Sakata la uenyekiti ACT: LIMBU amvaa Zitto

Sakata la uenyekiti ACT: LIMBU amvaa Zitto

Kwani lazima Zitto awe mwenyekiti? hiyo ndiyo demokrasia waliyokuwa wanaitafuta?
Siyo lazima,si ndiyo wanafanya uchaguzi,kila mtu atagombea ,kura ndo zitaamua,huyu Limbu ni bonge ya kilaza namfahamu mpaka kwao Magu,hata sielewi kwa nini akawa mwenyekiti wa chama,Huyu Limbu ni mropokaji balaa yaani hata sielewi ilikuwaje akawa mwenyekiti wa muda
 
Huyu Limbu anatumwa na Mbowe,huyu Limbu ni msaliti huyu,nyie ACT mlikosa mtu wa kumweka Mwenyekiti hadi mkamuweka huyu karaghabaho Limbu?

Wewe mchepuko wa Limbu nilisikia unamimba yake au umeshaitoa ? naona unasambaza chuki tu!
 
Mh:zito ameisoma hiyo katiba kweli?
Kama ameisoma hiyo katiba na akaielewa basi huyu ni mtu hatari sana kwenye taifa hili! na wala hafai kuwa kiongozi ndani ya nchi hii
Kwanza atakuwa amerudia kosa lile ambalo alifukuzwa nalo chadema,kosa la kuvunja katiba sheria na kanuni za chama
mm nafikiri pengine zito hajaisoma hiyo katika ya chama chake cha act
Hivi Zitto ametangaza kugombea cheo huko ACT?
 
Chadema wana mbinu za kitoto sana,wameshindwa kupambana na ccm wanageukia ACT, hiyo kesi ya limbu imefunguliwa na tundu lisu
Mtaweweseka sana na Chadema mwenye chama anagombana na mwanzilishi wakulaumiwa ni Chadema ajabu kweli kweli.
 
Mtasema yote lakini mwisho wa siku ACT has to stand on its own.

Zikiwa ni dalili za bundi kuendelea kuandama jitihada za Mwenyekiti mtarajiwa wa ACT-Tanzani, BARAZA la Kilimo Tanzania (ACT), limekitaka chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania), kuacha kutumia kifupisho (Nembo), cha jina la chama hicho kwa vile kinafanana na cha baraza hilo la wakulima.
Mwenyekiti wa Baraza hilo, Dk. Sinare Sinare, alisema Baraza hilo limefikia hatua hiyo baada ya kufanya majadilino na kukiandikia barua chama hicho cha siasa mwaka huu kubadili kifupisho hicho, lakini hadi sasa chama hicho kinaonekana kudharau matakwa ya baraza hilo.
Alisema dharau hizo za (ACT-Tanzania), zimesababisha kuleta mkanganyiko kwa wanachama wa baraza la kilimo kushindwa kutofautisha baadhi ya taarifa zinazotokana na vifupisho vya Baraza na chama hicho.
¡°Kinachotokea ni wanasiasa kutopenda kufuata sheria, wao walichotakiwa kwanza ni kufuatilia kwenye mitandao ambako wangegundua uwepo wa jina lenye kifupisho chetu,¡±alisema Dk. Sinare.
Dk. Sinare, alisema baraza hilo, limefikia uamuzi wa kukitaka chama hicho kuacha kutumia kifupicho hicho kwa vile baraza limeanzishwa tangu mwaka 1999 na kupata setifiketi ya kumiliki nembo hiyo ya ACT ya mwaka 2014.
¡°Haiwezekani katika nchi moja kuwa na taasisi mbili tofauti zinazotumia nembo moja inayofanana na kwa yeyote atakayekwenda kinyume kwa kutumia nembo hiyo kwa maslahi tofauti na baraza watambuwe kuwa upo uwezo wa kuburuzwa katika vyombo vya sheria,¡±alisema Dk. Sinare.
 
Jamani si walisema Zitto ndo muanzilishi?tena anatuhumiwa kuanzisha chama akiwa mwanachama wa CHADEMA?
Victoire hizi siasa za bongo tabu sana otherwise utaanza kupatiwa Amitriptyline
 
Last edited by a moderator:
Mh:zito ameisoma hiyo katiba kweli?
Kama ameisoma hiyo katiba na akaielewa basi huyu ni mtu hatari sana kwenye taifa hili! na wala hafai kuwa kiongozi ndani ya nchi hii
Kwanza atakuwa amerudia kosa lile ambalo alifukuzwa nalo chadema,kosa la kuvunja katiba sheria na kanuni za chama
mm nafikiri pengine zito hajaisoma hiyo katika ya chama chake cha act

Naona umeamua kudhihirisha rangi yako halisi..bakizeni na akiba ya maneno muda ni ukuta!
 
Mwenye CV ya Limbu aitandaze jamvini.

Dizaini kama dish limeyumba hivi.

Kama wote hawamtaki atamuongoza nani sasa au anataka kutawala?
 
Siyo lazima,si ndiyo wanafanya uchaguzi,kila mtu atagombea ,kura ndo zitaamua,huyu Limbu ni bonge ya kilaza namfahamu mpaka kwao Magu,hata sielewi kwa nini akawa mwenyekiti wa chama,Huyu Limbu ni mropokaji balaa yaani hata sielewi ilikuwaje akawa mwenyekiti wa muda
Limbu ameanzisha chama ametafuta wadhamini 200 mikoa 10 amekishikilia hadi sasa leo mnamuita kilaza?

Mkimdhulum hakika chama hakitafika mbali.
 
Walilalamikia CDM kubadirisha katiba kinyemela juu ya muda wa uongoz kukaa madarakani lakin siku kazaa apo ACT unamsikia mwenyekiti anasema miez 6 toka mwanachama ajiunge ndio anaweza kushika uongozi wakati huo wanaotaka uongoz na washabiki wao wanasema siku 7 sasa na katika hali ya kawiada huwez ukampa mtu uongoz katka chama cha siasa baada ya siku saba kutua hapo alafu mwenyekiti mmmhhh…!!! Naanza kupata mashakha sasa juu ya ujio huo
 
Back
Top Bottom