Tetesi: - Salama Jabir apigwa mimba | Page 6 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tetesi: Salama Jabir apigwa mimba

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Sele Mkonje, Jun 22, 2016.

 1. Sele Mkonje

  Sele Mkonje Verified User

  #1
  Jun 22, 2016
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 180
  Wakati napita pita kwenye milardayo dot com nimeona kuna hii habari ipo kwenye kichwa cha habari cha gazeti la MIKASA. Kwa wale watakaobahatika kuisoma naomba mje mnihadithie ni mimba ya nani na ina miezi mingapi..? Asante
   
 2. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #101
  Jan 8, 2017
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,744
  Likes Received: 8,007
  Trophy Points: 280
  Unaonaje umuache Salama na mimba yake, we uje nikupige yako uhesabu miezi kwa uhuru?
   
 3. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #102
  Jan 8, 2017
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,744
  Likes Received: 8,007
  Trophy Points: 280
  Ufaivustaa nje huko majukwaani, kwenye kubeba mimba mwanamke ni mwanamke tu. We niambie faivusiksi gani ndio kakushinda uone kama sikumpa mimba
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #103
  Jan 8, 2017
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  Kwani Salama hapati period?
   
 5. petrinamwana

  petrinamwana JF-Expert Member

  #104
  Jan 8, 2017
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 80
  Watu wadaku kwani alikuwa hana chururu
   
 6. mjumbe wa bwana

  mjumbe wa bwana JF-Expert Member

  #105
  Jan 8, 2017
  Joined: Sep 19, 2016
  Messages: 2,022
  Likes Received: 1,626
  Trophy Points: 280
  leo watu wanatafuta post za zamani sijui wamekumbuka nn
   
 7. k

  kajani1990 JF-Expert Member

  #106
  Jan 8, 2017
  Joined: Jun 8, 2016
  Messages: 223
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  kwnii yy sio mwnmke ch ajabu nini
   
 8. bbc

  bbc JF-Expert Member

  #107
  Jan 8, 2017
  Joined: Jan 18, 2016
  Messages: 2,138
  Likes Received: 2,337
  Trophy Points: 280
  Halafu kwa habari za uhakika zaidi ni vizuri tafute Salama mwenyewe.
   
 9. Usher-smith

  Usher-smith JF-Expert Member

  #108
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 7, 2015
  Messages: 5,906
  Likes Received: 4,549
  Trophy Points: 280
  Vp ameshajifungua??
   
 10. kimbendengu

  kimbendengu JF-Expert Member

  #109
  Jan 11, 2017
  Joined: Jun 7, 2013
  Messages: 2,145
  Likes Received: 1,070
  Trophy Points: 280
  ni kawaida tu kwa sababu anakikojoleo basi ni vizuri
   
 11. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #110
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,209
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Salama gani blaza..huyu beki tatu wangu?
  Hebu nijuze kwanza...
   
 12. Mnondwe

  Mnondwe JF-Expert Member

  #111
  Jan 13, 2017
  Joined: Apr 10, 2015
  Messages: 2,892
  Likes Received: 1,856
  Trophy Points: 280
  Kiukweli kabisa,huwa nawapongeza wanaowatia mimba wanawake wanaojifanya wanaume na wasela kwa sana.
  Kuna mmoja alikuwa ilala mtaa wa Nzasa,alikuwa na swagger za kiume,mikato ya dressing na kila kitu,kumbe anasikilizia ugwadu ugwadu,akala banana chop,Kwishney.
   
 13. Mnondwe

  Mnondwe JF-Expert Member

  #112
  Jan 13, 2017
  Joined: Apr 10, 2015
  Messages: 2,892
  Likes Received: 1,856
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha,kama namuona kalalia kifua cha msela mjivuni,mkono wake ukipiga zeze kule amazon.
   
 14. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #113
  Jan 22, 2017
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Dooooo.......Hapana. Mimba yetu inaweza tangazwa kimataifa
   
 15. usser

  usser JF-Expert Member

  #114
  Jan 22, 2017
  Joined: Sep 25, 2015
  Messages: 7,301
  Likes Received: 5,062
  Trophy Points: 280
  Sasa hutak ufke anga za majuu
   
 16. Ibada ya kwanza

  Ibada ya kwanza JF-Expert Member

  #115
  Jan 22, 2017
  Joined: Mar 21, 2013
  Messages: 3,034
  Likes Received: 1,075
  Trophy Points: 280
  Itatangazwa hadi cnn,aljazeera,BBC,dw,skynewz etc
   
 17. sarah6

  sarah6 Senior Member

  #116
  Jan 22, 2017
  Joined: May 24, 2013
  Messages: 101
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Mmoja wao Chiku Keto
   
 18. mahondaw

  mahondaw JF-Expert Member

  #117
  Jan 22, 2017
  Joined: Apr 9, 2013
  Messages: 12,726
  Likes Received: 16,388
  Trophy Points: 280
  Hamna kapicha??
   
 19. o

  offg76 JF-Expert Member

  #118
  Jan 22, 2017
  Joined: Dec 3, 2016
  Messages: 224
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 60
  Nimecheka hadi machozi, dah!!!fasihi bwana ukiijua hadi raha.
   
 20. I

  IGHUKA YANGU Senior Member

  #119
  Jan 22, 2017
  Joined: Oct 23, 2016
  Messages: 123
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  atakua ni yule salama wa morogoro ...
   
 21. Landcruiser

  Landcruiser JF-Expert Member

  #120
  Jan 22, 2017
  Joined: May 27, 2013
  Messages: 1,778
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 180
  Hizi avatar ni nyie
   
Loading...