Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
akili unazo...lakini muda mwingine huzitumii unaazima akili za BAVICHA
Tatizo la UVCCM adabu hamna,mnafikiria kama mko chooni.Pole sana akili za kushikiwa ni mpaka pale aje mtu wa nje kuzichomoa.
akili unazo...lakini muda mwingine huzitumii unaazima akili za BAVICHA
Twende hatua kwa hatua sasa; Serikali iliisha chukua KODI kwenye hi kitu au haikuchukua!? Kwanza naomba ku declare conflict of interest; hua sinywi pombe since miaka ya mwanzoni mwa 90 and hence radha ya KIROBA hata sijui ikoje.HUYU BILA SHAKA NI KIONGOZI TOKA UFIPA......maana VIROBA ilikuwa ni mtajii mkubwa sana kwao....ANGALIENI HATA NYUZI ZAKE ANAZOLETAGA HUMU.....huwa zimekaa kiviroba roba tu
AFU INAUMA SANA MNAPOKUWA WATETEZI KWENYE MAMBO YA KIBANGI BANGI......
Hivi unaanzaje kutetea maslahi ya WACHACHE ukiacha WENGI wa kiumia na tena NI NGUVU KAZI MUHIMU SANA KWA MUSTAKABALI wa NCHI HII......nyie aliye walaani mkamuombe msamaha.....Atah hayupo mbali yupo hapo CANADA tu
Mambo mengine yanachekesha sana, hivi si TBS, watu wa Mazingira na TFDA walioridhia uuzwaji wa viroba.What has happened.Kuna kitu kinatusumbua hapa. May be ni umaskini na lack of knowledge.Debate inayoendelea nchini kwa sasa kuhusu viroba inaonyesha kwamba watu walio wengi na viongozi kwa ujumla either hawajui ubaya wa viroba au there is money at stake.Kwanza viroba vinachafua mazingira kwa kuwa haviozi.Lakini liquids kama liquors au chakula kinapowekwa kwenye plastics ni mbaya sana.Plastics ni poisonous,kwa hiyo mtu anapokunywa pombe iliyoko kwenye kiroba,he is also consuming the poison in the plastic!Ni poison mara mbili,ya pombe na ya kiroba.So somehow the government is right,lakini why now and not then?The government has a case to answer.Wakuu , kwanza naomba kukiri kwamba mimi ni mfanyabiashara ( siuzi viroba wala pombe ya aina yoyote ) , hivyo ninafahamu gharama za uwekezaji wowote wa halali , haya wanayotendewa wauza viroba , wasambazaji na watengenezaji si sahihi na wala hakuna porojo zozote zinazoweza kuhalalisha jambo hili .
Lengo kuu hapa ni kuwafirisi wahusika , sababu za serikali kutaka kufirisi Raia wake bado hazijafahamika , nawashauri wafanyabiashara , wasambazaji pamoja na wenye viwanda nendeni mahakamani .
Uzoefu unaonyesha kwamba serikali ya awamu ya 5 haijawahi kuwa na huruma kwa raia wake , kwahiyo haya wanayoyasema na kuyapanga hawatanii , angalieni waliyotendewa wananchi wa Mkwajuni , Mahakama pekee ndio iliyokuja kuokoa wengine wa mabondeni wasidhalilishwe , kuna haja kubwa sana ya kwenda mahakamani sasa .
Ikumbukwe kwamba biashara ya viroba si haramu , na imekwisha lipiwa kodi na wahusika wote , Ni Mahakama pekee inayoweza kuweka utaratibu wa kumaliza kwanza mzigo uliopo sokoni kabla ya kufuata utaratibu mwingine .
Uoga ni umasikini
Viroba vinaharibuje watu? Madhara ya viroba unaweza kuyalinganisha na madhara yanayotokana na watu kuwa na mahaba ya kipuuzi kwa vyama vya siasa?
Umekomea karibu katika kuunganisha uzi wako.Wakuu , kwanza naomba kukiri kwamba mimi ni mfanyabiashara ( siuzi viroba wala pombe ya aina yoyote ) , hivyo ninafahamu gharama za uwekezaji wowote wa halali , haya wanayotendewa wauza viroba , wasambazaji na watengenezaji si sahihi na wala hakuna porojo zozote zinazoweza kuhalalisha jambo hili .
Lengo kuu hapa ni kuwafirisi wahusika , sababu za serikali kutaka kufirisi Raia wake bado hazijafahamika , nawashauri wafanyabiashara , wasambazaji pamoja na wenye viwanda nendeni mahakamani .
Uzoefu unaonyesha kwamba serikali ya awamu ya 5 haijawahi kuwa na huruma kwa raia wake , kwahiyo haya wanayoyasema na kuyapanga hawatanii , angalieni waliyotendewa wananchi wa Mkwajuni , Mahakama pekee ndio iliyokuja kuokoa wengine wa mabondeni wasidhalilishwe , kuna haja kubwa sana ya kwenda mahakamani sasa .
Ikumbukwe kwamba biashara ya viroba si haramu , na imekwisha lipiwa kodi na wahusika wote , Ni Mahakama pekee inayoweza kuweka utaratibu wa kumaliza kwanza mzigo uliopo sokoni kabla ya kufuata utaratibu mwingine .
Uoga ni umasikini
hovyooooo!Leta ushahidi kuwa lengo la serikali ni kuwafirisi....else mods naomba mfunge huu uzi na Polisi mkamateni huyu mfanyabiashara wa kariakoo kwa uchochezi.
Acha Upopoma we Mulugo type Division Five.Leta ushahidi kuwa lengo la serikali ni kuwafirisi....else mods naomba mfunge huu uzi na Polisi mkamateni huyu mfanyabiashara wa kariakoo kwa uchochezi.
Ukiondoa ushabiki mwingi kwenye uzi wako,naamini unahoja,lakini sijui kama umefanya utafiti wa kutosha na ukajiridhisha kuwa hilo katazo lilitolewa lini. Rejea matumizi ya dawa aina ya chloroquine,mifuko ya plastic Zanzibar nk.Wakuu , kwanza naomba kukiri kwamba mimi ni mfanyabiashara ( siuzi viroba wala pombe ya aina yoyote ) , hivyo ninafahamu gharama za uwekezaji wowote wa halali , haya wanayotendewa wauza viroba , wasambazaji na watengenezaji si sahihi na wala hakuna porojo zozote zinazoweza kuhalalisha jambo hili .