sio ilikuwa ngumu nlikuwa naichukia so hata nkisoma vipo sivuki c mwisho nkaamua kukomaa na mengine koz lengo ilikuwa ku injinia nkaamua kupita na pcm so kabla yakufanya kitu kipende kwanza ugumu hautauona japo pcm sikufaulu vizuri lakin mpaka kesho sioni ugumu wake,nlitafuta B ya history ili niwe na dv nzuri lakin pamoja nakuisoma ilinishinda nkahamia biology nliona ngumu lakin sikuichukia mwisho nlifaulu vizuri sanaAll in all hakuna somo gumu... Ni sawa na ule usemi.. Uzuri wa mtu upo machoni mwa mtizamaji/mpendaji