Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
Kwa issue ya viroba siwatetei kamwe watengenezaji pamoja na wauzaji.Kwanz apombe hizi zipo chini ya kiwango ndiyo sababu zina madhara makubwa sana kwa vijana.
Inabidi hata wakiamua kuweka kwenye chupa bado hivi viwanda vitembelewe na wanaopima vyakula.Wenye hivi viwanda ni wauaji kabisa.Ni bora vifungwe kabisa
Inabidi hata wakiamua kuweka kwenye chupa bado hivi viwanda vitembelewe na wanaopima vyakula.Wenye hivi viwanda ni wauaji kabisa.Ni bora vifungwe kabisa