Sakata la viroba: Wafanyabiashara nendeni Mahakamani

Sakata la viroba: Wafanyabiashara nendeni Mahakamani

Rudisheni kodi. Zao basi!

Ova
Sio kodi zao tu na inunue mzigo wote walioukamata ili wakaiangamize na kuokoa mitaji ya wafanyabiashara hawa walipa kodi.
Haiingii akilini kuwa tfda na tbs na hata wizara ya afya na ofisi ya makamu was raid mazigira walitoa vibali kwa viwanda vya viroba kutengeneza na kuuza kwa wanywaji na eti sasa wanazuia as if wameanza leo kutengeneza na kuuza!
Waende mahakamani kupinga hili LA kutiana hasara bila mpangilio na watalipwa fidia kubwa tu.
 
Kweli wange fidiwa

Ova
 
Kali sana Safari anasubiri.....balimi kdg kaokoa jahazi ukipiga 4 hoi aise

OvA
Bali 4 ni 6000 tu mkuu...Daaah kweli hii ni oya oya kwa masela. Itafungiwa sasa hivi ...hahaha.
 
Bali 4 ni 6000 tu mkuu...Daaah kweli hii ni oya oya kwa masela. Itafungiwa sasa hivi ...hahaha.
Ahhh tutaandamanaa sasa.....alafu Ina ladha nzuri sanaaa nkipiga 3 tu toshaaa aisse

Ova
 
Wakuu , kwanza naomba kukiri kwamba mimi ni mfanyabiashara ( siuzi viroba wala pombe ya aina yoyote ) , hivyo ninafahamu gharama za uwekezaji wowote wa halali , haya wanayotendewa wauza viroba , wasambazaji na watengenezaji si sahihi na wala hakuna porojo zozote zinazoweza kuhalalisha jambo hili .

Lengo kuu hapa ni kuwafirisi wahusika , sababu za serikali kutaka kufirisi Raia wake bado hazijafahamika , nawashauri wafanyabiashara , wasambazi pamoja wenye viwanda nendeni mahakamani .

Uzoefu unaonyesha kwamba serikali ya awamu ya 5 haijawahi kuwa na huruma kwa raia wake , kwahiyo haya wanayoyasema na kuyapanga hawatanii , angalieni waliyotendewa wananchi wa Mkwajuni , Mahakama pekee ndio iliyokuja kuokoa wengine wa mabondeni wasidhalilishwe , kuna haja kubwa sana ya kwenda mahakamani sasa .

Ikumbukwe kwamba biashara ya viroba si haramu , na imekwisha lipiwa kodi na wahusika wote , Ni Mahakama pekee inayoweza kuweka utaratibu wa kumaliza kwanza mzigo uliopo sokoni kabla ya kufuata utaratibu mwingine .

Uoga ni umasikini
Unatakiwa ujue kuwa walishapewa taari zaidi ya mwaka,lakini kwa mazoea ya watanzania wakajua muda utaongezwa tu.Kuna stock imekutwa ina siku tatu kabla ya deadline,sasa hapo unakwenda mahakamani kufanya nini?
Halafu nia ni kuondoa viroba sokoni,huo mzigo unaweza kufanyiwa re-packing sio kwamba umeharibiwa au kutaifishwa
 
Hiyo haiharibu afya , au taarifa zake bado hazijakufikia hapo Muhimbili ?
Mkuu balimi mambo ya shahiri.....beer yyte ukinywaa kupitiliza lazimaa itakuaribuu.....
Sema serikali ingejaribu kuwa fidia waliyolipa kodi za viroba

Ova
 
Unatakiwa ujue kuwa walishapewa taari zaidi ya mwaka,lakini kwa mazoea ya watanzania wakajua muda utaongezwa tu.Kuna stock imekutwa ina siku tatu kabla ya deadline,sasa hapo unakwenda mahakamani kufanya nini?
Halafu nia ni kuondoa viroba sokoni,huo mzigo unaweza kufanyiwa re-packing sio kwamba umeharibiwa au kutaifishwa
Tuonane mahakamani mkuu , wakazi wa Mkwajuni pamoja na kwamba waliomba japo watoe bati tu kwenye nyumba zao lakini hawakusikilizwa .

Hatudanganyiki tena .
 
Tena wewe mkuu naskia asubuhi tu unapiga kiroba ukienda mzigoni mifuko hadi kwenye begi unabeba viroba kwikwikwi

Ova
 
Tuonane mahakamani mkuu , wakazi wa Mkwajuni pamoja na kwamba waliomba japo watoe bati tu kwenye nyumba zao lakini hawakusikilizwa .

Hatudanganyiki tena .
Kwa akili yako ya biashara pale jangwani ni sehemu salama ya kuishi binadamu?
 
kwa mnaosema awajapewa mda Leo mh Makamba ameongea kasema walitoa tangazo tangu mwaka Jana

kaonesha na ushahidi wa gazeti la Mwananchi la mwenzi may mwaka Jana liliripoti io habari

ila kama kawaida yetu watanzania tulipuuza na kudhan n maneno ya kwenye kanga
 
Kwanini hakutoa nakala ya barua iliyoenda konyagi , badala yake analeta gazeti ?
 
swali la kujiuliza
1.content iliyomo kwenye viroba Ni haramu??
2.vifungashio Ni halali?
3.stock iliyokua imesha tengenezwa ina hasara kiasi gani

Afu ndo tuanze kutetea serikari mkurupuko
 
walikulupuka kulifungia gazeti la MAWIO jana limeludishwa na Mahakama, na wizara ya Nape inatakiwa kulipa toka siku walipolifungia, ndiyo faida ya kukulupuka.
 
HUYU BILA SHAKA NI KIONGOZI TOKA UFIPA......maana VIROBA ilikuwa ni mtajii mkubwa sana kwao....ANGALIENI HATA NYUZI ZAKE ANAZOLETAGA HUMU.....huwa zimekaa kiviroba roba tu

AFU INAUMA SANA MNAPOKUWA WATETEZI KWENYE MAMBO YA KIBANGI BANGI......

Hivi unaanzaje kutetea maslahi ya WACHACHE ukiacha WENGI wa kiumia na tena NI NGUVU KAZI MUHIMU SANA KWA MUSTAKABALI wa NCHI HII......nyie aliye walaani mkamuombe msamaha.....Atah hayupo mbali yupo hapo CANADA tu

Rudisheni kodi za viroba mlizochukua, vinginevyo mnakinai kinyesi ila mnapenda kula funza watokanao na kinyesi.
 
Mie sioni tatizo maana huku kwetu Ikwiriri tunakunywa viroba vya kupima.!
Maana ilipotangazwa tu kuwa vimezuiliwa wauzaji walivikamulia kwenye madumu na kuzitupa zile paketi hivyo ni mwendo wa kupima kwenye kikombe.
 
Back
Top Bottom