NG'WAMAPALALA;
Binafsi ninachokiona deep inside your heart (kupitia andiko lako hili) baada ya kuisoma habari hii ni mshtuko (shock) na sasa unatafuta pa kushika. Nikuambie kitu mkuu?, Kila mtu mpenda
haki, amani na usawa aki-refer matukio ya watu walioteseka gerezani kwa makosa ya UGAIDI na yanayodaiwa kuwa ni ya KUTENGENEZWA TU NA WATU FLANI KWA MASLAHI YAO BAINAFSI KISIASA na akiisoma hii story inayowahusisha viongozi wakubwa serikalini na katika jamii mpaka IKULU yenyewe ni LAZIMA atakuwa shocked!!..Mimi nilipoisoma mpaka nimechoka kabisa!!..Na hii maana yake ni kwamba kila mmoja atakuja kivyake kuutetea upande ulioguswa kulingana na maslahi yake;
- Mfano, kwa upande wa ndugu,jamaa na marafiki wa hawa watu walioteswa na kubambikiwa kesi ya kosa hili la UGAIDI kwa upande mmoja na CHADEMA ambao hawa walikuwa ni wafuasi na viongozi wao kwa upande mwingine pamoja na wapenzi na wafuasi wao; kwao, defenately ni habari njema kwani wanajua sasa chanzo cha matatizo yao na kwa namna yeyote ni lazima wailaani serikali na vyombo vyake kwa sababu ndiyo inayosimamia sheria na taratibu katika nchi.....Hapa maana yake; DON'T EXPECT HONEST AND POSITIVE RESPONSE FROM THEM.......AND THEY ARE RIGHT!!
- On the other hand, kwa upande wa pili yaani wale wanaohusishwa na tuhuma hizi serikali (i.e police, viongozi wa serikali...SOPHIA SIMBA NA IKULU na wafuasi wao walio ndani au nje ya system) ....Kwanza nao lazima watakuwa shocked na kujishangaa kwani jambo ulilokuwa unatenda ktk siri linapotoka nje ktk public lazima ushtuke na utafute namna ya kuji - defend NO MATTER ni la KWELI au UONGO!!
SASA HAPA; WHO ARE NOT HONEST/DISHONEST? Je , ni hawa wanaobambikiza kesi za UGAIDI wapinzani na wakosoaji wa serikali na chama tawala au? Je, ni gazeti lililokuja na habari hii ya kufichua uovu( hata kama unatendwa na ofisa wa serikali kwa kisingizio cha kutimiza wajibu lakini kinyume cha sheria) unaotendwa na (baadhi) ya viongozi wa serikali na CCM kwa kushikikiana na (baadhi) ya maafisa wa jeshi la polisi ? Kwa nini umetumia personal pronoun "WE" badala "THEY"? Je wewe ni miongoni mwao?.......Me, mkuu, I am not among "THOSE" - "WE" kwa sababu sisi tunapinga kwa nguvu zote uonevu na ukiukwaji wa sheria iwe unafanywa na mtu, serikali au taasisi yeyote hasa JESHI LA POLISI!!
Gutter politics? Who are doing "GUTTER POLITICS?", Mimi nadhani wanasiasa walioko madarakani ndio wanafanya SIASA ZA MAJI TAKA(reje kauli ya Rastam Azizi wa CCM aliyoitoa wakati anajiuzulu ubunge - jimbo la Igunga)
VIPI STORY YA GAZETI KUCHANGANYA UKWELI NA UONGO?
Mimi naikiri huu ni mtazamo wako labda tu kwa sababu na wewe ni wale walioko upande ule mwingine unaoumiza wengine kwa kutumia mfumo wa utawala, kwa sababu;
- Gazeti la Tanzania Daima chanzo cha habari hii liko kisheria na kila linapotoa habari yeyote ni lazima lijiridhishe kuwa imekidhi matakwa ya kihabari na kisheria pia.So mtu mwingine from no where kujitokeza na kuanza kusema ni uongo ni lazima atakuwa na hisia zake. Otherwise anyedhani kalishwa maneno au kasemewa uongo afuate taratibu za kisheria kupata haki yake!!
- Na je,si kuna watu wamenukuliwa na kutajwa kwa majina kabisa wakitoa hizi shutuma na kwa hiyo wamerokodiwa na kwa maana hiyo wako tayari kuyatoa mahali popote pale na kuthibitisha na ina maana
Ni lazima tukubaliane kuwa mambo ndani ya serikali si shwari!!..Kuna kundi la viongozi waandamizi ndani ya CCM na serikali wana ushirika na baadhi ya maafisa wa jeshi la polisi kuleta sifa mbaya kwa serikali yoote, CCM yooote na JESHI LA POLISI LOOOOTE. Hawa ndio waratibu wa mambo yoote maovu yanayoendelea sasa na hawa ndio wanaoharibu amani ya nchi.Kutafuta tatizo nje ya hapo kwa mtazamo wangu ni kujilisha upepo tu!!