Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

diamond kazindua wimbo wake mpya ni ule wimbo wa saida karoli wa salome kaumix mix
mwanasheria wa saida anapanga kwenda mahakamani
itakuwa nafasi ya saida karoli kurudi kwenye mziki maana atalipwa mamilioni naona
tusubiri tuone

This Song was written by Diamond Platnumz & Rayvanny in Tanzania 2016... The beat was produced, mixed and got Mastered by Lizer from Wasafi Records Tanzania....The Video was shot in Tanzania by Director Nicorux from South Africa, on the 10th of April 2016.
Wanakodoa kodo team kibakuli wanakodoa kodo wenye wivu wajinyonge team kibakuli macho kuvimba wataisoma
 
Wanakodoa kodo team kibakuli wanakodoa kodo wenye wivu wajinyonge team kibakuli macho kuvimba wataisoma
mimi sio team kiba hata kidogo mimi ni team mond halafu humu tunajadili mada kwa mapana yake sio kwa jazba uswahili peleka insta mkuu
 
AJE ya KING KIBA inamchanganya sana MONDI hadi usingizi hapati naona anatoa toa nyimbo ovyo mara na papa wemba mara atumie beat ya french montana mara atoe salome yaani jamaa anahaha na AJE STILL IKO HOT
 
kwl wAtz hatuna akil na kuendelea ni ngumu...kla cku ni majungu tu ilimrad m2 aonekane hawez
 
Nyimbo nzuri. Raymond bado anaonekana kuwa genius katika kuandika mashairi(nimependa sana mashairi yake yametulia sana).Nimependa zile tafsida walizotumia kwenye mashairi yao.
Lakini video ni kali though uvaaji na uchezaji hauendani na asili ya nyimbo ( labda kwa sababu saida alitoa katika lugha ya kihaya). All in all this dude is creative.
 
Back
Top Bottom