Sakata la uenyekiti ACT: LIMBU amvaa Zitto

Sakata la uenyekiti ACT: LIMBU amvaa Zitto

Hivi Zitto ametangaza kugombea cheo huko ACT?

Ndo ujiulize... sijasikia Zito akisema atagombea ila huyo kibara wa ufipa Limbu naona anaporomoka kama mvua ya mawe.
Huyo wala asikuumize kichwa, anatumika mtaa wa pili. Si unajua siasa zimejaa fitina. Adui yako lazma uhakikishe unampenyezea vibaraka wako ili umvurugie mipango yake na kumpa taswira mbaya mbele ya jamii.
 
Hizi siasa za ACT zimekuwa kama sarakasi. Pengine mwenye katiba yao aiweke wazi hapa. Ila mtu anafukuzwa CDM leo halafu kesho anahamia ACT halafu mtondo anagombea uenyekiti na au chama kuzinduliwa rasmi Diamond Jubilee. Oops nilisahau, hapo kati wanatembeza bakuli kuomba michango kwa ajili ya huo mkutano. Tena tunasikia malumbano ya uenyekiti kuwa aliyekuwapo alikuwa wa muda tuuu... mpaka uchaguzi upite tutaona sarakasi za kila namna. Ila hiki chama kinatia mashaka sasa.
 
Limbu ameanzisha chama ametafuta wadhamini 200 mikoa 10 amekishikilia hadi sasa leo mnamuita kilaza?

Mkimdhulum hakika chama hakitafika mbali.
Limbu kilaza tu,yeye si alikuwa mwenyekiti wa muda?cha muhimu waelewane wafanye uchaguzi na yeye pia agombee.
 
Ndo ujiulize... sijasikia Zito akisema atagombea ila huyo kibara wa ufipa Limbu naona anaporomoka kama mvua ya mawe.
Huyo wala asikuumize kichwa, anatumika mtaa wa pili. Si unajua siasa zimejaa fitina. Adui yako lazma uhakikishe unampenyezea vibaraka wako ili umvurugie mipango yake na kumpa taswira mbaya mbele ya jamii.

Kama ZZK ametangaza jimboni kwake kuwa hatagombea tena ubunge unategemea atagombea nini kama si urais kupitia ACT? Sisi ni watu wazima,tunajua psychology ya mtu anataka kufanya nini baadaye.
 
Huyu Limbu anatumwa na Mbowe,huyu Limbu ni msaliti huyu,nyie ACT mlikosa mtu wa kumweka Mwenyekiti hadi mkamuweka huyu karaghabaho Limbu?

Hahah yamekuwa hayo tena Limbu anatumwa na Mboye, mtajiju wenyewe chama cha msimu hicho na mboye hawez fanya upuuz wa chama kinachokufa kesho tu
 
Limbu njaa itakuuwa ulikuwa Cuf ukaenda ADC ukaenda ACT wamekubwaga
 
hakuna sehemu yoyote zito amesema atagombea uenyekiti mpaka sasa
huyo Limbu ana mahaba mazito na anasumbuliwa na negativity yake kwa zito
aelewi lolote
tangu zito atoe tamko la kujiunga alichozungumza hata katika accounts zake na popote ni kuhamasisha watu kuchangia sherehe za ufunguzi
na huyo limbu ajiandae kwa uchaguzi anataka apitishwee tu kama enzi za nyerere
inaweka nyerere na kivuli
 
ruzuku ya Chadema badala ya kutumika kujenga chama mikoani, inatumika kumuhonga Limbu aivuruge ACT. Hata hiyo kesi ameifungua kwa kuahirikiana na Tundu lisu

Ni kweli. Kama ndivyo Limbu anashinda hii kesi, hii mashine inaitwa Lisu sio ya kawaida
 
Kama ZZK ametangaza jimboni kwake kuwa hatagombea tena ubunge unategemea atagombea nini kama si urais kupitia ACT? Sisi ni watu wazima,tunajua psychology ya mtu anataka kufanya nini baadaye.

alivyoaga mwishoni bungeni katika speech yake alisema kitu gani kama mahaba yako kwake yapo sawa? au unampenda kinafki maana naona unahunguza hadi saikolojia yake hivi wewe kama sio mbunge wala kiongozi wako anakuhusu nini mpaka yote hayo uyafanyie analysis????
sasa nakuambia Zito alivyokua anaaga mwishoni alisema hivi "Mungu akipenda tutaonana november"
kwa mahaba yako mazito uliwaza nini hapo???
 
Ajatimiza mashar ya miaka atakama angekuwa ametimiza labda akawe rais wa kantigite
 
hapana limbu alikuwa ni mwenyekiti wa muda,kwa hiyo inabidi uitishwe uchaguzi ambao ni marchi 28,na kila mtu ana haki ya kugombea,sema limbu labda kishajua kuwa zitto atashinda.any way wataelewana tu

tatitizo jingine chama kina katiba mbili tofauti, kadi za chama aina mbili tofauti, katiba moja inasema mwanachama akijiunga anatakiwa kae miezi 6 ndiyo agombee uongozi nyingine inasema siku 7.
 
Zitto ana laana ina maana angeenda ccm angetaka uenyekiti?

Kwenye saikolojia namna na historia ya upatikanaji wa mtoto huwa na athari ktk maisha halisi ya mwanadamu. Kuna haja ya kujua historia ya kuzaliwa kwake kwanzia utungaji wa mimba. Nasaba za Baba na Mama. Si mimi hii ni saikolojia.
 
Back
Top Bottom