Salaamu kwa Wanaume.

Context sio gharama. Point ni wewe una kiiatu kimoja halafu mkeo 20. Yaani wewe hujijali na unaemjali hakujali.

Sasa mkuu wanaume tunavaa viatu vya gharama hyo 50k unapata kiatu kimoja wakati mwanamke anarudi na pair 10.
 
Me Kuna mwanamke nipo nae mahusiano ya kisela no feelings attached huwa anapewa pesa huko na wanaume namm lazima atanipa au kuninunulia chochote
 
Si vizuri kuwapa wageni chakula cha watoto.
 
Unatunza lakini Kwa akili, yaani Mimi nitembelee kiatu kimetoboka halafu mke wangu ana viatu pair za kutosha labda kama sio Mimi maana Kwa mke anayekupenda lazima na yeye ajali ustawi wako wa afya, akili na hata muonekano, Mimi naona Sana utakuta mwanaume anatoa Kila kitu lakini anajisahau na yeye, yaani mke anawaka ila mwanaume yupo kama kaokotwa jalalani kmmke, dalili za mke mzuri pia ni kujua Hali ya mume wake Kwa ujumla.
 
Huo ndio upendo wa agape sasa ukisikia,,,tunawapenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…