MWANDEPEKA
Senior Member
- Aug 25, 2014
- 182
- 61
Ngoja waje vijana wa ccm B
Yes, mtu anakuaja leo unamwachia nyumba yako!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Utakuwa ujinga wa hari ya mwisho
Mbona yuko mtaani? Kama unaushahidi peleka mahakamani acha umbea we mtoto wakiumeTokea amtangulize Wangwe kaburini,namuona muuaji tu
Mwosha huoshwa tulia mnyoleweChadema wana mbinu za kitoto sana,wameshindwa kupambana na ccm wanageukia ACT, hiyo kesi ya limbu imefunguliwa na tundu lisu
Mtoto anazaliwa na hapohapo anakabwa koo .
Act ni fagio la chuma, litafagia mpaka sisimizi!
Watu wameshindwa kupambana na ccm wamehamia act hahahaaa nawaona ccm wakishangilia ushind bwelelee Eti tanzania kuna vyama vya upinzani hovyoo!
Acha tupambane na wasaliti act, hatuna haja ya kupambana na CCM chama ambacho kinajiandaa kufunga virago vyake oktoba.
Zitto ana laana ina maana angeenda ccm angetaka uenyekiti?
Hapana Limbu alikuwa ni mwenyekiti wa muda,kwa hiyo inabidi uitishwe uchaguzi ambao ni marchi 28,na kila mtu ana haki ya kugombea,sema Limbu labda kishajua kuwa Zitto atashinda.Any way wataelewana tundiyo maana unaona kwa sasa kuna ACT-Tanzania (Limbu) and hii ya sasa ambayo wanajipambanua wao ni ACT-wazalendo (Zitto).
Limbu nani kamdanganya kuwa siasa huendeshwa kijinga namna hii?
Kwani lazima Zitto awe mwenyekiti? hiyo ndiyo demokrasia waliyokuwa wanaitafuta?Hapana Limbu alikuwa ni mwenyekiti wa muda,kwa hiyo inabidi uitishwe uchaguzi ambao ni marchi 28,na kila mtu ana haki ya kugombea,sema Limbu labda kishajua kuwa Zitto atashinda.Any way wataelewana tu
ruzuku ya Chadema badala ya kutumika kujenga chama mikoani, inatumika kumuhonga Limbu aivuruge ACT. Hata hiyo kesi ameifungua kwa kuahirikiana na Tundu lisu