Sakata ya ugaidi dhidi ya CHADEMA: Shibuda, Sofia Simba watajwa

Hvi tanzania daima hawaoni aibu kuandika uongo?,ukisoma habari hii yote utacheka sana kunasehemu mtu anahojiwa eti huku amekaa kwenye chupa ya soda halafu eti alipigwa sana mpaka akapoteza fahamu,alipozinduka akakuta amekarishwa kwenye kiti,
hivi mtu akipoteza fahamu anaweza kukaa kwenye kiti tena hili gazeti kweli la udaku.
 
Jamani Shibuda hapa kaingiaje lakini iko wazi shibuda hapendwo ndani ya CHADEMA mfukuzeni tu siyo kumchafua kwa story za uongo.
 
Napatwa na wasiwasi mkubwa kwa akili za wafuasi wa chadema kila walishwalo wanakula banti na viroba si mchezo..mhariri tanzania daima km kweli gazet lako limeandika utumbo huu napatwa na wasiwasi huu ya utashi wako bt ni gazet la chama chenu cha wazee wakudanganya watu.hadith ya kitoto na kipuudhi kwamwenye akil timamu amepima vijana wenu wamedhiirisha ni wafupi wa akil wameanin hiyo habar na kuichangia seriously tena poor chadema low thinking capacity walio nayo watu wenu ndo maana wanaamin mkishika madaraka vitu vitashuka bei ndan ya miez 6.na vijana wote watapata ajira..wakomboz Feli na vilaza..
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]

Tuliza munkari ndugu haya mambo ya kuteswa watu mtayapinga mpaka ln? hata kama ndo unaendesha maisha yako kwa mtindo huu sisahihi sana kutetea uovu mwingine ambao unaonekana kwa macho, swala la shehe ponda nalo vp wanasingizia?
 
Atakayepata maelezo ambayo hawa vijana wameyatoa chini ya kiapo watuwekee hapa pia.
 
Napatwa na wasiwasi mkubwa kwa akili za wafuasi wa chadema kila walishwalo wanakula banti na viroba si mchezo..mhariri tanzania daima km kweli gazet lako limeandika utumbo huu napatwa na wasiwasi huu ya utashi wako bt ni gazet la chama chenu cha wazee wakudanganya watu.hadith ya kitoto na kipuudhi kwamwenye akil timamu amepima vijana wenu wamedhiirisha ni wafupi wa akil wameanin hiyo habar na kuichangia seriously tena poor chadema low thinking capacity walio nayo watu wenu ndo maana wanaamin mkishika madaraka vitu vitashuka bei ndan ya miez 6.na vijana wote watapata ajira..wakomboz Feli na vilaza..

hata kuandika tu hujui. Nilitegemea baada ya kukanusha, ueleze ukweli wote unaoufahamu.

Umekazana unatoa mipovu hata hoja ya msingi huna
 
CHADEMA na vibaraka wenu mtatafuta kila njia ya kutaka kuwachafua watu ambayo ni wachapakazi na pia ni no nonsense katka siasa zenu za majitaka, uwongo na ulaghai lakini hamtaweza.

Endeleeni kujifurahisha na story zenu za kuchonga na kilaghai huku mkitumia sehemu yenu ya kitengo cha propaganga ambayo ni Tanzania Daima kuidanganya jamii.

Huku ni kutapatapa na kutafuta sympathy wakati kesi bado iko mahakamani.

Uongo na ulaghai wenu pelekeni mahakamani mkapate haki yenu na siyo kwenye ofisi za propaganda kama Tanzania Daima.

Tutaendelea na hatutachoka kuwafundisha jinsi ya kufanya siasa safi katika jamii kisheria na kisiasa.
 
Jamani uvumilivu hufika mwisho!
Sijui kwanini Shibuda bado yupo CHADEMA

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
CHADEMA na vibaraka wenu mtatafuta kila njia ya kutaka kuwachafua watu ambayo ni wachapakazi na pia ni no nonsense katka siasa zenu za majitaka, uwongo na ulaghai lakini hamtaweza.

Endeleeni kujifurahisha na story zenu za kuchonga na kilaghai huku mkitumia sehemu yenu ya kitengo cha propaganga ambayo ni Tanzania Daima kuidanganya jamii.

Huku ni kutapatapa na kutafuta sympathy wakati kesi bado iko mahakamani.

Uongo na ulaghai wenu pelekeni mahakamani mkapate haki yenu na siyo kwenye ofisi za propaganda kama Tanzania Daima.

Tutaendelea na hatutachoka kuwafundisha jinsi ya kufanya siasa safi katika jamii kisheria na kisiasa.

Vibaraka wa ccm kumbukeni hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha.
 
Hvi tanzania daima hawaoni aibu kuandika uongo?,ukisoma habari hii yote utacheka sana kunasehemu mtu anahojiwa eti huku amekaa kwenye chupa ya soda halafu eti alipigwa sana mpaka akapoteza fahamu,alipozinduka akakuta amekarishwa kwenye kiti,
hivi mtu akipoteza fahamu anaweza kukaa kwenye kiti tena hili gazeti kweli la udaku.

Wewe Ni lijinga, hii style ya utesaji ndio inayotumiwa na polisi wa Tanzania kutesa vibaka na majambazi sugu. We Lumumba FC ndio imekuwezesha kuijua hata computer mambo ya ujasusi na utesaji utayajulia wapi?

Haya mambo Ni kwa zamu, 2015 baada ya sisi watanzania kuikataa CCM na nyie mtakalia Sana chupa, na watakaowakalisha kwenye chupa Ni hao hao Pasua na Advocate Nyombi maana mapolisi Ni watu wa kufuata upepo
 
Hizi tuhuma za ugaid zinapikwa ili ccm ije iingize kifungu kwenye katiba mpya kwamba kiongozi yeyote aliyehusihwa au kutuhumiwa na ugaid haruhusiwi kugombea madaraka ya wananchi....CHADEMA KUWENI MAKINI sana NI MIPANGO HII INASUKWA.....
 
Kauli ya Wassira kuwa CHADEMA itakufa kabla ya kuisha 2013 ndiyo mipango yao ilikuwa hii lakini yote imebuma Mungu yupo upande wa CHADEMA na wao wamebaki na Shetani

Hizi tuhuma za ugaid zinapikwa ili ccm ije iingize kifungu kwenye katiba mpya kwamba kiongozi yeyote aliyehusihwa au kutuhumiwa na ugaid haruhusiwi kugombea madaraka ya wananchi....CHADEMA KUWENI MAKINI sana NI MIPANGO HII INASUKWA.....
 
CHADEMA na vibaraka wenu mtatafuta kila njia ya kutaka kuwachafua watu ambayo ni wachapakazi na pia ni no nonsense katka siasa zenu za majitaka, uwongo na ulaghai lakini hamtaweza.

Endeleeni kujifurahisha na story zenu za kuchonga na kilaghai huku mkitumia sehemu yenu ya kitengo cha propaganga ambayo ni Tanzania Daima kuidanganya jamii.

Huku ni kutapatapa na kutafuta sympathy wakati kesi bado iko mahakamani.

Uongo na ulaghai wenu pelekeni mahakamani mkapate haki yenu na siyo kwenye ofisi za propaganda kama Tanzania Daima.

Tutaendelea na hatutachoka kuwafundisha jinsi ya kufanya siasa safi katika jamii kisheria na kisiasa.

siasa safi ndani ya ccm? siku mkifanya siasa safi nakunya toka ubungo kwenye mataa mpk tumbi hospital
 
maongezi ya shibuda na simba nimeyapenda mno. ila mungu yupo upande wetu.
 
We have chosen dishonesty as a way of life. We are truly addicted to lying. It’s almost an automatic reflex. It seem telling the truth, being moral and good is near to impossible because we are not brave enough for that.

By living and dying dishonestly ,the politician are taking advantage of it.

Hii story ukiisoma kwa macho matatu utagundua kama ukweli umechanganywa na uongo mwingi kwa faida ya kibinafsi na kisiasa lakini wanasahau kama njia ya muongo ni FUPI.

Taifa la wananchi waongo hata serikali nayo itakuwa niya kiongo kiongo kwa vile serikali inatokana na wananchi hao hao waongo waongo. Kama wananchi hawabadiriki, hata serikali kutoka kuzimu au mbinguni ikiingia madarakani haiwezi kuepuka kazi za uwongo uwongo.

Wametengeneza story na Rajabu Kihawa ya ukweli na uwongo mwingi ili kuhakikisha Mh. Shibuda anafutika katika siasa za CHADEMA. Walikosa kwa muda mrefu sehemu ya kumpata kwa sababu ameamua kwa muda mrefu kuwa kimya kisiasa. Wanatafuta negative reaction zake ili wapate sehemu ya kuanzia kumsindikiza atoke nje ya mlango wa CHADEMA.

This is truly more than gutter politics.
Mkuu, binadamu ana macho mawili tu, sasa hilo la tatu atalipata wapi? unasema habari hii ni yauongo! sasa ukweli ni upi? na wewe ulishiriki vipi kuwahoji wahusika mpaka kufikia kuwaundia tuhuma feki za ugaidi? Kwanini umekuwa msemaji wa Shibuda wakati Shibuda mwenyewe alipewa fursa na mwandishi akaikataa!
 
Uongo kama huu Hutumiwa sana na wqnafunzi wa shule za msingi wanapopeleka mashtaka ya walimu kwa wqzazi haiwezekani hapa si guantanamo bay hii bi defensive mechanism wqnaitumia kuficha maovu yao ielewrke kuwa mahakamani si Mara zote uaweza shinda kesi
 
uzuri ni kwamba watu wote waliotuhumiwa na wateswaji walipata nafasi ya kuhojiwa na mwandishi wa habari hii,
heko Tanzania Daima kwa kutuhabarisha ipasavyo!
 
CHADEMA na vibaraka wenu mtatafuta kila njia ya kutaka kuwachafua watu ambayo ni wachapakazi na pia ni no nonsense katka siasa zenu za majitaka, uwongo na ulaghai lakini hamtaweza.

Endeleeni kujifurahisha na story zenu za kuchonga na kilaghai huku mkitumia sehemu yenu ya kitengo cha propaganga ambayo ni Tanzania Daima kuidanganya jamii.

Huku ni kutapatapa na kutafuta sympathy wakati kesi bado iko mahakamani.

Uongo na ulaghai wenu pelekeni mahakamani mkapate haki yenu na siyo kwenye ofisi za propaganda kama Tanzania Daima.

Tutaendelea na hatutachoka kuwafundisha jinsi ya kufanya siasa safi katika jamii kisheria na kisiasa.
Story za kuchonga ni za mapolisi wa CCM ambao daima wanawabambikia kesi watu wasio na hatia! anazo pia Mwigulu Nchemba ambaye aliapa bungeni kwamba ana ushahidi duniani na mbinguni lakini hajawahi kuutuo mahakamani, mwishowe akaishia kumuaibisha Tesha mikutanoni! tunamsubiri aende mahakama ya Igunga akathibitishe kama CHADEMA walimumwagia tindikali Tesha kamalivyokuwa anadai majukwaani!
 
Back
Top Bottom