Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,206
- 9,824
Mkuu serikali ilitoa muda wauze ila wasiendelee kuzalisha. Watanzania hatukuwa na utamaduni wa kutii maagizo ya serikali. Hivyo uzalishaji uliendelea kwa mawazo ya kuuza kimagendo. Kumbe serikali ya sasa inasimamia maagizo yake. Waliambiwa watafute vifungashio vingine yaani chupa ili isiwe rahisi kunywa hovyo kila wakati kwa maana bei ingepanda. Mbona Valuer za chupa zipo ila valuer za viroba zinakamatwa?
Haiwezekani watu wanazalisha bidhaa ya VIROBA with a TBS LABEL kwenye VIWANDA VINAVOPIGIWA MAKELELE NA MKULU(Nchi ya Viwanda) na wanalipa KODI halafu serikali hiihii inakurupuka kupiga marufuku ????