Sakata ya ugaidi dhidi ya CHADEMA: Shibuda, Sofia Simba watajwa

Sakata ya ugaidi dhidi ya CHADEMA: Shibuda, Sofia Simba watajwa

kuna link mmoja ya Return of undertaker aliitoa hapa jamvini mara tu mwigulu aliposema bungeni kuwa bomu la arusha chadema wamejilipua wao na ushahidi anao, katika link hiyo wahusika karibia watano waliokua katika mpango huo wapo pia katika habari hii tunapounganisha link ile na habari hii ukweli unakua asilimia 75 , hivi mbona ccm ina watu wengi mbona ni hao hao tu, Polisi ina askari wengi mbona ni hao hao tu na kwa nini waonewe wao tu ukijiuliza utajua kuwa ni kweli watu hawa ni kikundi maalum kwa ajili ya kufanya kazi fulani na kikao chao walicho kaa Dodoma kwa ajili ya kuangamiza CDM na badae inkuja kua yale yale hapa tunawakwepeshaje hawa au Return of Undertaker ni mfalme njozi na kama ni hvyo njozi zake zimekua ukweli basi tumpe kazi maalum maana anaweza kutuepushia makubwa
 
Vijana wanaotoka mapofu wa lumumba mmoja wao amesema mbona hawa watu walikuwa na wanasheria wao na hawakuyasema ntangu awali? Labda nimkumbushe kuwa mambo haya yalisema mapema sana kuhusu kuteswa na kulazimisha kuwahusisha viongozi wa chadema. Labda ulikuwa makao makuu mkigawana posho.
 
Mkuu, hilo ni angalizo langu. Ukikubaliana nalo, sawa na usipokubaliana nalo napo ni sawa tu ili mradi tunabakia kwenye principle ya kukubali kutokubaliana.

Kusoma kwa macho matatu maana yake ni kusoma huku uki-reflect juu ya mdai, mdaiwa na wewe mwenyewe.

Binadamu tuko tofauti, inawezekana wewe umesoma habari na ukakubaliana nayo na haindoi wala kuongeza kilichoandikwa, vile vile na mimi nimeisoma habari sikukubaliana nayo kwa vile imetiwa uwongo mwingi lakini vile vile haiongezi wala kupunguza kilichoandikwa.
Sasa ukweli ni upi?
 
We have chosen dishonesty as a way of life. We are truly addicted to lying. It’s almost an automatic reflex. It seem telling the truth, being moral and good is near to impossible because we are not brave enough for that.

By living and dying dishonestly ,the politician are taking advantage of it.

Hii story ukiisoma kwa macho matatu utagundua kama ukweli umechanganywa na uongo mwingi kwa faida ya kibinafsi na kisiasa lakini wanasahau kama njia ya muongo ni FUPI.

Taifa la wananchi waongo hata serikali nayo itakuwa niya kiongo kiongo kwa vile serikali inatokana na wananchi hao hao waongo waongo. Kama wananchi hawabadiriki, hata serikali kutoka kuzimu au mbinguni ikiingia madarakani haiwezi kuepuka kazi za uwongo uwongo.

Wametengeneza story na Rajabu Kihawa ya ukweli na uwongo mwingi ili kuhakikisha Mh. Shibuda anafutika katika siasa za CHADEMA. Walikosa kwa muda mrefu sehemu ya kumpata kwa sababu ameamua kwa muda mrefu kuwa kimya kisiasa. Wanatafuta negative reaction zake ili wapate sehemu ya kuanzia kumsindikiza atoke nje ya mlango wa CHADEMA.

This is truly more than gutter politics.
Huwa nakuamini sana katika ujengaji hoja, lakini nafikiri katika hili umekurupuka. Gazeti limemtaja kwa jina mtu alitoa taarifa hizi bila kuficha. Kama hii story ni ya uongo Shibuda si ana nafasi ya kumshitaki huyu dogo? Au umezoea story za "kutoka chanzo cha kuaminika"? Jaribu kuwa generous mkuu katika baadhi ya hoja zako.
 
Siri imefichuka JK utaweka wapi uso wako? Halafu unamshauri Kagame akae na wapinzani wake wakati wewe wa kwako unawatengenezea kitanzi.
 
Story za kuchonga ni za mapolisi wa CCM ambao daima wanawabambikia kesi watu wasio na hatia! anazo pia Mwigulu Nchemba ambaye aliapa bungeni kwamba ana ushahidi duniani na mbinguni lakini hajawahi kuutuo mahakamani, mwishowe akaishia kumuaibisha Tesha mikutanoni! tunamsubiri aende mahakama ya Igunga akathibitishe kama CHADEMA walimumwagia tindikali Tesha kamalivyokuwa anadai majukwaani!

Hujui au unajifanya kutokujua kama kuna kesi bado inaendelea mahakamani inayomuhusu mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CHADEMA Taifa.

Subiri kesi ikianza kuunguruma ndipo utakapo funuliwa macho yako kwa vile kwa sasa hata ukiambiwa tazama huwezi kuona.
 
Mi nimependa ya Shibuda....
" Mwigulu Nchemba ni mropokaji na Kinana haingiliki"..
Sasa hapa swali ni je...
  1. Nani kawatuma polisi kuihusisha CDM na ugaidi?
  2. Shibuda ameingiaje kwenye kwenye hili sakata linalohusisha polisi?

Hapo tumezugwa,alipo Shonza na Mwampamba,MWIGULU YUPO,Jamaa amesema hivyo ili Mwigulu apumue kidogo maana ameshabainika ni mratibu Mkuu wa hizi mambo,OVA.
 
Last edited by a moderator:
Soon utawasikia wakidai gazeti lifungiwe
Bila kujua limeriport za kiuchunguzi...
Hivi huyu nyombi na hao watesaji wenzio si tuko nao mitaani? Au wanaishi dunia yao????
Tatizo la tanzania hatuna investigative journalist hii habari wangeitengeneza vizuri wangeiuza aljazeera,ccn na ktn kenya..wao ni kupokea vibahasha tu kama Pasco.
Tanzania daima wanajitahidi kuwa fair.
Habari leo ukiandika comment hawaitoi kisa wanaogopa ukiisema serikali na ccm huku wakitumia kodi zetu..
 
CDM ni kazi ya Mungu na kadiri wanavyotengeneza huu upuuzi ndivyo Mungu anavyozidi kuilinda CDM

Hawa maaskari nao naona saa zao zinahesabika wewe unaulizwa ishu personal ww unataka aulizwe msemaji wa polisi ...

Hapa naona pia serikali hii kweli ni ya kishikaji sana kumbe mawazili ni wanasaba wa raisi ama kweli.
 
Nimelia machozi baada ya kusoma stori hii.

Mungu ataamua kwa haki siku si nyingi.Huwezi kumsingizia na kumtesa binadamu mwenzako kiasi hiki mambo yakapita hivi hivi.
 
Hujui au unajifanya kutokujua kama kuna kesi bado inaendelea mahakamani inayomuhusu mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CHADEMA Taifa.

Subiri kesi ikianza kuunguruma ndipo utakapo funuliwa macho yako kwa vile kwa sasa hata ukiambiwa tazama huwezi kuona.
Kakutaja kuwa ulikuwepo hotelini Dodoma, kwani wewe unaplay part gani hasa katika hizi movie zinazokwama kuiua CHADEMA?? Mnaanda movie gani mpya na itatoka lini?? Kuna issue ya Ponda inafaa sana kuwabambikia huenda ikabamba au ile ya tindikali ZENJ wambie police wakamate vijana kisha mpelekeeni NYombo na Pashua kisha kazi inakuwa imeisha CDM ndani
 
Tanzania Daima mbona hamuandiki jinsi Boss wenu alivyomuua Chacha Wangwe!!!! naomba mnipigie simu ili niwasimulie jinsi ya Boss wenu alivyomuua Chacha wangwe.
 
hujui au unajifanya kutokujua kama kuna kesi bado inaendelea mahakamani inayomuhusu mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa chadema taifa.

Subiri kesi ikianza kuunguruma ndipo utakapo funuliwa macho yako kwa vile kwa sasa hata ukiambiwa tazama huwezi kuona.

hakuna lolote , wala mikwara yako haitasaidia lolote .
 
CHADEMA ILIanza na mungu na itamalizaa mungu amina! maombi yanaendelea
 
Kwa haya nyie CCM mnayowatendea wapinzani mwenye mamlaka ya kuwashughulikia ni Mungu kwani yuko wapi Ditopile sasa?
 
Napatwa na wasiwasi mkubwa kwa akili za wafuasi wa chadema kila walishwalo wanakula banti na viroba si mchezo..mhariri tanzania daima km kweli gazet lako limeandika utumbo huu napatwa na wasiwasi huu ya utashi wako bt ni gazet la chama chenu cha wazee wakudanganya watu.hadith ya kitoto na kipuudhi kwamwenye akil timamu amepima vijana wenu wamedhiirisha ni wafupi wa akil wameanin hiyo habar na kuichangia seriously tena poor chadema low thinking capacity walio nayo watu wenu ndo maana wanaamin mkishika madaraka vitu vitashuka bei ndan ya miez 6.na vijana wote watapata ajira..wakomboz Feli na vilaza..

Unaonekana umejaaliwa maneno mchafu,Waandishi wanaandika kile walichobaini kuwafahamisha wasomaji,inawezekana thinking capacity yako ni kubwa sana,lakini dhana ya watu kubambikwa kesi hata kama ni raia wa kawaida bado ni tatizo.
Ushabiki wa vyama usitutenganishe kwenye maswala yanayo husu haki na kweli.Mungu aliye mbinguni anaona sirini.
 
Back
Top Bottom