Mwambie turkey akachimbe mafuta tena kule Mediterranean coast karibu na Greek.Achapwe nanani hehehe hakuna wakumchapa wataishia kujidanganya tu navikwazo vyao uchwara.....
Mbona amekimbia na ametoa meli zake.
Mwambie turkey akachimbe mafuta tena kule Mediterranean coast karibu na Greek.Achapwe nanani hehehe hakuna wakumchapa wataishia kujidanganya tu navikwazo vyao uchwara.....
Ujerumani pia kaeKewa vikwazo na USA. Fuatilia ishu ya NORD STREAM 2.Sawa mbona ata ujerumani ni member wa NATO, lakini ananunua mafuta na Gesi Urusi? wa muache Uturuki anunue atakacho, Uturuki wamejiridhisha S-400 ni bora katika kujilinda, asie Mturuki anabisha.
Ottoman empire imepigwa Sana na russia empire. Karibia kila vita Russia alikua anamchapa ottoman empire.Hivi uturuki unaisikia ama unahadithiwa?,,uturuki ishawahi kuinyuka karibu ulaya nzima na ilizipiga Russia na kuteka maeneo kibao,kama crimea,bosnia,turkeministan etc,uturuki ni nchi yenye jeshi la kueleweka,usiichukulie poa
Sijui kama una habari uturuki bado wanaikalia sehemu ya ugiriki,,katika jeshi la NATO uturuki ni ya pili baada ya US,,,,Usifananishe Ottoman empire na uturuki kaka.
Uturuki kama uturuki ni zaifu Sana katika medani za kivita.
Kwa nje, ni vikwazo sababu ya S-400, ila kwa ndani vita baridi kati ya USA against Turkey.
Hii ishu imeanzia kwenye failed coupe d'etat, ikaja ishu ya wakurd na pia kucounter influence ya turkey middle east ambayo inatishia interest za marekani
Hii issue ya mapinduzi ya 2016 imesheheni conspiracy theories kedekede huku kila upande ukitoa madai tofauti-tofauti!Beef ya Turkey na US ilianza baada ya kufail kwa njama za kumpindua Endorgan ambazo zilisaidiwa na US,,tangu hapo mturuki akajua US hayuko nae kwa 100%,ndo kisa cha uturuki kuanza kununua air defence ya mrusi,,kwani kabla ya hapo,alikuwa kila akiweka order ya Patriot air defence,, marekani alikuwa akipiga chenga,,na akiwambia uturuki wasiwe na hofu kwani uturuki italindwa kwa air defence za NATO,,,kumbe marekani alitaka uturuki ibaki weak bila air defence ili siku wakikosana iwe rahisi kwa marekani kuishambulia uturuki,,so waturuki walishituka,
Suala la marekani kushiriki kutaka kumpindua endorgan mbona liko wazi sana,wala sio consipracy theory,,kwa tuliiojuwa tunafuatilia tukio live wala haihitaji kujiuliza mara mbili,au hujui hadi jeshi la uturuki liliizunguka kambi ya askari wa marekani na wakazuiwa kutoka au kuingia kwa wiki nzima na walikatiwa hadi huduma za maji,,fuatilia nyuzi za wiki ile..Hii issue ya mapinduzi ya 2016 imesheheni conspiracy theories kedekede huku kila upande ukitoa madai tofauti-tofauti!
Hoja kuwa Marekani imehusika katika jaribio la mapinduzi nchini Uturuki ni hoja isiyo na uthibitisho unaojitosheleza hivyo sioni kama ni sababu ya hii issue ya sasa.
Hoja nyingine kuwa Marekani ilikataa kuipatia Uturuki mfumo wa kujihami kwa sababu iwe rahisi kwa Marekani kuishambulia Uturuki siku watakapokosana, pia si hoja yenye mashiko.
Kuna jambo lisilofahamika na wengi:
Hii mifumo ya ulinzi iko katika udhibiti wa kimfumo unaojitosheleza wa NATO sambamba na Marekani ambaye ndiye mzalishaji mkuu wa mifumo iliyopo na itumikayo na Jumuiya. Hivyo, kama ni suala la Uturuki kushambuliwa na Marekani, mifumo ya Patriot kwa Uturuki si suluhisho la mashambulizi.
Mifumo ya ulinzi wa anga ya NATO iko katika ushirika wa kimfumo na mifumo mingineyo ya kivita ndani ya Jumuiya hiyo.
Mfano mmojawapo ni ndege za F-35 ambazo zimeundwa kupitia mpango maalumu wa pamoja ujulikanao kama, Joint Strike Fighter (JSF). Mifumo ya ulinzi wa anga ya NATO imewezeshwa ama imedhibitiwa kutambua mifumo mingineyo rafiki zikiwemo ndege hizo, hivyo kutozishambulia. Hili linafanyika hasa kupitia mifumo ijulikanayo kama, Identification Friend or Foe.
Ukiachana na hilo, kuna mengineyo na ya ndani zaidi ambayo hata kampuni nyinginezo huwa zinayafanya pale zinapohitaji kuweka udhibiti zaidi wa bidhaa hususani masuala ya kiusalama endapo bidhaa husika itatumika vibaya ama kuangukia katika mahali pasipo salama ama kwa mtu asiyefaa. Kuna mechanisms mbalimbali za kiusalama ikiwemo moja maarufu sana, kwa kiingereza tunaiita, Kill Switch!
Complexity iliyopo katika mifumo hii ya kujihami haitoi fursa kwa mtumiaji wa mwisho kuwa na udhibiti wa asilimia 100 sawa na yule aliye-design ama aliyeiunda kiwandani. Hata linapokuja suala la kuanza kuitumia, 'semina elekezi' lazima ihusike kwa muda wa kutosha ndiposa mnunuzi ama mtumiaji aweze kuitumia mifumo ipasavyo.
Hivyo, hoja ya Uturuki kutopewa mfumo wa ulinzi ili ashambuliwe automatically inakosa mashiko sababu hata ikipewa ama kuuziwa mfumo huo ambao uko integrated na mifumo mingine ya NATO, hautoweza kuwa na ufanisi dhidi ya mifumo ya udhibiti ya NATO na Marekani.
Hayo ni madai (allegations). Hayana uthibitisho unaojitosheleza.Suala la marekani kushiriki kutaka kumpindua endorgan mbona liko wazi sana,wala sio consipracy theory,,kwa tuliiojuwa tunafuatilia tukio live wala haihitaji kujiuliza mara mbili,au hujui hadi jeshi la uturuki liliizunguka kambi ya askari wa marekani na wakazuiwa kutoka au kuingia kwa wiki nzima na walikatiwa hadi huduma za maji,,fuatilia nyuzi za wiki ile..
Kuhusu mifumo ya kuulinzi ya anga ya NATO kuwa ya pamoja,,mbona ujerumani,UK,ufaransa,ugiriki etc wana mifumo yao individually?
Unajua kwamba ujerumani ilikuwa na air defence yake uturuki?,ntakupa evidence kuonyesha hizi nchi zina individuals air defence pia na hazitegemei sana defence shield ya NATO ambayo kiuhalisia ipo katika ardhi ya uturuki,,sasa jiulize kwanini licha ya defence shield kuwa uturuki,kwanini waturuki bado walihisi wanajitaji air defence yao,tena ya mrusi?.Hayo ni madai (allegations). Hayana uthibitisho unaojitosheleza.
Wapo pia wasemao kuwa mapinduzi yalikuwa staged aidha na Erdogan mwenyewe ama watu wake kwa sababu zao kadha wa kadha.
Zote hizo ni conspiracy theories. Hazina uthibitisho na yanabaki kuwa madai tu.
Ujerumani, UK, Ufaransa, Ugiriki n.k. ziko katika mtandao wa NATO unaofahamika kama NATINADS. Mifumo mbalimbali ya ulinzi inayotumika na nchi hizo iko integrated na NATO (NATO Integrated Air Defense System), mtandao ambao upo tangu miaka ya 60.
Defense shield ya NATO ndiyo hiyo NATINADS niliyoitaja hapo awali.Unajua kwamba ujerumani ilikuwa na air defence yake uturuki?,ntakupa evidence kuonyesha hizi nchi zina individuals air defence pia na hazitegemei sana defence shield ya NATO ambayo kiuhalisia ipo katika ardhi ya uturuki,,sasa jiulize kwanini licha ya defence shield kuwa uturuki,kwanini waturuki bado walihisi wanajitaji air defence yao,tena ya mrusi?.
Kwanini marekani alikuwa anajivuta vuta kumuuzia uturuki air defence ya patriot-3 richa ya uturuki kutaka kulipia?.
Kwanini siku moja baada ya tukio la kutaka kupinduliwa Endorgan,majeshi ya uturuki yaliizingira kambi ya marekani na kuwaweka askari wa marekani hostage kwa wiki nzima?.
Nitajie hivyo vikwazo mkuu, mimi nijuavyo alitishia lakini hakuweka vikwazo, labda unaweza kuwa na taarifa kamili karibuUjerumani pia kaeKewa vikwazo na USA. Fuatilia ishu ya NORD STREAM 2.
Ujerumani pia kaeKewa vikwazo na USA. Fuatilia ishu ya NORD STREAM 2.
India haja nunua S-400 na hatanunua kamwe. Na vikwazo alivyo pewa turkey ni fundisho kwa wengine ili Wasi subutu.
Ha..!!,kuwekwa hostage hakunaga makubaliano,,waliwekwa lock down na wakakatiwa umeme,,hujasoma hiyo article hapo juu?..Defense shield ya NATO ndiyo hiyo NATINADS niliyoitaja hapo awali.
Nchi wanachama zinaweza kuwa na local defense systems lakini zikawa integrated na mifumo ya NATO.
Isitoshe, hiyo mifumo maalumu "individual" hata uzalishwaji wake ni kupitia joint programs na kampuni za Kimarekani na ushirika wa nchi nyingine ndani ya NATO. Ukifanya research ndogo, Ujerumani, Italy, Uingereza, Spain, Marekani n.k. hufanya miradi mbalimbali ya pamoja ya utengenezaji silaha na mifumo ya kijeshi kama Jumuiya.
Chukulia mfano mradi wa MEADS ambao ume-replace Patriot nchini Ujerumani, ni mradi ulio chini ya NATO unaoijumuisha Marekani na nchi washirika.
Tukirudi katika sakata la Uturuki:
Ni kweli kuwa Uturuki inahitaji air defense system. Waturuki hawakuanzia kwenye S-400 bali walikwisha fanya mazungumzo hadi na mataifa mengine kama China kuhusu alternative.
Pia, hii si biashara tu ya kawaida bali ni mpango maalumu wa Uturuki kujiimarisha kiuchumi hasa kiviwanda. Hili tumekwisha lizungumzia humu mahali fulani.
Waturuki si kwamba wanataka kulipia tu bali wanataka na kitu kingine kihusike katika mkataba wa mauziano, nacho ni technology transfer.
Hawataki mfumo tu bali pia na teknolojia ya uzalishaji wa mfumo mzima ili iwawezeshe kujitegemea kwa kuzalisha mifumo yao wenyewe yenye kushabihiana na ya Kimarekani, kitu ambacho kampuni za Kimarekani hazikuwa tayari ku-offer teknolojia zao kwa upcoming competitor kwenye soko. Ndio maana ya huko kusua sua.
Hili ni tofauti kwa upande wa Urusi maana kampuni kuu za uzalishaji wa silaha zinamilikiwa na serikali (state owned). Hili lilirahisisha dili la S-400 kukamilika na kuendana na matakwa ya Uturuki ya kupewa teknolojia ya uzalishaji wa S-400, pia kizazi kijacho cha S-500.
Unasema, askari wa Marekani waliwekwa hostage? Hostage kwa kosa gani na makubaliano yapi?
Hostage situation na Lockdown ni vitu viwili tofauti kabisa!Ha..!!,kuwekwa hostage hakunaga makubaliano,,waliwekwa lock down na wakakatiwa umeme,,hujasoma hiyo article hapo juu?..
Vilevile ujerumani walinunua patriot air defence kutoka marekani na wala haikuwa joint production,,
Issue ya Jointstrike program,yaani F-35 ,ilikuwa ni program ya nchi za ulaya kutengeza jetfighter kwa pamoja,marekani hakuhusika mwanzo,,Turkey alihusika,baadae ufaransa wakajitoa,,mradi ukakumbwa na uhaba wa pesa ndo marekani nae akaingia na kuhodhi program lakini mwanzo marekani haikuhusika,,ndo maana hata hiyo fighter sikuhizi haiitwi jointstriker
Hehehehehe ukimaliza kuota utuambie MKUUHivi S_400 unazani inaweza msaidia chochote uturuki zidi ya USA.???
Marekani akitaka kuchukua uturuki anachukua mchana kweupe na hakuna wa kumzuia.
Vikwazo vimeekwa ila ile project ilishakamilika kwa 90% us anapiga kelele tu hana lakuwafanya vikwazo vishazoeleka mpaka kenya na uganda wanaekewa ila havina maana yyte zaidi yakuumiza raia sio mifumo husika(serikali) kuhusiana na vikwazo US alishafel mda sanaaaaaUjerumani pia kaeKewa vikwazo na USA. Fuatilia ishu ya NORD STREAM 2.
Kanunua s4 hawajaweza mchapa wataweza mchapa kwamafuta US dhaifu sana hiiiMwambie turkey akachimbe mafuta tena kule Mediterranean coast karibu na Greek.
Mbona amekimbia na ametoa meli zake.
Nikweli mkuu wameekewa ila havina athari yeyote ile kwaile project maana ushakamilika kwa 90%Nitajie hivyo vikwazo mkuu, mimi nijuavyo alitishia lakini hakuweka vikwazo, labda unaweza kuwa na taarifa kamili karibu