Huo ni ujira mdogo wa kupigwapigaa, kunyanyaswa, kusemwasemwa, kuwa watu mnaomilikiwa, kuwa watu msio na maamuzi.Umewahi kuona wapi mtumwa anahudumiwa?.....
Heshima kwa mama miezi mitisa ,pole sana mama.Heshima kwenu wapambanaji!...!
Hii nibkinafiki zaidi... Wanawake wa namna hii ni wabaya sana. Anatetea hoja kinafiki zaidi kumfanya mtu ajione hana hojachangu ninacho na ninakipambania lakini kuna raha ya kupewa na sio kupewa tu kupewa na mume, mpenzi au mchumba
ukumbuke utoaji sio utajiri, mtu anaweza akawa na hela na sio mtoaji na anaweza asiwe nazo nyingi ila kwenye kile kidogo anajikuna anapoweza na mtu unafurahi tuu
Hi! Nina ujumbe wakoNimelia sana huwezi amini 😂😂
mzunguko ni mkubwa🤣🤣🤣ila kwa kua unatoa haijalishi ubatoa card au cashi basi fresh we ni wa maana saaanaMke hapewi hela. Apewe hela apewe ngapi na utajuaje atahitaji ngapi?
Mke hapewi hela.
Anapewa kadi ajipimie mwenyewe. Na yeye wala hana mapepe na hela na mambo ya material kwa sababu yeye mwenyewe ni Trust Fund Baby.
Unajua Trust Fund Baby ni nini?
Ila hizi habari zenu za kupenda kupewa na kuona hayo ni mapenzi ni poverty anxiety.
Na unaweza usielewe hili. Kwa sababu unatika katika jamii inayomlipia mwanamke mahari, mwanamke ni kama bidhaa ananunuliwa kwa mahari.
You are like a fish that is so used to water you don't even know you are in water.
unafki uko wapi tena🤣🤣🤣🤣Hii nibkinafiki zaidi... Wanawake wa namna hii ni wabaya sana. Anatetea hoja kinafiki zaidi kumfanya mtu ajione hana hoja
Mnacheka kama mazuri na wakati mnapromote ujinga vijana waingie mkingi wa kuhudumia wanawake. Nikishaona mwanamke katanguliza huduma ndo atoe upendo huyo ni redflagunafki uko wapi tena🤣🤣🤣🤣
Kutoa halijawahi kuwa tatizo. Mimi Msukuma kwetu tunatoa si kwa mke tu, mpaka kwa watu tusiowajua wenye uhitaji, ni utamaduni wa ukarimu tu.mzunguko ni mkubwa🤣🤣🤣ila kwa kua unatoa haijalishi ubatoa card au cashi basi fresh we ni wa maana saaana
hayo mengine achana nayo🤣
Joannah anatoa bhana
Huyo ni mtu mzigo kwa jamii. Yani hiyo mindset yake tu tayari ni turn off kubwa sana kwa mtu anayeielewa dunia ya leo.
Mkuu kiranga hawa wanawake huku kwetu bongo ni kausha damu tu. Tunawasanua sana vijana waache kuwa watumwa.Wanaume wanaojitambua wameshagundua hii trick ya kuwajaza upepo kwa kuwaita providers bila ya wanawake kuwa na mchango katika maisha, kwa makusudi, ni exploitation na actually inaondoa productivity na dignity ya mwanamke.
we gat you na uzi ulikua kwa ajili yako yaani ulilenga watu kama mkuu,Kutoa halijawahi kuwa tatizo. Mimi Msukuma kwetu tunatoa si kwa mke tu, mpaka kwa watu tusiowajua wenye uhitaji, ni utamaduni wa ukarimu tu.
Na hata hapa JF hapa hapa kuna watu sijawahi hata kukutana nao, na nimewasaidia mitaji ya biashara "ndogondogo" kwa kujua matatizo yao na mipango yao tu. Kusaidiana kibinadamu tu.
Mimi naishi Marekani na sina mpango wa kuja Tanzania hivi karibuni, wao wanaishi Tanzania hawana hata ndoto za kufika Marekani, najua hatutaonana, lakini nimesaidia kiroho safi tu. Kama mtu anavyotoa sadaka kanisani au msikitini, wengine hatuendi kanisani wala msikitini ila tunasaidiana na watu tu moja kwa moja.
Kwa hiyo kutoa has never been a problem. Wala sina nia ya kukataa kutoa.
Kutoa ni suala la ubinadamu tu wala hata halihitaji kuwa katika muktadha wa mapenzi.
Kwangu tatizo si kutoa, kutoa kuna mpaka bajeti yake maalum.
Tatizo unamtolea nani? Unamtolea mtu golikipa mwenye mentality ya kuhudumiwa kila siku kwa sababu yeye mwanamke tu au mtu aliye productive?
Ikiwa unamtolea mtu golikipa, kwenye muktadha wa mahusiano kama mke au mwenza, anayetaka kutunzwa tu, hajui hata pesa inatengenezwa vipi, maana yake ukifa leo hata kuiendeleza pesa hawezi. Anategemea fadhila za wanaume. Huu sio mwanzo wa umalaya huu sasa?
Huyo ni mtu masikini wa mawazo, tegemezi, kilema wa kujitakia.
Anataka kuhudumiwa tu.
Huyo ni mtu mzigo kwa jamii. Yani hiyo mindset yake tu tayari ni turn off kubwa sana kwa mtu anayeielewa dunia ya leo.
Wanaume wanaojitambua wameshagundua hii trick ya kuwajaza upepo kwa kuwaita providers bila ya wanawake kuwa na mchango katika maisha, kwa makusudi, ni exploitation na actually inaondoa productivity na dignity ya mwanamke.
Wameikataa.
Hatutaki wanawake mizigo wasio na mchango.
Tunataka mwanamke ambaye hata tukifa leo tunajua ataendeleza biashara za familia.
Si mwanamke masikini mpaka wa mawazo.
Ulilenga nini sasa?we gat you na uzi ulikua kwa ajili yako yaani ulilenga watu kama mkuu,
Acha kupenda bure kijana,bure ni gharama...mtoto mzuri msafiiii ananukia kasuka nywele kaliiiii halafu we unakula bure kwa kujifanya ni upendo?au sio mwanetu?kuna aliyegharamiaMnacheka kama mazuri na wakati mnapromote ujinga vijana waingie mkingi wa kuhudumia wanawake. Nikishaona mwanamke katanguliza huduma ndo atoe upendo huyo ni redflag
Kutunzwa Tunatunzw,kuhudumiwa tunahudumiwa na hutupigwi wala kusemwa semwa tunadekezwa zetu,kuna wanaume hawana njaa njaa kama wewe...Huo ni ujira mdogo wa kupigwapigaa, kunyanyaswa, kusemwasemwa, kuwa watu mnaomilikiwa, kuwa watu msio na maamuzi.
Ukipenda kuhudumiwa sana bila ya reciprocity matokeo yake ni kuuza utu wako, unakuwa kama kidudu cha kupangiwa mambo tu.
Na wengi hamuelewi hilo.
Kwa sababu ndiyo kitu mlichozoea.
Mnawa gaslight watu kuwa mwanamme anatakiwa kuhudumia na mwanamke anatakuwa kuhudumiwa.
Mentality ya kimasikini kabisa inayodhoofisha nguvukazi na ubunifu wa wanawake na kuwafanya wawe kama vilema kwa makusudi tu.