Sakata ya ugaidi dhidi ya CHADEMA: Shibuda, Sofia Simba watajwa

Mkuu huu ni uchambuzi mahiri kabisa.hawa CHADEMA wasipoangaliwa watakoroga jamii mpaka tuchanganyikiwe.wanakusanya uongo na ukweli pamoja.kama haya yalitokea kweli,na wanasheria walishakuwa wakiwaona hawa watu,yasingesubiri watoke ndo haya yasemwe.siasa za uharo hizi.chadema watch out.wananchi siyo wajinga hivi

Kama mtu unayejiita kuwa mchambuzi mahiri unatakiwa kubainisha wazi kwamba hiki ni uongo na hiki ni ukweli na uonyeshe bayana jinsi kilivyochanganywa na uongo ili kuwachanganya wananchi/ wasomaji, vinginevyo na wewe umahiri wako unakuwa uharo. Sijui shule uliyosoma uliambiwa ukisoma habari unaweza tu kui-refute bila kusupport na ku-point out sehemu usiyokubaliana nayo na kwa nini unaona siyo kweli au haiko sawa.
Kushindwa kwako kuwaambia watu kipi ni uongo bila ya kuwaonyesha watu ukweli ni upi kunakunyima haki kujiita au kumsifia mtu kuwa ni mchambuzi mahiri.
 
Ndiyo maana nikasema pale kunapojengwa taswira yenye falsafa ya kibaguzi ya you're either with us, or against us basi kunakuwa hakuna majadiriano tena yanayojenga kupanua uwezo wa fikra na hekima.

Siyo dhambi kuwa upande wa serikali kama ilivyo kwa CHADEMA au CCM, lakini pia siyo kila anayejenga hoja ambazo ni tofauti na CCM basi atakuwa ni CHADEMA and vice versa. Kuna mamilioni ya wananchi wanaojenga hoja independently kulingana na fikra na mitazamo yao.

Ni kweli a work of art is a reflection of the society of which a writer is in it", lakini kunakuwa hakuna hata maana ya kubadilisha mfumo kama watu hawawezi kuachana na maisha yanayojengwa kwa misingi ya lies and corruption.

Hakutakuwa na transparency kwenye jamii ambayo ni dishonesty sana sana huko ni kuwa mendacity and hypocrisy.

Anyway, Ninashukuru kwa kubadilishana mawazo pamoja pamoja na kuwa na mitazamo tofauti kuhusiana na hoja hii.
"There you are brother", hapo kwenye "red"ndipo kwenye hoja ya msingi! asante sana kwa ukweli huo.
 
Tayadi,nimekuelewa.ipo habari ya kale sana ya istiari ya pango (the allegory of the cave) kama ilivyofundishwa na Plato.hebu itafute kisha utazame tena mawazo yako haya.naupokea ushauri wako hata kaa umeutoa kwa matusi pia
Nirushie ujumbe huo hata kwa PM. Kimsingi mimi sikutukani isipokuwa nashangazwa saana na yaliyotokea hasa yakikuhusisha wewe na Mwigulu. Kweli kabisa sijawahi kuona mhaya (ambao wengi ni wasomi) akifanya jambo la kipuuzi namna hii!.
 
Mkuu, hilo ni angalizo langu. Ukikubaliana nalo, sawa na usipokubaliana nalo napo ni sawa tu ili mradi tunabakia kwenye principle ya kukubali kutokubaliana.

Kusoma kwa macho matatu maana yake ni kusoma huku uki-reflect juu ya mdai, mdaiwa na wewe mwenyewe.

Binadamu tuko tofauti, inawezekana wewe umesoma habari na ukakubaliana nayo na haindoi wala kuongeza kilichoandikwa, vile vile na mimi nimeisoma habari sikukubaliana nayo kwa vile imetiwa uwongo mwingi lakini vile vile haiongezi wala kupunguza kilichoandikwa.

Ingekua vema kama ungeainisha kipi ni uongo kati ya yalioandikwa na ni kwa kiasi gani, ushauri tu
 
Ni bahati nzuri siuzi watu ili wadhurike!.. Wewe ni janga la wahaya!
Mwl Nyerere alishasema nini kinatokea mtu anapokuwa hana hoja.mmoja kakwambia unakimbilia matusi,mimi nikamuunga mkono huyo,na nikaongeza na jazba.sasa wewe mwenyewe unaongeza na ukabila,na yote ni ushahidi ya alichosema mwamapalala (samahani kwa pronounciation ya jina) juu yako kuwa ni kweli.umeiona allegory of the cave?
 
Hoja ya kivisha watu kashfa ya ugaidi kwa kuhongwa sh. 50,000/= mwanaume? Yaani unashindwa kutafuta 50,000 mwenyewe mpaka uhongwe?
 
Hawa jamaa wabaya sana,wamewatesa sana makamanda wetu,mungu awape nguvu mpya ya kupambana na udharimu huu!
 
mkuu unaheshimika ila kwa hili naanza kukudoubt! Hivi ni kwasababu kuwa unatika kumoja na Shibuda au ni nini? come into your sense pal, CCM and their companions ni janga, soon utanielewa! Just prediction!
Mkuu, msingi wa majadiliano ni uwepo wa hoja na hoja zinajengwa kutokana na kuwepo ukinzani katika hoja ili kupata mantiki ya hoja iliyopo mezani.

Katika maelezo yako nimeangalia mantiki ya hoja kuhusu Mh. Shibuda na nikaona kuna mashimo mengi katika maelezo ya Rajabu.

Sikutaka kujiingiza kwenye hoja zinazowahusu hao wengine waliotajwa na Rajabu kwa sababu character na historia zao kisiasa zina maelezo yasiyokuwa na majibu mbadala mbele ya siasa safi.

I'm just a human being like you. Ninaweza nikawa wrong kama ambavyo unaweza ukawa pia, lakini kabla ya kuwa proved wrong, nitaendelea kusimama kwenye mtazamo na fikra zangu kama nilivyodhiainisha kwenye bandiko langu la mwanzo.

Doubting everything is very important katika kujenga hoja kama Rene Descartes alivyosema katika hii quote, "I think therefore I am" .
 
Mkuu, Hoja hii imeshawahi kuja hapa na tukaiongelea kwa kina, is just a repetition kwa quote za Tanzania Daima ndio maana nakushangaa manaake Tanzania Daima imeandika kitu kilichowahi kuongelewa hapa! Thaz why nimesema inabidi nikudoubt!

Hebu pekua pekua humu utakutana na hoja, same! Wale vijana waliteswa na bahati mbaya mpendwa wetu JS alikuwa shuhuda, sasa siwezi elewa either yuko upande wa haki au upande wa dhulma!
 
Kama mtu unayejiita kuwa mchambuzi mahiri unatakiwa kubainisha wazi kwamba hiki ni uongo na hiki ni ukweli na uonyeshe bayana jinsi kilivyochanganywa na uongo ili kuwachanganya wananchi/ wasomaji, vinginevyo na wewe umahiri wako unakuwa uharo. Sijui shule uliyosoma uliambiwa ukisoma habari unaweza tu kui-refute bila kusupport na ku-point out sehemu usiyokubaliana nayo na kwa nini unaona siyo kweli au haiko sawa.
Kushindwa kwako kuwaambia watu kipi ni uongo bila ya kuwaonyesha watu ukweli ni upi kunakunyima haki kujiita au kumsifia mtu kuwa ni mchambuzi mahiri.
Kwanza ni kwa nini gazeti limeweza kutaja majina ya watu hadi rais wa nchi,lakini likaacha kutaja jina la hoteli yalikofanyika mahojiano hayo? yaweza kuwa ni kwa sababu gazeti limeogopa kushitakiwa kwa kuzushia hoteli,au kuwa gazeti na walio nyuma ya habari hii wataumbuka maana hoteli inaweza kukanusha.pili,ni kwa nini mahojiano yenye kutesa watu hivyo yafanyike hotelini? hotelini ni mahali ambako polisi wanaweza kupaamini zaidi ya vituo vyao wenyewe?,tatu mtu aliyeteswa hadi kupoteza fahamu anazinduka anakuta amekaa kitini??? nne,hii habari ingekuwa kweli tupu,kumbukeni hii ilishaandikwa huko nyuma na gazeti la MAWIO,version hii ina tofauti kidogo tu.je hawa waliotajwa leo walikuwa hawajulikani wakati ule testimony ya kihawa ilipoandikwa na MAWIO?
Kwenye story ya kwanza ya MAWIO huyu kihawa wa dodoma,alisema aliulizwa kama anamfahamu LUDOVICK JOSEPH.huyu dogo chadema wanamtuhumu kutumika na mwigullu.imekuwaje kwenye simulizi ya sasa mtu huyu asitajwe tena,bali wametajwa watu wengine??.tuendelee, je hao vijana waliopigwa shoti kwenye korodani,walibaki salama tu baada ya korodani kupigwa umeme? wanayo majeraha yoyote? je wanasheria wa chadema na viongozi wangeshindwa kutaja haya majina waliyotaja sasa tanzania daima kama kijana vijana hawa walikuwa nayo?
Ningeweza kuendelea tu kuonyesha mashaka kwenye hii kitu.nimalizie na mambo mawili.binafsi kama mapalala sikatai kuwa vijana hawa wanaweza kuwa waliteswa,hata kama hilo ni kweli ninao wasiwasi na extent ya mateso hayo.wanatia chumvi.NYOMBI ni ofisa wa juu sana wa polisi,na pasua kadhalika.sasa hatujaambiwa kuwa walikuwa wenyewe wakitesa au waliamrisha watesaji wafanye huo unyama.pili,chadema ni chama kikubwa sasa.siasa za UHARO zimetapakaa.ndiyo maana Lwakatare alipotoka gerezani akiwa Bukoba alilalamikia majungu ndani ya chama hiki.kwa hiyo,hawa vijana kumbukeni kuwa nao wana maslahi ya kisiasa ndani ya chama chao.inawezekana hao wanaowataja ni maadui wao kisiasa,au ni maadui wa watu wanaowaunga mkono.wanataka kutumia mwanya huo kuumiza wengine ndani ya chadema.mchezo ulee,wa kutoana kafara. na je mwandishi wa habari hii josephat isango ana uongozi gani katika chadema kule singida? hana ugomvi wowote na akina chagulani,matata na akina kisandu? amewahi kutoa tamko la bavicha singida huyu wakati wa sakata la akina mchange na chagulani.je mhariri wa habari hii na gazeti kwa ujumla,ana nafasi gani katika chadema,na hawezi kutumia habari kama hii kutengeneza mambo yake?? na tujaribu kuacha kutawaliwa na ushabiki kwa chadema kiasi hiki.kama tutaendelea hivi,basi chadema kitakuja kuwa chama kiovu kuliko CCM
 
Ninashawishika na hoja baadhi kwenye hoja zako.eti kwa nini Tanzania Daima wameficha jina la hoteli? wanaipenda hoteli hii iliyowezesha vijana wao kuteswa? hili swali siyo dogo
 
Hoja ya kivisha watu kashfa ya ugaidi kwa kuhongwa sh. 50,000/= mwanaume? Yaani unashindwa kutafuta 50,000 mwenyewe mpaka uhongwe?

TAYADI kuwa muungwana.huyu unataka kusema alihongwa 50,000 na lwakatare naye akafundishwa maneno ya kuongea na hata kupenga makamasi hovyo? na kwani huyu ndiye aliyeandaa hati ya mashtaka ya ugaidi? kwa sababu tuhuma inayomhusu huyu ni kurekodi au kutengeneza mkanda wa lwakatare,yeye hajaandaa hati ya mashtaka.jua unachoongea.halafu hivi kwa nini mabere Mrando mjumbe wa kamati kuu amewatete wezi wa EPA mahakamani.
 
Mkuu, msingi wa majadiliano ni uwepo wa hoja na hoja zinajengwa kutokana na kuwepo ukinzani katika hoja ili kupata mantiki ya hoja iliyopo mezani.

Katika maelezo yako nimeangalia mantiki ya hoja kuhusu Mh. Shibuda na nikaona kuna mashimo mengi katika maelezo ya Rajabu.

Sikutaka kujiingiza kwenye hoja zinazowahusu hao wengine waliotajwa na Rajabu kwa sababu character na historia zao kisiasa zina maelezo yasiyokuwa na majibu mbadala mbele ya siasa safi.

I'm just a human being like you. Ninaweza nikawa wrong kama ambavyo unaweza ukawa pia, lakini kabla ya kuwa proved wrong, nitaendelea kusimama kwenye mtazamo na fikra zangu kama nilivyodhiainisha kwenye bandiko langu la mwanzo.

Doubting everything is very important katika kujenga hoja kama Rene Descartes alivyosema katika hii quote, "I think therefore I am" .
Ni kweli kabisa mwamapalala.
 
Kauli ya Wassira kuwa CHADEMA itakufa kabla ya kuisha 2013 ndiyo mipango yao ilikuwa hii lakini yote imebuma Mungu yupo upande wa CHADEMA na wao wamebaki na Shetani

Alisema kuwa itakufa 2013? Mbona vijana wa Bavicha mnapenda kuunga unga mambo?
Wassira atawapasua vichwa.
 
Ninashawishika na hoja baadhi kwenye hoja zako.eti kwa nini Tanzania Daima wameficha jina la hoteli? wanaipenda hoteli hii iliyowezesha vijana wao kuteswa? hili swali siyo dogo
Una habari shehe Ponda anauguza majeraha?
 
Wenye uwezo wa kuchambua mambo wakichukua hatua ya kutulia na kusoma vizuri uchambuzi wako kila mmoja atakupa LIKE na kuipuuza hoja hiyo ya Tanzania Daima.

Back
Top Bottom