kula kwa tindo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,330
- 324
Mkuu .. Ya CDM waachie wenyewe.. na Ya CCM waachie wenyewe..Napatwa na wasiwasi mkubwa kwa akili za wafuasi wa chadema kila walishwalo wanakula banti na viroba si mchezo..mhariri tanzania daima km kweli gazet lako limeandika utumbo huu napatwa na wasiwasi huu ya utashi wako bt ni gazet la chama chenu cha wazee wakudanganya watu.hadith ya kitoto na kipuudhi kwamwenye akil timamu amepima vijana wenu wamedhiirisha ni wafupi wa akil wameanin hiyo habar na kuichangia seriously tena poor chadema low thinking capacity walio nayo watu wenu ndo maana wanaamin mkishika madaraka vitu vitashuka bei ndan ya miez 6.na vijana wote watapata ajira..wakomboz Feli na vilaza..
Leo kuna wafuasi wa UDP.. wanamuina Cheyo yuko sawa..
Kuna wanaomkubali Mtikila 100%.. Waache wafuate akili zao.. nawe fuata akili yako vile inakutuma na sio kukosoa mapenzi ya mwenzio..