Huyu Limbu anatumwa na Mbowe,huyu Limbu ni msaliti huyu,nyie ACT mlikosa mtu wa kumweka Mwenyekiti hadi mkamuweka huyu karaghabaho Limbu?
Na wewe na Mbowe! "alikukopa" nini?
Huyu Limbu anatumwa na Mbowe,huyu Limbu ni msaliti huyu,nyie ACT mlikosa mtu wa kumweka Mwenyekiti hadi mkamuweka huyu karaghabaho Limbu?
Zitto ndio amesababisha kwa kujibanza PAC kwa kutumia mahakamanyie ACT mlikosa mtu wa kumweka Mwenyekiti hadi mkamuweka huyu karaghabaho Limbu?
Kwahiyo hapa nani alaumiwe limbu naye ni kibaraka wa chadema sasa itakuwaje?limbu anapambana na akina mwigamba ambao ni vibaraka wa ccm,sijui kama ayashinda!
Mtasema yote lakini mwisho wa siku ACT has to stand on its own.Huyu Limbu anatumwa na Mbowe,huyu Limbu ni msaliti huyu,nyie ACT mlikosa mtu wa kumweka Mwenyekiti hadi mkamuweka huyu karaghabaho Limbu?
Jamani si walisema Zitto ndo muanzilishi?tena anatuhumiwa kuanzisha chama akiwa mwanachama wa CHADEMA?Huyo Limbu ndiyo mwanzilishi wa ACT, hao wengine wamekaribishwa tu.
Tokea amtangulize Wangwe kaburini,namuona muuaji tuNa wewe na Mbowe! "alikukopa" nini?
Huyu Limbu anatumwa na Mbowe,huyu Limbu ni msaliti huyu,nyie ACT mlikosa mtu wa kumweka Mwenyekiti hadi mkamuweka huyu karaghabaho Limbu?
Tokea amtangulize Wangwe kaburini,namuona muuaji tu
Limbu nani kamdanganya kuwa siasa huendeshwa kijinga namna hii?
Traitors are like water and fire , never unitehiki chama kipo kwa msimu wa uchaguzi tu,lengo ni kuchukua makapi yatakayoachwa na ukawa na ccm!Pia wafuata upepo nao watapokelewa lakini kabla ya2016 watakuwa wamesambaratika kwa chuki na lawama!
Atakuwa kaponzwa na mwanasheria wake MsandoMh:zito ameisoma hiyo katiba kweli?
Kama ameisoma hiyo katiba na akaielewa basi huyu ni mtu hatari sana kwenye taifa hili! na wala hafai kuwa kiongozi ndani ya nchi hii
Kwanza atakuwa amerudia kosa lile ambalo alifukuzwa nalo chadema,kosa la kuvunja katiba sheria na kanuni za chama
mm nafikiri pengine zito hajaisoma hiyo katika ya chama chake cha acatt
Jamani si walisema Zitto ndo muanzilishi?tena anatuhumiwa kuanzisha chama akiwa mwanachama wa CHADEMA?