Sakata ya ugaidi dhidi ya CHADEMA: Shibuda, Sofia Simba watajwa

Sakata ya ugaidi dhidi ya CHADEMA: Shibuda, Sofia Simba watajwa

Aidha useme maelezo ya Rajabu ni uongo au kuna lingine unalitafuta. Wewe ni nani kudispute maelezo ya mhanga wa mateso hayo. Je wewe ni Shibuda? Nyombi au Pasua?
Mimi ni mjenga hoja kama wewe unavyojenga hoja lakini tofauti yangu na wewe ni mimi kutotaka kufahamu kama wewe ni nani mpaka hudispute maelezo ya 'mhanga wa mateso hayo'.

Fikra, hekima na busara zangu zinatoa angalizo kama maelezo ya Rajabu yana ukweli kidogo na pia uongo mwingi.

Kama hukubaliani na mimi haina tatizo kwa vile na mimi sikubaliani na wewe. Kwa maana nyingine, hoja ziko sawa.
 
Tatizo unakimbilia kwenye angalizo lisilojitoshereza na kuanza kunitafutia sehemu ya ajira kitu ambacho ni nje ya hoja zetu na ni dalili ya hoja za kibaguzi zinazosimamiwa na falsafa ya you're either with us, or against us otherwise, kama unanifahamu.

Nilikwambia katika bandiko langu la #89 Fictitious story haihitaji upande wa ukweli kwa sababu kimantiki haupo, na nilisema hivi,

Tofauti yetu, Mimi najenga hoja kama hii ni truth and fiction zimewekwa pamoja kupata picha inayotafutwa ma wewe unajenga hoja kama haya yalifanyika ni kweli kwa sababu upande mmoja umesema. Kama huioni tofauti yetu ambayo ni upande upi unahitaji nguzo mbili ziwepo basi sina zaidi la kuongeza. Ndiyo maana nikasema nimesoma kwa kutumia macho matatu kitu ambacho hukunielewa vile vile.

Msingi wa majadiliano mema ni kukubali kutokubaliana badala ya kutafuta mchawi ndani ya majadiliano.
Sio kwamba sikukuelewa! sema sikukubaliana na wewe. Kuto kukubaliana sio kutokuelewa. Mwandishi wa habari kaeleza aliyoambiwa na wahusika tena basi hakuficha majina yao! akawatafuta wahusika wengine ambao hawakuwa tayari kueleza upande wao wa shilingi, sasa wewe unatoa wapi madaraka ya kutuhumu habari hii kuwa sio ya kweli? Hata hivyo katika fasihi tunasema hadithi hutoka katika mazingira ya mwandishi " a work of art is a reflection of the society of which a writer is in it". Ni pale tu huu mfumo ambao CCM imekuwa chama dola utakapovunjwa ndipo habari kama hizi zitakapokwisha. CCM inaviagiza vyombo vya dola kufanya kazi za kinyama ili kuunyamazisha upinzani na mambo yanapowekwa wazi ndipo nyie watetezi wake mnapokuja na nguvu zote kukanusha vitu vilivyowazi. Waambieni maafisa wa vyombo vya dola wafanye kazi zao kwa uadilifu na ueledi ili wasiwape nyie kazi ngumu ya kuwatetea bila mafanikio.
 
shibuda ni janga la wasukuma,2015 njoo haraka utuponye na haya mashetani ccm na mamluki wao
 
shibuda ni janga....na hawa watoto watatu wataishia pabaya sana kwa sababu mwisho wao kusikika na 2015 tu zaidi ya hapo itakuwa ni majanga kwao.
 
Hvi tanzania daima hawaoni aibu kuandika uongo?,ukisoma habari hii yote utacheka sana kunasehemu mtu anahojiwa eti huku amekaa kwenye chupa ya soda halafu eti alipigwa sana mpaka akapoteza fahamu,alipozinduka akakuta amekarishwa kwenye kiti,
hivi mtu akipoteza fahamu anaweza kukaa kwenye kiti tena hili gazeti kweli la udaku.

Hebu toa story yako ya ukweli ndugu! Unamatatizo makubwa kama bado unaamini kuwa serikali hii hawawezi kufanya hivyo, Ref Dr. Uli, Mwangosi, Kibanda, Mwakyembe na bado una imani tuu? Unataka ufanyiwe wewe ndio ushituke? You must be very selfish!
 
unaongelea bunge lenye magamba mengi yanye kutumikia matumbo yao? pole sn ndg lakini ipo cku nuru itakuangazia
 
Mimi ni mjenga hoja kama wewe unavyojenga hoja lakini tofauti yangu na wewe ni mimi kutotaka kufahamu kama wewe ni nani mpaka hudispute maelezo ya 'mhanga wa mateso hayo'.

Fikra, hekima na busara zangu zinatoa angalizo kama maelezo ya Rajabu yana ukweli kidogo na pia uongo mwingi.

Kama hukubaliani na mimi haina tatizo kwa vile na mimi sikubaliani na wewe. Kwa maana nyingine, hoja ziko sawa.

mkuu unaheshimika ila kwa hili naanza kukudoubt! Hivi ni kwasababu kuwa unatika kumoja na Shibuda au ni nini? come into your sense pal, CCM and their companions ni janga, soon utanielewa! Just prediction!
 
Matusi ni siraha hafifu sana mbele ya hoja lakini kikubwa zaidi, matusi ni dalili ya kuishiwa hoja katika jukwaa linasimamia hoja mbadala.
sijui leo utatetea chama au dini? Hivi na wewe unasema umeposti hoja? Hujishitukii kila mmoja hakuelewi?
 
Tanzaia Daima limetimiza wajibu wake kuwahoji watuhumiwa nini kiliwatokea. Mtuhumiwa kafunguka kaelezea mkanda mzima jinsi alivyokamatwa na kuteswa na polisi na pia watu waliohusika na mpango huo. Mimi nadhani ni bora wote waliotajwa wajibu tuhuma kwasababu kama gazeti limetimiza wajibu wake na hata kuwapa nafasi ya kujibu tuhuma. Its a shame kufikiri habari hii ni ya uongo wakati tunajua watu walikamatwa na kuteswa na tunajua pia who is behind the movie. Ccm imewatumia sana vijana waliofukuzwa chadema ili kukiua chama mipango yote hii inajulikana nani ni mratibu so gazeti limeripoti tuu. Tujifunze kuheshimu habari za uchunguzi kuliko hizi za matukio ambazo kila mtu ameziona kama za kumwagiwa tindikali watalii zanzibar ndio habari watanzania wanazozipenda cos its a straight forward news rather than interogative news. Afande advocate Nyombi ni mtesaji sana kila mtu anamjua hata polisi wanamjua yeye anaamini katika utesaji kuliko intelligensia na mahojiano. Nyombi ni zaidi ya Zombe na huyo Pasua ndio anayefuata. Zombi nae alikua balaaa lakini yupo wapi?? Kupata ukweli wa matukio sio lazima utese sana. Well said Tanzania Daima

Well said, hakuna sababu ya kuwasemea akina Shibuda, si wapo, wakanushe basi.
 
Ni kweli kabisa.matusi na jazba ni silaha za wasio hoja ama wanaolazimisha kila mmoja afikiri kama wao.katika hili naelekea kuelewa hoja zako.
Laiti mimi ningekuwa wewe ningefunga bakuli langu na kunyamaza kimya. Wewe ni msaliti hatari usiyefaa kwa lolote. Ni lazima ushikamane na watu wanafiki kama wewe.
 
Mtela Mwampamba, Bwana mdogo a mistake is done once, you will be stupid enough if day in day out you are in for the same mistake, Najua TISS wanaweza wakawa wamewatishia kuwa you are out tunakumaliza, lakini, ni vizuri ukafa kwa ukweli kuliko ukafa kwa uhayawani! Why dont you stick na ukweli? The devil knows how to drag someone into! But he doesnt know how to give you a way out, My advive dogo, chukua hatua and never ever let someone let you be stupid!
CC. Mchange, Shonza. Nadhani mtanielewa tuu wadogo zangu! Mko sehemu isiyo and they are using you!
 
Sio kwamba sikukuelewa! sema sikukubaliana na wewe. Kuto kukubaliana sio kutokuelewa. Mwandishi wa habari kaeleza aliyoambiwa na wahusika tena basi hakuficha majina yao! akawatafuta wahusika wengine ambao hawakuwa tayari kueleza upande wao wa shilingi, sasa wewe unatoa wapi madaraka ya kutuhumu habari hii kuwa sio ya kweli? Hata hivyo katika fasihi tunasema hadithi hutoka katika mazingira ya mwandishi " a work of art is a reflection of the society of which a writer is in it". Ni pale tu huu mfumo ambao CCM imekuwa chama dola utakapovunjwa ndipo habari kama hizi zitakapokwisha. CCM inaviagiza vyombo vya dola kufanya kazi za kinyama ili kuunyamazisha upinzani na mambo yanapowekwa wazi ndipo nyie watetezi wake mnapokuja na nguvu zote kukanusha vitu vilivyowazi. Waambieni maafisa wa vyombo vya dola wafanye kazi zao kwa uadilifu na ueledi ili wasiwape nyie kazi ngumu ya kuwatetea bila mafanikio.
Ndiyo maana nikasema pale kunapojengwa taswira yenye falsafa ya kibaguzi ya you're either with us, or against us basi kunakuwa hakuna majadiriano tena yanayojenga kupanua uwezo wa fikra na hekima.

Siyo dhambi kuwa upande wa serikali kama ilivyo kwa CHADEMA au CCM, lakini pia siyo kila anayejenga hoja ambazo ni tofauti na CCM basi atakuwa ni CHADEMA and vice versa. Kuna mamilioni ya wananchi wanaojenga hoja independently kulingana na fikra na mitazamo yao.

Ni kweli a work of art is a reflection of the society of which a writer is in it", lakini kunakuwa hakuna hata maana ya kubadilisha mfumo kama watu hawawezi kuachana na maisha yanayojengwa kwa misingi ya lies and corruption.

Hakutakuwa na transparency kwenye jamii ambayo ni dishonesty sana sana huko ni kuwa mendacity and hypocrisy.

Anyway, Ninashukuru kwa kubadilishana mawazo pamoja pamoja na kuwa na mitazamo tofauti kuhusiana na hoja hii.
 
Laiti mimi ningekuwa wewe ningefunga bakuli langu na kunyamaza kimya. Wewe ni msaliti hatari usiyefaa kwa lolote. Ni lazima ushikamane na watu wanafiki kama wewe.
Tayadi,nimekuelewa.ipo habari ya kale sana ya istiari ya pango (the allegory of the cave) kama ilivyofundishwa na Plato.hebu itafute kisha utazame tena mawazo yako haya.naupokea ushauri wako hata kaa umeutoa kwa matusi pia
 
Mimi ni mjenga hoja kama wewe unavyojenga hoja lakini tofauti yangu na wewe ni mimi kutotaka kufahamu kama wewe ni nani mpaka hudispute maelezo ya 'mhanga wa mateso hayo'.

Fikra, hekima na busara zangu zinatoa angalizo kama maelezo ya Rajabu yana ukweli kidogo na pia uongo mwingi.

Kama hukubaliani na mimi haina tatizo kwa vile na mimi sikubaliani na wewe. Kwa maana nyingine, hoja ziko sawa.

Basi kwa hoja yako ni kuwa wewe wasema hivi nami nasema vile lakini hatupaswi kuchallenge hoja. Naomba tu maelezo (kama unataka kutetea hoja yako) je ni uongo upi wa Rajabu na kwanini ni uwongo, tushirikishe hayo matobo katika maelezo ya Rajabu
 
Back
Top Bottom