SaidSabke
JF-Expert Member
- Sep 28, 2006
- 2,071
- 402
Hii taarifa ni ya kijinga,sorry to say this!
NI ya kijinga sanaaa.inashusha hata hadhi ya JF.kama umekosa la kuandika acha badala ya kuleta habari za kizushi zisizo na maana.
Hii taarifa ni ya kijinga,sorry to say this!
Hii taarifa ni ya kijinga,sorry to say this!
I hope this time "hakusababisha" na adha kubwa watumiaji wa barabara..
Kuna mtu kanidokezea kwamba mama yetu wa kwanza naye alijitosa usiku mrefu ufukweni mwa bahari ili kujipatia mafuta ya yule papa aliyefia ufukweni wiki ilopita. Inasemekana ni dawa nzuri kwao!!!! Hii nayo imekaaje jamani?
Hii taarifa ni ya kijinga,sorry to say this!
MaliziaLabda nae ana ndoto kuja kuwa.......................kwao Lindi huko
2008 ulikuwa unaingia jf kwa simu gani??He!makubwa haya!
Wakongwe kazini. Naukumbuka ubuyu wake kuhusu Bab Tale2008 ulikuwa unaingia jf kwa simu gani??
Kuna kaukweli Fulani hiviiiLabda nae ana ndoto kuja kuwa.......................kwao Lindi huko
Ukiangalia last seen za member wengi walio changia huu uzi unakuta wana muda mrefu sana hawaja ingia jf sasa sijui ndio wamekufa au vipi.2008 ulikuwa unaingia jf kwa simu gani??
Laptop.2008 ulikuwa unaingia jf kwa simu gani??
Laptop na Desktop2008 ulikuwa unaingia jf kwa simu gani??