Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

hayo mambo ya kukopi umeleta wewe...mimi sijazungumzia kukopi maana hakuna jipya chini ya jua nilichosema mimi ni kuwa Nisamehe ndio wimbo mbovu toka nimjue Baraka kama unabisha nipangie kwenye hizo ngoma zake ipi itakuwa ya mwisho alafu utaelewa ilipo Point ya msingi

Ali Sample wimbo wa kimasomaso dunia nzima tunajua ni wimbo wa Issa Matona je hiyo ilifanya wimbo huonekani mbovu kisa ali-Sample?!

Jide alirudia Wimbo wa Siweza
Mr.Paul akarudia Zuwena
Christian Bella akarudia Ukimuona

So kurudia wimbo sio kosa na hakufanyi wimbo uwe bovu ukiringanisha na mwingine..na ujue kutofautisha ku-copy na sampling ni vitu viwili tofauti japo zinafanana

Nakupa mfano Bella kwenye wimbo wa Ukimuona ile ni Copy au cover..Na wimbo wa Ali Kimasomaso au huu wa Salome hizi ni Sampling na hiyo inatokea dunia nzima na sio Dar es Salaam peke yake


[HASHTAG]#TeamKariakoo[/HASHTAG]
Hehee wala usijichoshe mwaya hawa team kariakoo wameshaambiwa waambie dada zao waende ulaya jamanii labda watabadilikaa
 
1474231732687.png
 
Unajua watanzania tunashangaza hao wanamuzki wa kimataifa huwa hawacopy nyimbo au vp mbna msanii km nick minaj kashawah kukopi wimbo wa david guetta lakin wabongo mara oooh kaanza kuishiwa tena me nampongeza kwa kumtafutia kiki saida kabasi
Ni kitu cha kawaida sana katika nchi za ng'ambo hakuna msanii hajawahi kufanya hata Kanyewest na Jay Z wanafanya sana basi tu wabongo tirarira nyingiiiiii
 
Diamond kazindua wimbo wake mpya ni ule wimbo wa Saida Karoli wa Salome kaumix mix.

Mwanasheria wa Saida anapanga kwenda mahakamani. Itakuwa nafasi ya Saida Karoli kurudi kwenye muziki maana atalipwa mamilioni naona. Tusubiri tuone.

This Song was written by Diamond Platnumz & Rayvanny in Tanzania 2016. The beat was produced, mixed and got Mastered by Lizer from Wasafi Records Tanzania. The Video was shot in Tanzania by Director Nicorux from South Africa, on the 10th of April 2016.
Jisikie aibu wewe!! Hivi hujiulizi wimbo wa Saida Karoli unaitwa Salome na Diamond nae kauita Salome?! Kama ingekuwa amefanya hicho unachotaka watu waamini (kaiba wimbo) unadhani angeuita kwa jina lile lile la original song?! Ni kwamba hufahamu kuna kitu kinaitwa Music Sampling, au?!
 
Lyrics zake zinanikosha.tukimbizane nini salome wangu, hiyo michezo ya kijogoo. Inama kidogo,shika magoti.mimi nimesimama kama ngongoti. Hapo ni kimafumbomafumbo.
 
Hahhaaa kuwahi kutokea katk nchi ya Tanzania au Nigeria??? Maana maneno tu ya kitanzania lakn video ni unigeria mtupu.. Poor Tanzania
Tena kama huyo kwenye ni wewe kafumue hizo nywele tupia tatu kichwa utaeleweka. Hizo Rasta hizo ni zako?
 
Ni kitu cha kawaida sana katika nchi za ng'ambo hakuna msanii hajawahi kufanya hata Kanyewest na Jay Z wanafanya sana basi tu wabongo tirarira nyingiiiiii
Unafikiri ni utahira basi chuki tuuu
 
I dont know much about music lakini what i think ni kwamba yawezekana Diamond kafanya kitu kinaitwa sampling. Wasanii wa sikuizi wanachofanya wanacopy baadhi ya vipande vya nyimbo za zamani au hata melody na tune kabisa then wana modify wanaweka manjonjo au wanaibadilisha wanavooona wao inafaa then wanaachia mzigo. Mimi wala sishangai ingia chart za billboards top 100 ya mwezi huu utaona kuna ngoma ya BoB Marley-Is this love na kuna Tory Lanez-Luv ni mfano wa nyimbo zilizofanyiwa sampling na nyingine nyingi tu nikianza kumention hapa sitomaliza . Tory Lanez ametengeneza jina kwa kufanya sampling za nyimbo za watu.Anyways ngoja tuone itakuwaje lakini mi sidhani kama kaiba,lazima atakua kawasiliana na management ya Saida.
Ngoja tusubiri
 
Sasa kwenye hiyo video tamaduni yenu tz iko wapi? Hahaaa nyie hamko serious kabisa wimbo huo kaimba Saida ni wa asili ya Kitanzania mm sijasema aonyeshe asili ya wahay angeonyesha asili yetu watz kwasababu mziki Una tamaduni yetu au uquality wa video ni mavaz ya kinigeria ndo inakuw video quality au angetengeneza video yenye Asili ya kitanzania ndo isingetazamwa kwani huwez kuvaa kitz na ukatengenezea video SA lkn ikaonekana Ina mahadhi ya Tz, hoja zenu hazina mashiko kubali mkatae boss wenu huyo Ana unigeria mwingi mpaka anaboa .. Watz hamjikubali
kwahyo bongo hatuvai vitenge?
tunda hajavaa kitenge?
na wale wadada wenye nyungo?
moseiyobo kajifunga nini?
au hizo kwachu kwachu ndo zimeharibu...
na hio makeup ya maznat????
 
Back
Top Bottom