Salma Kikwete na WAMA vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salma Kikwete na WAMA vipi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lunyungu, Aug 31, 2008.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Jamani kama kuna mtu anaye elewa WAMA inasimamia anieleze.Baada ya muda sasa kufuatilia moves zake , leo nadiriki kusimama hapa na kusema kwamba this anaother Anna Mkapa thing .Maana WAMA imekuwa siku zote inasikika kwao LINDI tu na akibabaisha kidogo utamsikia Dar lakini kwa ajili ya kupkea michango ila kychangia maendeleo muda wote imekuwa ni Lindi na ziara zake zote za kuhusiana na WAMA ni huko Kusini .Je niko sahihi kuhoji hili ama kesha fika hadi huko Magu mie sijamsikia akiwa na WAMA ?
   
 2. T

  Tujisenti JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2008
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Charity begins at home!!!!
   
 3. Ngonalugali

  Ngonalugali JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2008
  Joined: Jan 12, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Mada yako imenifurahisha sana maana ni juzi tu nilikuwa nafikiria juu ya NGO za Ikulu mpaka kichwa kikaniuma.

  Kuna kitu ambacho hawa watu wanakitumia kuanzisha miradi yao wakiwa ikulu na kimojawapo ni kutumia ma-first lady.

  WAMA imeanzishwa na mama Kikwete akiwa ikulu kwa ajili ya kusaidia amendeleo kwa akina mama. WAMA kama WAMA inafnya kazi kwa nguvu ya Ikulu na kodi za wananchi kwa upande mwingine (sio mbaya). Ila cha kushangaza ni kwamba muda wa uongozii ukiisha WAMA itahamishiwa nyumbani na si kukaa Ikulu kwa ajili ya mwingine atakayekuja.

  Kwa kuzingatia hilo, ni wazi kwamba huo ni mradi binafsi na ambao yeye kama yeye anatakiwa auendeshe si kwa nguvu za ikulu.

  Sheria itungwe kudhibiti NGOs zinazoanzishwa ikulu ili zibaki kumilikiwa na wananchi na si mtu binafsi. Kama kuna kifungu kinachobainisha hilo tuambiwe.
   
 4. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #4
  Aug 31, 2008
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280
  ..

  ...KUNA MFANYABIASHARA MMOJA BILIONIA WA JAPAN ..ALIWAPA WAMA DOLA MILIONI 10.....SIJUI ZIMETUMIKAJE???...itabidi mhasibu mkuu wa serikali aanze kupita kwenye hizi ofisi za wajasiriamali za wake wa marais.........
   
 5. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,278
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  mie kusema ukweli naogopa kusema its truely unfair ku compare wama na eotf!cz atleast eotf yaonekana kazi zake but so far ni mwaka wa tatu nw ila wama nimeona kama sikosei mara mbili if nt mara moja ikido somethin for the community!

  wakati niaanzishwa si ndo wale wake za wakubwa kubwa wakiwemo kina mama Lowassa ,meghji sijui walikua kwenye mstari wa mbele huko wama?where r they?
   
 6. M

  Masatu JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mbona hueleweki ngosha? Unataka kujua shughuli za WAMA au unaishutumu kwa upendeleo? Hebu kuwa muwazi usaidiwe mafumbo mafumbo hayasaidii
   
 7. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu Masatu hutaki kunielewa tu japokuwa nina eleweka .WAMA nimeamua kuandika hapa kuuliza baad ya kuona mienendo yake inatishia hata umoja wa kitaifa .WAMA imefika wapi ikiwa ina miaka 3 ? Mbona WAMA iko kama JK kufika Mwanza na Mara zaidi ya mara 10 wakati ni mwaka wa 3 hajakanyaga Mbeya ?

  WAMA ina ujanja wake na malengo yake naamini si sahihii.

  Kuna jamaa yangu yeye yuko karibu sana na WAMA kanieleza haya huko pembeni nami simtaji ila naweka maoni yake wazi hapa .Tunahitaji kuwa waangalifu sana na hizo moves za ajabu ajabu na wakubwa ama wake wa Wakubwa .Kuna jingine nalo laja kwa sasa nasimamia WAMA .Mkubwa huyu yeye kanieleza haya hapa chini so pimimeni muone ukweli ama uongo wake .  E bwana umepiga panapotakiwa, huyu mama anazuga sana na hiyo kitu, halafu pia sasa anawatumia waisilamu wenziwe sana katika kutafuta wafadhili nje, as the results siku hizi huyu mama aklienda nje ni wabongo waisilamu, tu wakisaidiwa na waisilamu kwenye mabalozi yetu ndio wanakuwa na access naye huyu mama kwa sababu tu ya kudai wanaweza kumsaidia wafadhili wa kuisaidia wama, matokewo yake haya protocol za sheria za jamhuri hazifuatiwi kwa sababu tu ya hii kitu wama,

  Halafu je hii ni shughuli ya serikali au yake binafsi? Mboan wafanyakazi wa serikali wanalazimsihwa kufuatilia habari za wafadhili wanaoyaka kutoa msaaada kwa hiii wama, kwani ni part ya kazi ya serikali kwa wananchiw etu wanaoifanyia kazi serikali?

  Wananchi wanaokataa kutumiwa na huyu na mama na hii wama mbona hutishiwa sana na wasaidizi wa huyu mama na yeye mwenyewe pia?

  Hapa mkuu umegusa panapotakiwa!
   
 8. C

  Chuma JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2008
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Lunyungu uliwahi kuja na issue ya Dr. Dau kujenga Msikiti Dodoma...Hadi leo umeshindwa kuthibitisha uzushi wako!!

  Ukaja hapa kwa NickName ingine kumshambulia Mh. Batilda kuhusu Mhudumu wake...madai ya Uzushi..

  Leo umekuja na hili....it seems umekuwa dedicated kuwachafua waheshimiwa in the sense ya mfumo wa maisha wao...!!!

  Take care ur being watched
   
 9. C

  Chuma JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2008
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  PM itakuwa vema ukiweka ushahidi pia....!!!
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,800
  Likes Received: 83,172
  Trophy Points: 280
  Hawa mafirst ladies wasiruhusiwe kufanya hivi vitu kama hakuna ukaguzi unaofanyika dhidi ya mapato na matumizi ya hizo NGO zao. Mama fisadi Mkapa alipewa pesa nyingi sana na Bill Gates ili kuwasaidia walioathirika na ukimwi hadi hii leo haijulikani hizo pesa zimetumika vipi. Kuna haja ya kuanzisha kampeni ili tujue Bill Gates alitoa kiasi gani na zimetumika vipi hadi hivi sasa. Hizi NGO wanazitumia kama miradi yao ya kujitajirisha kwa kupita huku na kule duniani kuomba michuzi kuwasaidia Watanzania mbali mbali, lakini kiasi wanachotumia hakifiki hata 5% na zilizobaki huwaneemesha wao na familia zao.
   
 11. m

  mtalii JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2008
  Joined: Dec 14, 2006
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe na wewe umemstukia eeeh... huyu Lunyungu ni MDINI kazi yake kushambulia viongozi waislam tu. Alianzisha thread ya kizushi hapa eti NSSF inajenga msikiti Dodoma kupitia pesa za wananchama wake. Alipabanwa kashindwa kuthibitisha sasa ni zaidi ya mwaka hatuona msikiti wala madrasa! Akaja na kwa tuhuma nyingine nzito dhidi ya waziri Batilda eti anamnyanyasa mfanyakazi wake wa ndani kwa kuwa ni mkristo na hampi ruhusa ya kwenda kusali jumapili, alipobanwa kashindwa pia kuthibitisha. Sasa anakuja na hii ya Mama Kikwete ni UZUSHI na UONGO mtupu huyu jamaa ni wa kuogopwa kama UKOMA!
   
 12. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #12
  Aug 31, 2008
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280

  acheni kurusha taulo nyeupe...kuhusu suala la udini sina maoni ..kwa sababu hata wajumbe wa bodi ya WAMA wapo balanced kuna hadi kina blandina nyoni,na regina lowassa..unless wapo wapo tu na hawajui linaloendelea..

  otherwise kuhusu suala la mama kupewa dola milioni kumi kwenye ile ziara yake ya kwanza japan na yule bilionia ni kweli..alisema atajengea madarasa na mabweni ya watoto wa kike....sina haja ya kuongea jambo lisilo kuwepo infact kama mtu ana muda aki serch achives atapata hiyo story kwenye media houses...au kama kuna mtu ana rafiki ubalozi wetu japan aulizie...

  ila umuhimu wa hii mifuko kuwa audited VALUE FOR MONEY NI MUHIMU...yote ya aina hii kuanzia wa mama karume,mama mkapa na huu wa huyu mama kkiwete....isije tukaendelea kuzalisha wajasiriamali...kuna umuhimu wa hii mifuko kila mwaka kuweka hadharani RIPOTI KAZI zao...watu waone ..maana they are gettin donation from general public,parastatals[both],and donors....
   
 13. C

  Chuma JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2008
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  PM...thanks kwa kumuweka sawa Lunyungu...

  PM kuhusu ushahidi bado hujaweka...wewe ndie ulikuja na version ya $10 Million, sasa unataka kuwapa watu Homework wakatafute...Please come Up na ushahidi..unless Futa kauli yako?
   
 14. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #14
  Aug 31, 2008
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280

  hee wewe who are you by the way kuniambia nifute kauli yangu....and who is the so called salma mpaka nianze kutunza record zake ....she is just mistress like any other mistresses...afteral the main duty of president wife is to accompony president in all state functions including oversea...take care of the state house,and intertain state guest
  ets ..seldom does she perfom most of this duty now days .....fully occupied by wama...and show of mighty on our busy narrow roaDS.....with presidential motorcades even to saloon,gossiping visits,or kitchen parties..what does it worthy calling her now????

  so simply ...its true and that is just piece of the iceberg ya pesa zinazotolewa na wafadhili mbali mbali......hatuna haja ya kuogopa kama zinatumika vema....TUNATAMBUA MSAADAS WANAOPATA WANAYOIPATA...HASA KINAMAMA NA WATOTO..LAKINI HII HAIONDOI UNUHIMU WA NGO ZA WAKE WA MARAIS IN FUTURE KUWA UP FOR SCRUTINY NA INDEPENDENT AUDITORS AU CIG...NA PIA ULAZIMA WA WAO KUWEKA WAZI ACTIVITIES ZAO KWA KILA QUOTER...OR ANNUM..
   
 15. J

  JokaKuu Platinum Member

  #15
  Sep 1, 2008
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,802
  Likes Received: 5,094
  Trophy Points: 280
  ..Nakayama Foundation ndiyo waliompa msaada wa fedha Mama Kikwete.

  ..kuna shule anajenga Rufiji na nyingine Lindi kwa ajili ya wasichana.

  ..pia ametoa msaada wa fedha kwa chama cha wanawake madaktari.

  NB:

  ..kuna wachangiaji ambao 90% ya michango yao lazima watumbukize UDINI.

  ..hii nchi sijui inakwenda wapi.
   
 16. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #16
  Sep 1, 2008
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Huyu Lunyungu ni kada kwa hiyo mawazo yake yote kwa wakati mwingi anafikiria siasa tu, kwa kufanya hivyo ni wazi basi anakuwa short sighted. Kawaida thread zake huzisoma na kuziacha hapohapo zijifie zenyewe.

  Lakini jambo linalonisukuma kuandika wakati huu ni kuwa kama Mama Kikwete ameamua kusaidia shughuli za kijamii kule Lindi, basi mimi ninamuunga mkono kwa asilimia 100. Leo hii ukilinganisha maendeleo yaliyofikiwa na wakazi wa Kilimanjaro ikiwa ni pamoja na Mwanga ni wazi kabisa kwa hali waliyonayo wananchi wa Lindi hasa akina mama jitihada za makusudi ni lazima zifanyike kuwaendeleza wasichana.
  WAMA sidhani kama ina uwezo wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja kwa nchi nzima. Ni wazi kuwa wanavipaumbele kutokana na hali halisi ya uwezo wao na mahitaji ya sehemu husika.
  Ni vema tukajenga utamaduni wa encourage na kusapoti shughuli za kimaendeleo kwa jamii na hasa pale zinapowagusa wananchi ambao sote 'tunadai' hali bora kwao.
   
 17. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #17
  Sep 1, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Home ya Mama Kikwete ni Tanzania, siyo Lindi
   
 18. T

  Tujisenti JF-Expert Member

  #18
  Sep 1, 2008
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mimi nafikiri hizo NGOs za Ikulu zisiwe za first lady binafsi, ziwe za serikali au za Ikulu ili first lady awe mkurugenzi mkuu wakati akiwa first lady.Tukiendelea kila first lady kwanzisha yakwake hatutafika mbali, hela itaishia mikononi kwa wachache.
   
 19. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #19
  Sep 1, 2008
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wazo lako ni zuri, lakini tunahitaji legal opinion on this. Nadhani tunahitaji kujua kuwa kama ni lazima First Lady kuwa na NGO au la. Je ni faida zipi zinapatikana kama First akiwa na NGO kwani ma-First Lady wengine waliopita hatukusikia NGO zao, je walizitumia vipi fedha na resources za Ofisi ya Mke wa Rais?
  Naomba kuwasilisha.
   
 20. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #20
  Sep 1, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,557
  Likes Received: 5,758
  Trophy Points: 280
  jamani hata mama bush nae ana ngo

  mama mkapa alikuwa nayo


  ?????????????? mama salma jamani???????????mbona hivyo huyu mama mkapa ameiba na kula vingi hamkuonge ije swala la lindi kelele!!!!!!!!mbona mama mkapa hakupeleka moshi na hamkuuliza yyyyyyyy anatumia dar na sehemu nyingine nasi nyumbani kwake


  sijui ncheme ??????
   
Loading...