Salamu Toka kwa Erickb52

Salamu Toka kwa Erickb52

Mie pia sijamwona mda mrefu sana..........umemkumbuka vile nimetaja unga ltd eeh?
Hahahaaaaa eeeeh nimekumbuka na nkamkumbuka na Bishanga wakati ule kabadili Location akaweka Unga LTD then alipofika kule akakuta vidume watatu nao wamejiexport lol ilikuwa kaaaazi true true
 
Last edited by a moderator:
Asprin jirani yake kahama na lap top yake hivyo sio rahisi umwone jf siku za karibuni.........madhara ya kutumia vitu vya majirani haya!..........
Kaizer kuna mahali nimemwona anachokoza wenzie .........
Bishanga jana kalewa mpaka kazima mpaka mida hii.......chezeiya viroba wewe tena alikuwa hajakula chochote!
Hahahaaa halafu na zile picha zimeondoka so atakuwa anatuma comment kavu eeeh
Muombee basi kalaptop kapya kwa KakaKiiza labda katamsaidia
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa Mentor kwanza huyo shem beibe nasty unataka namba yake ya nini wakati unaweza kuwasiliana kupitia namba ya Judgement ?
Au ndo unataka kumzunguka kama Smiling Saint ?

Jamani jamani...unaona madhara ya kudandia treni kwa mbele!?? ungekuwa Lamu ushapigiwa 0713..lol! beibe nasty ni mdogo wangu (mtoto wa mama mdogo in real life) alitakiwa anipe namba ya shemeji Judgement tangu Ijumaa ila kaniekea pozi mpaka nimnunulie (*********)!!!
ndo nimekuja kumsemelea kwa mumewe...
 
Heheheee najua lazma ujiteteee lool
Haya sawa mnunulie sasa au nikutumie mimi? au unataka kutoka beibe nasty tu?
Kwi kwi
 
Last edited by a moderator:
Nawe umeadimika jamani?
Nani anakutunza harakati?

(Note: Kutunza harakati = keep busy)

Asprin popote pale ulipo you have been missed and heartfelt greetings to you too with love. Once you receive nisalimie Zion Daughter na wake zako wooote. Nimesahau majina ila namkumbuka tu cacico (sababu ni shoga yake mdogo wangu gfsonwin) na Kongosho sababu ako unique... lol
 
Hahahaaaa Kongosho umenichekesha na Kutunza harakati lol sikuwa naijua hiyo!
Hapa naona kuna mtu ananiweza kweli kweli hope unamjua coz hata yeye amepotea
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom