Sakata la viroba: Wafanyabiashara nendeni Mahakamani

Sakata la viroba: Wafanyabiashara nendeni Mahakamani

Mkuu, hao jamaa wauza viroba washenzi sana. Tangu mwezi Mei mwaka jana waliambiwa kuwa ifikapo tarehe 1 Machi 2017, biashara ya viroba iwe imekufa. wao wamekuwa wakaidi na ndio maana wamepigwa kirahisi mahakamani
Kama ni tokea mwezi Mei basi serikali iko sahihi na pia tuvilaumu media maana hizi habari ziliwekwa kapuni bila kuchukulia kama agenda ya serikali.Leo wananchi tunaona kama serikali imewaonea viwanda vya Konyagi kumbe walipewa taarifa mapema.Hata hivyo Serikali iwasikilize upya suala hilo maana kuna madistributor ambayo huenda wamefichwa taarifa na viwanda na wana stock kubwa sana................Media hawatimizi wajibu wao
 
Hiyo siyo sahihi, yaani watu waendelee kunyweshwa kitu cha kuharibu miili na akili zao ili kuwapa mda wa kuendelea kuharibu akili na miili zaidi kwa faida ya nani?Kama kitu kimeonekana kua na madhara kwa umma ni budi kipigwe marufuku mara Moja.
Uzembe ni wenu mliopewa dhamana.Kama watu wamechukua mikopo leo hii mnatarajia wailipaje?Acheni kuwa wanafiki na kutaka kurebisha makosa yenu kwa gharama ya watanzania wasio na hatia.
 
Uzembe ni wenu mliopewa dhamana.Kama watu wamechukua mikopo leo hii mnatarajia wailipaje?Acheni kuwa wanafiki na kutaka kurebisha makosa yenu kwa gharama ya watanzania wasio na hatia.
Weka takwimu acha maneno matupu.
 
Kama ni tokea mwezi Mei basi serikali iko sahihi na pia tuvilaumu media maana hizi habari ziliwekwa kapuni bila kuchukulia kama agenda ya serikali.Leo wananchi tunaona kama serikali imewaonea viwanda vya Konyagi kumbe walipewa taarifa mapema.Hata hivyo Serikali iwasikilize upya suala hilo maana kuna madistributor ambayo huenda wamefichwa taarifa na viwanda na wana stock kubwa sana................Media hawatimizi wajibu wao
Huyu usimuani maana ni mtu wa propaganda na kugeuza uwongo kuwa ukweli na ukweli kuwa uoongo.
 
Warudishieni kodi zao basi!

Ova
Ukitaka kujua athari za hizi pombe nenda pale Muhimbili kitengo cha Figo itakusaidia kuelewa juu ya hili sakata mkuu. Achilia mbali wagonjwa wa Ini na magonjwa mengineyo yanayosababishwa na hizi pombe kali kwenye plastiki.
 
Hata wangewapa miaka 10 bado wangelalamika.
Mmesahau ya digitali na simu feki?
 
Unajiuliza walitumia sheria gani kupiga marufuku utengenezaji,usambazaji na uuzaji wa bidhaa ambayo awali ilikuwa inatambulika kuwa ni halali kisheria na serikali ilikuwa inakusanya kodi inayotokana na mauzo ya bidhaa hiyo na hupati jibu.

Nilitarajia ingetungwa sheria ya kupiga marufuku hii biashara ya viroba na hapo hapo wafanyabiashara hawa wangepewa muda wa kutosha wauze stock zao au ziharibiwe na serikali iwafidie lakini sio hivi walivyowafanyia.
Kwa hiyo unampa muuza sumu muda wa kutosha ili amalize kuuza stock yake ya sumu!? Ama kweli Tanzania kuna viumbe.
 
Wanaowaamini chadema matapeli waende muhimbili kitengo cha magonjwa ya akili wakapimwe haraka Sana
 
Kwa kukurupaka kwenu hawa jamaa wataenda mahakamani na kesi mtashindwa na fidia mtawalipa kwa kutumia kodi zetu.

Sasa jiulize hii ndio akili!!
siku hiyo nahisi utakenua meno hadi inzi wazame ulivyo genius
 
Kwa hiyo unampa muuza sumu muda wa kutosha ili amalize kuuza stock yake ya sumu!? Ama kweli Tanzania kuna viumbe.
Ni hivi , kilichomo ndani ya kiroba , yaani yale maji yanayonywewa hayajakatazwa , kilichokatazwa ni kile kikaratasi kinachohifadhia ile pombe yenyewe , kwahiyo hiyo sumu unayoisema wala haijakatazwa .
 
Sidhani kama unajua kilichokuwa ndani ya Viroba ni nini! Nenda kaulize wataalam (kemia) na Madaktari Muhimbili kwa nini magonjwa ya Figo na Ini yameongezeka kwa kiwango kikubwa miaka ya hivi karibuni!?
 
Nafikiri tuna nyota ya kukurupuka sana, maana kama zoezi la kuondoa viroba lilijulikana toka awali basi ungewekwa utaratiba wa kamaliza kwanza mzigo uliopo, then zoezi lianze rasmi, kuliko watanzania wa watu waliochukua mzigo wakiwa na matumaini ya kurudisha pesa zao, tena wamenunua kihalali kwa kuulipia kodi then mzigo unakuja kuwadodea, it is not Fair.

Kwa sababu content ni ile ile kama iliyopo kwenye chupa sema tofauti ni ujazo hivyo basi wangeweza kukusanya huo mzigo wa viroba ukarudi kiwandani kwa ajili ya ku repack na kuwekwa kwenye chupa ili mzigo uweze kurudi tena sokoni kama wanavyotaka serikali lakini at the same time wanakuwa wamewasaidia wenye mzigo wenyewe kutokula hasara.
 
Leta ushahidi kuwa lengo la serikali ni kuwafirisi....else mods naomba mfunge huu uzi na Polisi mkamateni huyu mfanyabiashara wa kariakoo kwa uchochezi.
Vitisho vina mwisho. Ushahidi gani wakati hata matendo yanaonyesha!
 
Inashangaza kuona kuna watu wenye akili timamu au sio timamu humu mnatetea Wauzaji Viroba na Kodi wanazolipa...wakati huo huo mnashindwa kuhoji kuhusu Kodi zetu zinavyotumika kuwatibu wagonjwa wa Figo na Ini kwa madhara ya unywaji Viroba pale Muhimbili.
 
Sidhani kama unajua kilichokuwa ndani ya Viroba ni nini! Nenda kaulize wataalam (kemia) na Madaktari Muhimbili kwa nini magonjwa ya Figo na Ini yameongezeka kwa kiwango kikubwa miaka ya hivi karibuni!?
Wakati mnaruhusu haya mlikuwa hamuyajui?Hamuoni mnapaswa hata kushitakiwa kwa kuhatarisha afya za wananchi?
 
Wakati mnaruhusu haya mlikuwa hamuyajui?Hamuoni mnapaswa hata kushitakiwa kwa kuhatarisha afya za wananchi?
Jifunze kuweka mihemko ya Siasa pembeni na kutumia busara na hekima wakati unapojadili masuala yenye manufaa mapana kwa Taifa.
 
Back
Top Bottom