Wewe na kina nani?, na yeye na kina nani?huyu si tuliishamtambua, na tulianza kumuondoa chamani taratiiibu bila jasho, kwanza alikuwa akikaimu Nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga, nafasi iliyokuwa inampa nafasi yakuingia kwenye Halamashauri kuu ya chama, na kwakua tuligundua ni domo kaya mwenye kutumika tukajiondolea kirusi kwenye nafasi hiyo.
Ubunge wake hatuna haja nao, lakini baada ya 2015 labda atakuwa mbunge kupitia ccm au atakuwa raia kwakua hatutampa nafasi .
SHIBUDA NI MSALITI, MTU ASIYEJIHESHIMU, DOMO KAYA ASIYECHOKA KUBWABWAJA....MCHUMIA TUMBO.
waambie na wenzako kuwa kama mnamtaka mchukueni kwenye chama chenu kizeee
Wewe na kina nani?, na yeye na kina nani?
CHADEMA kuna virusi vingapi ukiondoa Mh. Shibuda?.
Kwa nini vinaachwa bila kutolewa na vinaendelea kuwepo huku vikiambukiza wengine magonjwa ya kisiasa?
Chanzo cha kirusi ni nini na kwa nini vinapenda sana kuishi CHADEMA.
Unaweza hata kuendelea kuuliza kuwa inakuwaje siri za ccm zikiletwa chadema,hapo mnasifu kuwa intelijensia yenu ni safi,ila zenu chadema zikienda upande ule mnasema ni usaliti??? na kama hiki ni chama kinachoambukizwa virusi si ina maana kinafanya ngono bila kondomu?Wewe na kina nani?, na yeye na kina nani?
CHADEMA kuna virusi vingapi ukiondoa Mh. Shibuda?.
Kwa nini vinaachwa bila kutolewa na vinaendelea kuwepo huku vikiambukiza wengine magonjwa ya kisiasa?
Chanzo cha kirusi ni nini na kwa nini vinapenda sana kuishi CHADEMA.
Mkuu, Chama changu kizee ndicho kipi hicho?. Ninategemea isiwe ikawa ni yale yale ya Rais Bush kusema, 'You are either with us or against us'virusi vimetumwa na mzalisha virusi wa chama chenu kizee,
MIMI na wenzangu chamani tunatabia ya kuchunguza kwa umakini juu tabia , mwenendo na uwajibikaji wa kila mmoja, TUMEJIRIDHISHA TAYARI kuwa Domokaya ni Kirusi, na tayari amekaa mkao wa kuondoka.
Zunguka zunguka zungaka zunguka eeeeeeeh.Hadi raha mweee.Shetani na mama mkwe wake wanalia na wamekalia misumari.
Wametengeneza story na Rajabu Kihawa ya ukweli na uwongo mwingi ili kuhakikisha Mh. Shibuda anafutika katika siasa za CHADEMA. Walikosa kwa muda mrefu sehemu ya kumpata kwa sababu ameamua kwa muda mrefu kuwa kimya kisiasa. Wanatafuta negative reaction zake ili wapate sehemu ya kuanzia kumsindikiza atoke nje ya mlango wa CHADEMA.
This is truly more than gutter politics.
huyu mama simba ni mbunge wa jimbo gani vile? nauliza tu me sielew,
chadema kuweni makini na shibuda atawaharibia.
Tanzania Daima mbona hamuandiki jinsi Boss wenu alivyomuua Chacha Wangwe!!!! naomba mnipigie simu ili niwasimulie jinsi ya Boss wenu alivyomuua Chacha wangwe.
Haijalishi imetajwa na magazeti mangapi ni wajibu wa kila gazeti kujishughulisha kupata habari hiyo ndio kazi iliyowafanya wasajiliwe KUHABALISHA.Usitumie nguvu nyingi kupinga utakuwa unajaribu kuzuia mafuliko kwa mikono,watu wametajwa kwa majina,sheria zipo wazi wakatae kuwa hawakuhusika kuwatesa na wawapeleke hawa vijana mahakamani kwa kuwachafua kinyume cha hayo hii habari ni KWELI,kama kweli waliwatesa watakaa kimya dhamira inawasuta na watakosa ujarisi.Habari hii imeandikwa na TANZANIA DAIMA PEKEE AU KUNA MAGAZETI MENGINE WANAYO? KAMA NI TANZANIA DAIMA PEKEE, UONGO MTUPU HAIWEZEKANI FAMILIA IKAJISAILI YENYEWE.
Mbona Mimi hawajanipigia simu!!!!!Toilet Paper na hadithi za sungura na fisi.
sikuhizi hotel zinatumika kuhoji na kutesa watuhumiwa!!!!!
kaka unatia aibu wanaume wenzako hawapo hivyo yani unafanya mambo ya umbea umbea kama mwanamke bwana acha hizo umeshakua mtu mzima ambaye baada ya mda familia itakutegemea acha hizo bro plz! utakuwa mgeni wa nani kwa apo badae? huwezi jua mipango ya mungu huyo slaa unayemtukana kuna siku atakuja kuwa mtu mkubwa ktk serikali hii, utaficha wapi uso wako kaka? hivi siasa za tz unazijua vizuri? acha hizo bro plzTanzania Daima mbona hamuandiki jinsi Boss wenu alivyomuua Chacha Wangwe!!!! naomba mnipigie simu ili niwasimulie jinsi ya Boss wenu alivyomuua Chacha wangwe.
kazi ipo!
[FONT=lucida
console]Siku yako itawadia tu ambapo utakiri kwa
kinywa chako mwenyewe mnavyofanya na DPP wenu. I guess you are on the
right path....time will tell.[/FONT]
Habari hii imeandikwa na TANZANIA DAIMA PEKEE AU KUNA MAGAZETI MENGINE WANAYO? KAMA NI TANZANIA DAIMA PEKEE, UONGO MTUPU HAIWEZEKANI FAMILIA IKAJISAILI YENYEWE.