Tetesi: Salama Jabir apigwa mimba

Na yeye amuite mwanae Tulia.

Uzuri wa hili jina halina jinsia. Kote linakubali.
Umenichekesha, Sugu anatoka bungeni kumkimbia akiwa Mbeya huyo ndio dada yake na kimbilio lake. Siasa wakati mwingine haina maana.
 
Ikiwa ni kweli au sikweli wewe utapata faida gani??? Acha umbea tafuta yanayokuhusu@
 
Umbea bana...hebu ngoja nitengeneze picha ya hili..

Saa kumi na mbili alfajiri nasikia mlango unagongwa kwa fujo...nashtuka na kujaribu kutaka kujiridhisha kama ni kweli au naota...mlango unagongwa tena, safari hii inaambatana na sauti 'fungua bana kuna habari nzito huku' ........najikusanya kujiinua na kujongea mlangoni kwa kasi.....nafungua mlango na kabla ya salamu wala nini nakumbana na sauti kali "Salama Jabir kapigwa mimba'"...nami nashtuka na kujikuta nasema "TOBA" huku naziba mdomo.
 
Back
Top Bottom