Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,732
- Thread starter
- #21
asanteeee mamy anaendelea vizuri saaaana
asanteeee mamy anaendelea vizuri saaaana
namweka flora mikononi mwa bwana pamoja ma mtoto wake, malaika wa bwana wa wafunike na k thanks anyways god bless you uwalinda nda nguvu za mbaya shetani, na shuha mamlaka toka mbinguni ziwatawala siku zote za maisha yao. Nafunga mbingu zote za mwovu shetani, UWEPO WA NGUVU,ULINZI TOKA KWA MUNGU BABA,MUNGU MWANA, NA ROHO MTAKATIFU VIKAE NANYI NYOTE
Isaya 65:20 Hatakuwapo tena mtoto wa siku chache, wala mzee asiyetimia siku zake; kwa maana mtoto atakufa mwenye umri wa miaka mia ,Mungu ni mwema atamkumbuka pia Angel Msofe na baby wake.Get well soon
ameeeen santii sana she is doing just fine god is great
Kwanza karibu kwa mgeni,pili hongera kwa kujifungua lakini mwisho kabisa pole sana kwa mama mzazi,Mungu ni mwema amekua nawe toka mwanzo wa ujauzito hata kuacha pekee yako ataendelea kukupa ushindi