Kwanini hakutoa nakala ya barua iliyoenda konyagi , badala yake analeta gazeti ?
Mkuu serikali ilitoa muda wauze ila wasiendelee kuzalisha. Watanzania hatukuwa na utamaduni wa kutii maagizo ya serikali. Hivyo uzalishaji uliendelea kwa mawazo ya kuuza kimagendo. Kumbe serikali ya sasa inasimamia maagizo yake. Waliambiwa watafute vifungashio vingine yaani chupa ili isiwe rahisi kunywa hovyo kila wakati kwa maana bei ingepanda. Mbona Valuer za chupa zipo ila valuer za viroba zinakamatwa?Unajiuliza walitumia sheria gani kupiga marufuku utengenezaji,usambazaji na uuzaji wa bidhaa ambayo awali ilikuwa inatambulika kuwa ni halali kisheria na serikali ilikuwa inakusanya kodi inayotokana na mauzo ya bidhaa hiyo na hupati jibu.
Nilitarajia ingetungwa sheria ya kupiga marufuku hii biashara ya viroba na hapo hapo wafanyabiashara hawa wangepewa muda wa kutosha wauze stock zao au ziharibiwe na serikali iwafidie lakini sio hivi walivyowafanyia.
Swali kwako: tangu uhuru serikali haikujua kwamba viroba vina madhara? Kwa nini viroba vina nembo ya tbs? Kwanini wanachukua kodi kwa wazalishaji na wauzaji? Izi ni pumba unaongea na hata hujielewi yani mnaboa kweli watu kama nyie,mtu ana mzigo wa bilioni stoo unamwambia asiuze eti ni marufuku nilipe basi fidia hutaki izo ndio bangi zenyewe sasa serikali ya ovyo kuwahi kutokeaHUYU BILA SHAKA NI KIONGOZI TOKA UFIPA......maana VIROBA ilikuwa ni mtajii mkubwa sana kwao....ANGALIENI HATA NYUZI ZAKE ANAZOLETAGA HUMU.....huwa zimekaa kiviroba roba tu
AFU INAUMA SANA MNAPOKUWA WATETEZI KWENYE MAMBO YA KIBANGI BANGI......
Hivi unaanzaje kutetea maslahi ya WACHACHE ukiacha WENGI wa kiumia na tena NI NGUVU KAZI MUHIMU SANA KWA MUSTAKABALI wa NCHI HII......nyie aliye walaani mkamuombe msamaha.....Atah hayupo mbali yupo hapo CANADA tu
We hakuna unachokijua na hakuna wa kukuelewesha hapa,nagundua kitu,kumbe tuna mbugila mbugila wengi nchi hii ndio maana tunaburuzwa tu, au na we ndo haohao kama ndio hivyo basi msijitoe ufahamu kiasi hichoWaende mahakamani wakafungue kesi gani labda?
swali la kujiuliza
1.content iliyomo kwenye viroba Ni haramu??
2.vifungashio Ni halali?
3.stock iliyokua imesha tengenezwa ina hasara kiasi gani
Afu ndo tuanze kutetea serikari mkurupuko
Hii ndio africa bana kupata haki ni ndoto za mchana wa jua kaliWarudishieni kodi zao basi!
Ova
Swali kwako: tangu uhuru serikali haikujua kwamba viroba vina madhara? Kwa nini viroba vina nembo ya tbs? Kwanini wanachukua kodi kwa wazalishaji na wauzaji? Izi ni pumba unaongea na hata hujielewi yani mnaboa kweli watu kama nyie,mtu ana mzigo wa bilioni stoo unamwambia asiuze eti ni marufuku nilipe basi fidia hutaki izo ndio bangi zenyewe sasa serikali ya ovyo kuwahi kutokea
Kama kuna issue serikAli inAkosa umakini ni mambo kamA hAyA. KAma issue ni mazingira mbona hAwajapiga marufuku mifuko ya plastic. Kama ni kilevi mbona kiroba dozi yake ni ndogo kulinganisha vinywaji vingine? Mbona wanakamata wafanyabishara hovyo bila kuwaambia wapeleke viroba wapi? Kwa nini wAlichukua vat? Je kwa nini wasirudishe?
acha uongo mimi nakujua wewe unauza virobaWakuu , kwanza naomba kukiri kwamba mimi ni mfanyabiashara ( siuzi viroba wala pombe ya aina yoyote ) , hivyo ninafahamu gharama za uwekezaji wowote wa halali , haya wanayotendewa wauza viroba , wasambazaji na watengenezaji si sahihi na wala hakuna porojo zozote zinazoweza kuhalalisha jambo hili .
Lengo kuu hapa ni kuwafirisi wahusika , sababu za serikali kutaka kufirisi Raia wake bado hazijafahamika , nawashauri wafanyabiashara , wasambazaji pamoja na wenye viwanda nendeni mahakamani .
Uzoefu unaonyesha kwamba serikali ya awamu ya 5 haijawahi kuwa na huruma kwa raia wake , kwahiyo haya wanayoyasema na kuyapanga hawatanii , angalieni waliyotendewa wananchi wa Mkwajuni , Mahakama pekee ndio iliyokuja kuokoa wengine wa mabondeni wasidhalilishwe , kuna haja kubwa sana ya kwenda mahakamani sasa .
Ikumbukwe kwamba biashara ya viroba si haramu , na imekwisha lipiwa kodi na wahusika wote , Ni Mahakama pekee inayoweza kuweka utaratibu wa kumaliza kwanza mzigo uliopo sokoni kabla ya kufuata utaratibu mwingine .
Uoga ni umasikini
kumbe siku nyingine unakuwaga na akili.......!Kwa issue ya viroba siwatetei kamwe watengenezaji pamoja na wauzaji.Kwanz apombe hizi zipo chini ya kiwango ndiyo sababu zina madhara makubwa sana kwa vijana.
Inabidi hata wakiamua kuweka kwenye chupa bado hivi viwanda vitembelewe na wanaopima vyakula.Wenye hivi viwanda ni wauaji kabisa.Ni bora vifungwe kabisa
Hahahaha serikali zetu hela ikingiaa kwao hawarudishi.....hesabu maumivuHii ndio africa bana kupata haki ni ndoto za mchana wa jua kali
Watanzania sisi ni waoga sana wa mahakama. Haki zetu za msingi zinaporwa tunachukulia Ile ya kawaida ni kama sheria.Wafanyabiashara are hopeless, why cant they go to the court of law! Woga tu umetawala... definitely ukienda mahakamani watakuandama, liwalo na liwe!
Wakuu , kwanza naomba kukiri kwamba mimi ni mfanyabiashara ( siuzi viroba wala pombe ya aina yoyote ) , hivyo ninafahamu gharama za uwekezaji wowote wa halali , haya wanayotendewa wauza viroba , wasambazaji na watengenezaji si sahihi na wala hakuna porojo zozote zinazoweza kuhalalisha jambo hili .
Lengo kuu hapa ni kuwafirisi wahusika , sababu za serikali kutaka kufirisi Raia wake bado hazijafahamika , nawashauri wafanyabiashara , wasambazaji pamoja na wenye viwanda nendeni mahakamani .
Uzoefu unaonyesha kwamba serikali ya awamu ya 5 haijawahi kuwa na huruma kwa raia wake , kwahiyo haya wanayoyasema na kuyapanga hawatanii , angalieni waliyotendewa wananchi wa Mkwajuni , Mahakama pekee ndio iliyokuja kuokoa wengine wa mabondeni wasidhalilishwe , kuna haja kubwa sana ya kwenda mahakamani sasa .
Ikumbukwe kwamba biashara ya viroba si haramu , na imekwisha lipiwa kodi na wahusika wote , Ni Mahakama pekee inayoweza kuweka utaratibu wa kumaliza kwanza mzigo uliopo sokoni kabla ya kufuata utaratibu mwingine .
Uoga ni umasikini
Kwa sababu ya zuio la gafla ni lazima wafanya biashara walipwe fidia hakuna maneno mengine ya kusema haposheria ilkua haijapitishwa ndio maan miaka hio mingine vilikuepo ila sasaiv kuna sheria
Na uzalishaji umepigwa marufuku automatically hawatakusanya kodi kwao tena