Sakata la uenyekiti ACT: LIMBU amvaa Zitto

Sakata la uenyekiti ACT: LIMBU amvaa Zitto

Hivi Limbu bado yupo tu? kubenea bado anatembea nae na kumuandia press kwaajili ya kudeal na Zitto?

Mna roho Mbaya na sasa naweza kuamini kuwa Chadema walimuua Chacha Wangwe.

Yaani Mtu Mmemfukuza tena kaondoka bila hata kuwachafua na kawataki kila heri lkn bado mpo nae tu.

Kumbe Zitto ananguvu kubws ndio maana mahafidhina yanaweweseka
 
Umeibuka mgogoro mkubwa sana ndani ya chama cha act tanzania
Mgogoro huo wa kugombania madaraka umeibuliwa na mwenyekiti wa act tanzania mh:limbu
Hoja yake ni kuwa zito kabwe awezi kugombea uongozi wowote wa chama kutoka na katiba ya act
Limbu amesema ili mwanachama agombe uongozi ndani ya chama lzm awe amekaa ndani ya chama kwa muda usiyo pungua miezi sita kwa mujibu wa limbu zito anakosa hizo sifa za kugombea uongozi

Si wamtimue na huko?
 
tatitizo jingine chama kina katiba mbili tofauti, kadi za chama aina mbili tofauti, katiba moja inasema mwanachama akijiunga anatakiwa kae miezi 6 ndiyo agombee uongozi nyingine inasema siku 7.
Wataelewana tu,na wenyewe sijui wakoje akili zao sometimes hawajielewi.Yaani wanarudia rudia tu makosa,mtu unaandaa waraka halafu unahifadhi kwenye laptop ambayo unaingia nayo kwenye mkutano ambamo maadui zako wamo
 
hiki chama kipo kwa msimu wa uchaguzi tu,lengo ni kuchukua makapi yatakayoachwa na ukawa na ccm!Pia wafuata upepo nao watapokelewa lakini kabla ya2016 watakuwa wamesambaratika kwa chuki na lawama!

Hayati shekhe yahaya
 
Wataelewana tu,na wenyewe sijui wakoje akili zao sometimes hawajielewi.Yaani wanarudia rudia tu makosa,mtu unaandaa waraka halafu unahifadhi kwenye laptop ambayo unaingia nayo kwenye mkutano ambamo maadui zako wamo

mie kwa kweli sielewi kabisa. Ishu zao nyingi hazifanikiwa kwa vile kati yao wengine ni double agents dili zinabumbuluka hata kabla ya kuiva.
 
Ndo ujiulize... sijasikia Zito akisema atagombea ila huyo kibara wa ufipa Limbu naona anaporomoka kama mvua ya mawe.
Huyo wala asikuumize kichwa, anatumika mtaa wa pili. Si unajua siasa zimejaa fitina. Adui yako lazma uhakikishe unampenyezea vibaraka wako ili umvurugie mipango yake na kumpa taswira mbaya mbele ya jamii.
kama zito alivyopenyezwa na CCM,Mtenda hutendwa,siasa rahaaa
 
Kibo10

Sio week, bali kabla ya uzinduzi rasmi (ambao unatangazwa kufanyika Machi 28)🙁
 
Last edited by a moderator:
Matumizi mabaya ya Ruzuku ya Chadema ndo yanayomuwewesesha huyu kibaraka wa ufipa. Aliyemwambia Zito anagombea nani? Mbona watu wanaweweseka na vionjo,je likianza movie si ndo watatembea uchi?

Even me I wonder why!!? Kuna umuhim gani wa kuishambulia ACT-Tanzania wakati adui mkubwa ni mkoloni mweusi ccm? Ukiona mtu anaishambulia ACT, tubashaka na upinzani wake.
 
Back
Top Bottom