Mentor hebu fanya mpango utueleweshe.....Huyu unayemwita dada yako mbona sijawahi kumsikia akimwita Catherine wifi?Fanya ufanyalo pinduka lakini sikio halizidi kichwa!???
Umeona wapi kuku akarudi reverse!??
Damu nzito kuliko maji...
Na hayo ni ya wahenga bado yangu...ngoja nijiendee zangu kwangu mie nshaona output = 0.00
Erickb52 Erickb52 Erickb52....una hamu sana ya kuongezewa kivumishi kwenye jina lako sio!??
NATOA ONYO: Mazoea na my waifu wangu Catherine UACHE lasivyo..
bak to ze topic: my waifu..sitachelewa ninamtuma private detective Pasco ashughulikie hilo suala then Arushaone atatusaidia kumu-identify victim wetu na Polisi atachukua hatua husika. huyu kesi yake haifunguliwi huku Dar maana atashindwa ku-concentrate kwa kushangaa maghorofa af ikiisha atang'ang'ania kubaki!
ooh n btw, ngoja nimwambie beibe nasty aje kukata mzizi wa fitna maana umezidi..mi nimng'ang'anie mdogo wangu? ndugu yangu? huwezi kuwa haujalewa wewe....
Heheheee kwanza futa kauli ya kumsema BAGAH au thibitisha uharifu wake lol
Pyeeeee..umemshindwa The secretary mpaka kakukimbia, Amyner mpaka akatangaza dau kila kucha anansumbua na PM kibao ndo ujidai kwa mai waifu...ebu kajifunze kwanza!!!!
Apa ndio ISO a.k.a SI Unit ya urijali!
MKUU Mentor nashauri kesi zote zifanyike Arusha kwani mauzoefu ya hapa ni added advantage. Hapa ndipo makesi yote yanayohusu chochote kuhusu bara lote la Africa isipokuwa ya The Hague.
Hahahaaaaaaaaa kaka umenichekesha sana aisee
Hebu naomba unisaidie kuanza na za Bishanga coz ananitishia sana maisha kisa The secretary
Hahahaaaaaaaaa kaka umenichekesha sana aisee
Hebu naomba unisaidie kuanza na za Bishanga coz ananitishia sana maisha kisa The secretary
Hahahaaa wengine si walikuwa wanampiga mabuti akanahatika kwa The secretary
Sasa na huyo nkamchukua ndio anamtaka ila mi nilishammwaga zamaniii coz inaonekana msumbufu yan anatakaga Kila saa utadhani mi natumia mashine oooh asije niua mtoto wa watu
Jamani Natafuta Movie Ya Katuni ya Alvin & Chipmunks nitaipata wapi?
Kila Library ya DVD au VHS wananiambia hawaijui.
Msaada.
Which one unayoitaka Madame B!??
Kuna ile ya kwanza kabisa..
Kuna ile waliokuja wale chipmunks wa kike.. (nmesahau titles zake za kimombo)
af kuna shipwrecked...
Mentor tuonane kesho ntakuwa niko fit naona inabidi nikaongee na ruttashobolwa kuweka mambo sawaErickb52 najua majibu ya sistaangu ndo yamekukimbiza....
Kajipange upya!!!