Sakata la ununuzi wa S-400: Marekani yaiwekea vikwazo Uturuki

Usalama wa taifa gani wakati yupo NATO.
akitaka uhuru huo atoke NATO aone kama Kuna mtu atamkataza kununua silaha Russia.
Huo ndo unafiki yaani upo NATO lakini unataka uwasaidie adui wa NATO.
Kipindi wanajeshi wake wanauawa Syria na vikosi vya Asad mbona hiyo nato haikuthubutu kubweka.
Kwa sasa mifumo ya ulinzi ya marekani haiaminiki tena maana imesha ionesha udhaifu mkubwa kwenye medani za kivita .
Na si Uturuki ata Pakistan ambaye kwa miaka mingi imekuwa mshirika wa Marekani sasa hivi ameacha kununua silaha Marekani.
 
Aache ku destabilize NATO, kwa kushirikiana na maadui wa NATO na kuwa provoke NATO members.

Hilo ndo kosa kubwa alishaonywa mara kadhaa lakini erdogan anajikuta kichwa ngumu, sasa vikwazo ndo vitampa akili, na akiendelea atachapwa.
Ahaaa eti apigwe hivi una dhani vita ni kitu rahisi namna hiyo.
Kuhusu vikwazo havitaiathiri kwa sababu havija ulenga uchumi wake bali vimewalenga watu binafisi na mali zao.
 
Lakini hizi sije kuwa sarakas kama zile za akina lowasa, membe etc zidi ya upinzani siamini sana hii issue ya uturuk na usa, isije ikawa nato wanataka kusoma vema haya machuma chuma na hapa wanajidai kumzubaisha mrusi kwamba wamekereka na wanamwekea vikwazo kumbe kwa mlango wa nyumba missions done
 
Usalama wa taifa gani wakati yupo NATO.
akitaka uhuru huo atoke NATO aone kama Kuna mtu atamkataza kununua silaha Russia.
Huo ndo unafiki yaani upo NATO lakini unataka uwasaidie adui wa NATO.

Vipi kuhusu china maana nae kawawekea vikwazo alivyonunua huo mfumo wa ulinzi kwa ne yupo NATO?
 
Aache ku destabilize NATO, kwa kushirikiana na maadui wa NATO na kuwa provoke NATO members.

Hilo ndo kosa kubwa alishaonywa mara kadhaa lakini erdogan anajikuta kichwa ngumu, sasa vikwazo ndo vitampa akili, na akiendelea atachapwa.
Mkuu kwa sasa ni vigumu kumchapa! Kama mwanachama wa NATO anajua siri zote za kijeshi za NATO na achilia mbali kuzijua siri za NATO nadhani sasa hivi yuko vizuri katika Technology ya silaha.
Sema vikwazo vinatosha kumnyosha mpaka ashike adabu.
Tukubali kuwa,Russia kwa huu mtambo wa S-400 inatisha!
 
"sanjari na zuio la mikopo kutoka katika mashirika ya fedha ya kimataifa kama vile World Bank." How is this possible?
 
Mkuu kwa sasa ni vigumu kumchapa! Kama mwanachama wa NATO anajua siri zote za kijeshi za NATO na achilia mbali kuzijua siri za NATO nadhani sasa hivi yuko vizuri katika Technology ya silaha.
Sema vikwazo vinatosha kumnyosha mpaka ashike adabu.
Tukubali kuwa,Russia kwa huu mtambo wa S-400 inatisha!
Uturuki anachapika kirahisi Sana. Kule katika mgogoro wa Mediterranean na ugiriki alivojifanya mbishi walitaka wamchape aka omba poo.

France, Egypt, UAE walishasema aondoe meli za gas exploration la sivyo anapigwa na France akaanza kutuma ndege zake kwenda Greece. Erdogan akaamua aombe poo akaondoa vimeli vyake.
 
Kipindi wanajeshi wake wanauawa Syria na vikosi vya Asad mbona hiyo nato haikuthubutu kubweka.
Kwa sasa mifumo ya ulinzi ya marekani haiaminiki tena maana imesha ionesha udhaifu mkubwa kwenye medani za kivita .
Na si Uturuki ata Pakistan ambaye kwa miaka mingi imekuwa mshirika wa Marekani sasa hivi ameacha kununua silaha Marekani.
NATO walimtuma avamie Syria?? Apambane na hali yake. NATO hawakusaidii ukiwa outside your country unilaterally.
 
Mkuu kwa sasa ni vigumu kumchapa! Kama mwanachama wa NATO anajua siri zote za kijeshi za NATO na achilia mbali kuzijua siri za NATO nadhani sasa hivi yuko vizuri katika Technology ya silaha.
Sema vikwazo vinatosha kumnyosha mpaka ashike adabu.
Tukubali kuwa,Russia kwa huu mtambo wa S-400 inatisha!
uturuki wakukuletea ufara kaanike Siri ZOTE za NATO,, IRANI afu utaona baraa la Waajemi
 
Mifumo ya ulinzi ya marekani imeonesha udhaifu mkubwa sana ,sasa hivi hakuna aliye tayari kuuweka usalama wa taifa lake rehani eti kwa ajili ya kuifurahisha Mare

Waturuki bado wana karata ya kuwakomesha Wamerikani, wawambie Wamerikani wafunge airbase yao nchini Uturuki, waondoe ndege zao za vita pamoja na wanajeshi, waondoe mabom ya nuklia kwenye maghara wayahamishie Ujerumani au Merikani - Uturuki ijiondoe kwenye ushirika wa NATO ajiunge na Urusi, Uchina,Korea kasikazini,Iran na Syria - NATO itakuwa imepoteza pivotal member kwa kuwa Uturuki ndio ya pili kuwa na jeshi kubwa ndani ya NATO, ya kwanza ni Merikani - therefore NATO alliance gotta lotta lose Uturuki ikijiondoa kijeshi na kushirikiana na Mataifa mengine tajwa hapo juu.
 
Back
Top Bottom