Tetesi: Salama Jabir apigwa mimba

Mwanzisha uzi ungeenda kwny point yako ya msingi, najua ulikuwa na wasiwasi kuhusu hilo, kama vile haliwezekani.
 
Wakati napita pita kwenye milardayo dot com nimeona kuna hii habari ipo kwenye kichwa cha habari cha gazeti la MIKASA. Kwa wale watakaobahatika kuisoma naomba mje mnihadithie ni mimba ya nani na ina miezi mingapi..? Asante
Halafu mkuu tumia kiswahili kizuri. Siyo kupigwa mimba ila ni kudungwa mimba
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom