Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

Mabishoo watabidi tu wakate mauno kucheza wanseketa salomeee kwakuwa diamond amei-pimp ...
Safi kazi nzuri ujanja-ujanja flani mradi mtonyo uingie.
 
Sauti ya nyimbo nzuri!! Ila wamekosea mavazi wangevaa kihaya au ya kitanzania sio ya kinigeria
 
Huu ushindani!!
kiba na baraka vs WCB
ngoja tuone ngoma ipi itatoboa.
 
Diamond alitakiwa kupata ruhusa kwa saida,.Duniani kote wasanii wakubwa wana utaratibu huu,.mfano ngoma aliyofanya mayunga na akoni chorus ilikuwa ya msanii wa zamani kutoka afrika ya kusini..walipata kibali(walitoa mtonyo) ndio wakapewa ruhusa ya kuachia ngoma
 
Kiukweli huu wimbo mpya wa diamond na Raymond hapana kabisa.
Raymond namkubali Sana kwa tungo zenye akili BT hii melody haifanani na viwango vya diamond
Au ndo kutoa kwa mashindano tu pasi na kujali itoke ipi
Mmh!!!!!
Wenye wivu wajinyonge wenye wivu wajinyonge
Wanakodoa kodo wanakodoa kodo
 
mbona beat ya saida karoli
Kiukweli huu wimbo mpya wa diamond na Raymond hapana kabisa.
Raymond namkubali Sana kwa tungo zenye akili BT hii melody haifanani na viwango vya diamond
Au ndo kutoa kwa mashindano tu pasi na kujali itoke ipi
Mmh!!!!!
 
Ni kosa la jinai msanii kucopy kazi ya mwenzio, hapo adhabu itakua si chini ya 700 millions
 
kama ataendelea hivi 2017/18 unaweza usiwe mwaka mzuri kwa diamond kuna kitu nakiona kwa jicho la nne! ajipe muda wa kutoa ngoma zake!
 
Back
Top Bottom