Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,105
Kuna watu walisema Diamond ameiba hii nyimbo. Sasa Salaam meneja wa Diamond kajibu kwa kupost hiii kitu hapa chini.
View attachment 402813
Uliyosema yote ni kweli tupu lakini naomba nikusahihishe kitu kidogo tu! Alichofanya Diamond hakiitwi ku-copy bali sampling! Ku-copy ni pale unapo-manipulate wimbo wa mtu mwingine bila ruhusa ya mmiliki wa original material!! Bila shaka hili ndio kosa kubwa kuliko yote na very embarrassing kwenye masuala ya copyright law!! Na kama ulivyosema, ni mambo ya kawaida sana, hayajaanza jana wala juz... na wala hayataisha unless copyright laws zikataze kufanya hivyo!!Sisi watanzania cjui ndo tuseme hatujui au ni kaushamba.huu wimbo diamond kautendea haki sana yani mpaka naogopa.kukopy melody au baadhi ya mistari kwenye wimbo ni kawaida ata wenzetu wa ulaya na marekani wana fanya ivyo ..nyimbo nyingi tuu watu wana copy kwa mfano wimbo wa do for love wa 2pac kuna melody na maneno kachukua kwa bob caldwell na kama ngoma ile ya 50 cent wait until tonight nayo kafanya the same kutoka kwa bob womack nawengine wengi wamefanya ivyo ....sembuse kwa diamond.piga kazi kaka, salome wimbo mmoja mtamu na umekaaa kitamaduni zaidi haujawai tokea. Cha msingi yule mama apewe taarifa maana siunajua naye nyumba yake ilibomoka!?
Ukifanya sampling, haki ya new song from sampled song inakuwa ya nani?!Mbumbumbu mwisho wataamsha habari za lady jaydee na siwema.Wafa maji..Haki ni tamu ikiwa yako.
Hii nyimbo unganisha nyimbo 20 za diamond ndio uufikie aje ,sikiliza nisamehe ya Baraka halaf sikikiza alipoimba kiba weweeeUcheshi na sautieee
Amenifanya nammiss tuu
Mwambie asiogope
Aliii ni kipenzi cha watuu
Nitafanya party nyumbani
Hiyo yote kwa ajili yake
Tena asije peke yake
Asiogope aje na rafiki zakee
King kibaaaa AJE hizi ndio nyimbo za kudikiliza sio kukopy kopy tu nyimbo za watu hapa
Kula like yangu mkuuKiukweli kwa mara ya kwanza ndiyo nimemkubali jamaa

Na ww pata like yangu aiseeMtanisamehe mashabiki
Kwa mara ya kwanza kupenda wimbo wa diamond...eti cjawahi kupenda nyimbo zake ila huu sawa
Wimbo na idea ya saidaDah, kweli wasafi wamebarikiwa nimesikiliza wimbo wa diamond na rayvanny ni noma sana, Hawa vijana wanajua wimbo umeachiwa hata SAA haujamaliza nimeuelewa sana