sikuhizi hotel zinatumika kuhoji na kutesa watuhumiwa!!!!!
Mwandishi hilo Toilet paper anaitwa Isanga mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Singida na ananamba yangu ya simu ila hajanipigia!!!!!!
Mbona Mimi hawajanipigia simu!!!!!Toilet Paper na hadithi za sungura na fisi.
Mbona mimi sijapigiwa simu au kwa kuwa nayajua mengi!!!
Mr libido, unatamaani saaana "mtu"Tanzania Daima mbona hamuandiki jinsi Boss wenu alivyomuua Chacha Wangwe!!!! naomba mnipigie simu ili niwasimulie jinsi ya Boss wenu alivyomuua Chacha wangwe.
Advocate Nyombi katoa kali... Eti "iddi mubaraka njema"... Hata kusalimia hajui, kuhoji ataweza?...
Huyu jamaa wa kujichubua mzinzi tu huyu, kazi kuingiza videmu ofcn cku za wikiend tu huyu.
Wingi wa magazeti kuandika habari hautoshi kuipa uhalali habari yenyewe... kimsingi wametajwa watu kwa majina yao na vyeo lakini mpaka sasa hawajajitokeza kukanusha na wewe unajua kimya ni jibu, unajua unapaswa kujifunza kitu kimoja tu umma wa watanzania leo hauyumbishwi kwa hoja nyepesi kama yako, fanya utafiti juu ya habari yenyewe utakubaliana nami kwamba watanzania walio wengi wanaamini/walielewa nini kupitia habari hiyo..Habari hii imeandikwa na TANZANIA DAIMA PEKEE AU KUNA MAGAZETI MENGINE WANAYO? KAMA NI TANZANIA DAIMA PEKEE, UONGO MTUPU HAIWEZEKANI FAMILIA IKAJISAILI YENYEWE.
Watu wengine bwana yani utafikiri sijui kitu gani.. jifunze kitu kimoja, siku zote ukishakuwa huna thamani mahali fulani hata ushauri huwezi kuulizwa...By Mtela Mwampamba![]()
![]()
Mbona Mimi hawajanipigia simu!!!!!Toilet Paper na hadithi za sungura na fisi.
By Mtela Mwampamba![]()
![]()
Mbona mimi sijapigiwa simu au kwa kuwa nayajua mengi!!!
By Mtela Mwampamba![]()
![]()
Tanzania Daima mbona hamuandiki jinsi Boss wenu alivyomuua Chacha Wangwe!!!! naomba mnipigie simu ili niwasimulie jinsi ya Boss wenu alivyomuua Chacha wangwe
Dunia ina mambo kweli yaani Mtela Mwampamba anadhani yeye ni mwana siasa mashuhuri sana!
Alichoambulia katika ujinga wake ni DUKA alilojisifia EATV kwa Adrian Stepp!
Halafu baada ya kunyooshwa marinda na mjinga kama Mwigulu Nchemba anadhani ana umashuhuri na hela kuliko kina Mbowe!
Akili ya kuku!
Uhuru pia iliwahi kumnukuu BWM kuwa wapinzani ni kama kokoto hivyo wanastahili kupondwa! tatizo kubwa ni tafsiri ya mpinzani kwa mujibu wa CCM... Wale wote wenye kuitakia nchi hii mema huwa mnawaona kama wapinzani!!!..grrrrrHabari hii imeandikwa na TANZANIA DAIMA PEKEE AU KUNA MAGAZETI MENGINE WANAYO? KAMA NI TANZANIA DAIMA PEKEE, UONGO MTUPU HAIWEZEKANI FAMILIA IKAJISAILI YENYEWE.
Kunyooshwa Marinda ndio kufanyaje?
Napatwa na wasiwasi mkubwa kwa akili za wafuasi wa chadema kila walishwalo wanakula banti na viroba si mchezo..mhariri tanzania daima km kweli gazet lako limeandika utumbo huu napatwa na wasiwasi huu ya utashi wako bt ni gazet la chama chenu cha wazee wakudanganya watu.hadith ya kitoto na kipuudhi kwamwenye akil timamu amepima vijana wenu wamedhiirisha ni wafupi wa akil wameanin hiyo habar na kuichangia seriously tena poor chadema low thinking capacity walio nayo watu wenu ndo maana wanaamin mkishika madaraka vitu vitashuka bei ndan ya miez 6.na vijana wote watapata ajira..wakomboz Feli na vilaza..
Dunia ina mambo kweli yaani Mtela Mwampamba anadhani yeye ni mwana siasa mashuhuri sana!
Alichoambulia katika ujinga wake ni DUKA alilojisifia EATV kwa Adrian Stepp!
Halafu baada ya kunyooshwa marinda na mjinga kama Mwigulu Nchemba anadhani ana umashuhuri na hela kuliko kina Mbowe!
Akili ya kuku!
Kuwa mliberali!Kunyooshwa Marinda ndio kufanyaje?