sala zenu wapendwa wa jf

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,263
16,288
wapendwa wana jamii nawaomba muungane na mimi katika sala ,tumuombee mwana jf mwenzetu angel msoffe.amefanyiwa operesheni juzi usiku na kafanikiwa kupata mtoto wa kiume japokuwa hakuwa amefikisha umri lakini mungu saidia mama na mtoto wanaendelea vizuri na bado wapo kcmc wanaendelea na matibabu
 
Woooh! Congrats to Angel Msoffe, God has just opened a door for more blessings, love and joy in her family! Plz say sorry to her also.....
 
wapendwa wana jamii nawaomba muungane na mimi katika sala ,tumuombee mwana jf mwenzetu angel msoffe.amefanyiwa operesheni juzi usiku na kafanikiwa kupata mtoto wa kiume japokuwa hakuwa amefikisha umri lakini mungu saidia mama na mtoto wanaendelea vizuri na bado wapo kcmc wanaendelea na matibabu
Usihofu Mungu anawalinda hongera zao
 
wapendwa wana jamii nawaomba muungane na mimi katika sala ,tumuombee mwana jf mwenzetu angel msoffe.amefanyiwa operesheni juzi usiku na kafanikiwa kupata mtoto wa kiume japokuwa hakuwa amefikisha umri lakini mungu saidia mama na mtoto wanaendelea vizuri na bado wapo kcmc wanaendelea na matibabu
flora msoffe mpe pole na hongera Angle, naona umeamua kuiweka pic ya baby kama avatar yako nawe hongera pia.
 
Last edited by a moderator:
BabyBoyCongrats.gif

Tafadhali mpe zawadi yangu,
Mwambie Hongera sana.
 
wapendwa wana jamii nawaomba muungane na mimi katika sala ,tumuombee mwana jf mwenzetu angel msoffe.amefanyiwa operesheni juzi usiku na kafanikiwa kupata mtoto wa kiume japokuwa hakuwa amefikisha umri lakini mungu saidia mama na mtoto wanaendelea vizuri na bado wapo kcmc wanaendelea na matibabu

namweka flora mikononi mwa bwana pamoja ma mtoto wake, malaika wa bwana wa wafunike na kuwalinda nda nguvu za mbaya shetani, na shuha mamlaka toka mbinguni ziwatawala siku zote za maisha yao. Nafunga mbingu zote za mwovu shetani, UWEPO WA NGUVU,ULINZI TOKA KWA MUNGU BABA,MUNGU MWANA, NA ROHO MTAKATIFU VIKAE NANYI NYOTE
 
Back
Top Bottom