Mkuu Masatu hutaki kunielewa tu japokuwa nina eleweka .WAMA nimeamua kuandika hapa kuuliza baad ya kuona mienendo yake inatishia hata umoja wa kitaifa .WAMA imefika wapi ikiwa ina miaka 3 ? Mbona WAMA iko kama JK kufika Mwanza na Mara zaidi ya mara 10 wakati ni mwaka wa 3 hajakanyaga Mbeya ?
WAMA ina ujanja wake na malengo yake naamini si sahihii.
Kuna jamaa yangu yeye yuko karibu sana na WAMA kanieleza haya huko pembeni nami simtaji ila naweka maoni yake wazi hapa .Tunahitaji kuwa waangalifu sana na hizo moves za ajabu ajabu na wakubwa ama wake wa Wakubwa .Kuna jingine nalo laja kwa sasa nasimamia WAMA .Mkubwa huyu yeye kanieleza haya hapa chini so pimimeni muone ukweli ama uongo wake .
E bwana umepiga panapotakiwa, huyu mama anazuga sana na hiyo kitu, halafu pia sasa anawatumia waisilamu wenziwe sana katika kutafuta wafadhili nje, as the results siku hizi huyu mama aklienda nje ni wabongo waisilamu, tu wakisaidiwa na waisilamu kwenye mabalozi yetu ndio wanakuwa na access naye huyu mama kwa sababu tu ya kudai wanaweza kumsaidia wafadhili wa kuisaidia wama, matokewo yake haya protocol za sheria za jamhuri hazifuatiwi kwa sababu tu ya hii kitu wama,
Halafu je hii ni shughuli ya serikali au yake binafsi? Mboan wafanyakazi wa serikali wanalazimsihwa kufuatilia habari za wafadhili wanaoyaka kutoa msaaada kwa hiii wama, kwani ni part ya kazi ya serikali kwa wananchiw etu wanaoifanyia kazi serikali?
Wananchi wanaokataa kutumiwa na huyu na mama na hii wama mbona hutishiwa sana na wasaidizi wa huyu mama na yeye mwenyewe pia?
Hapa mkuu umegusa panapotakiwa!