Salma Kikwete na WAMA vipi?

Salma Kikwete na WAMA vipi?

Mambo kama haya ni kutufumba macho tu, nae aonekane amefanya kitu cha akili. IIla amejitahidi, kwa Lindi ana sponsor wasichana 45 kuwasomesha shule tofauti. Nafikiri alianzia kwao, pia anatoa misaada mingi katika hospitali ya wilaya. Under misaada ya makampui tofati. Mikoa mingine bado hajaweza ku-implement (sijasikia) nafikiri labda anafanya utafiti wa afanye nini.
 
nikipata muda nitafanya past ya vitu anavyofanya ili uweze kupata uhakika wa kile uluchouliza.
 
Back
Top Bottom