Sakata la uenyekiti ACT: LIMBU amvaa Zitto

Sakata la uenyekiti ACT: LIMBU amvaa Zitto

Zitto ni mlafi wa madaraka yapaswa kumuogopa kma islamic state(is).
 
Hana Lolote Huyo, Kinachomchanganya ni Misifa ambayo Kimsingi Imemmaliza.Limbukeni wa Siasa. Hata Hivyo Prof. Baregu aliyekabidhiwa Jukumu la Kumlea Kipindi akiwa ndani ya CHADEMA Katuambia Zitto ni Mzigo na Habebeki.
 
sijajau vigezo vinavyompambanua mtu fulani kuwa Mzalendo, hasa hicho cha kinachojihita wazalendo labda tusubiri kuona
 
Matumizi mabaya ya Ruzuku ya Chadema ndo yanayomuwewesesha huyu kibaraka wa ufipa. Aliyemwambia Zito anagombea nani? Mbona watu wanaweweseka na vionjo,je likianza movie si ndo watatembea uchi?
Nakubalina na ww huyu ----- muoaga na anataka kupoteza falsafa ya chama ya kuwa cha haki na huru kwa kila mwny mawazo!anataka kaonjeshwa uchea wa muda tu hivyo hataki kuuachia vpa akiupata wenyewe
 
Ukweli kuhusu ZITTO ZUBERI KABWE wadhihirika!
Siku chache baada ya aliekua mbunge WA Kigoma Kaskazini ZITTO Kabwe kujiunga na chama cha ACT imethihirika kwamba kilicho mfukuzisha CHADEMA yeye pamoja na wenzake Kitila Mkumbo na Samsoni Mwigamba kwa tuhuma za usaliti na kutaka kupindua uongozi WA CHADEMA uliopo madarakani, shutuma hizo zinadhihirika kwa Mara nyingine katika chama dhaifu na kichanga kabisa cha ACT baada ya kufunya jaribio LA kumuengua mwenyekiti WA chama hicho na kutaka kumuweka ZITTO kunyume kabisa na taratibu na katiba ya chama hicho. Hii inaonyesha wazi watu hawa wana uchu wa madaraka au wana mpango wa kudhoofisha kabisa harakati zinazofanywa na wenzao WA vyama vya upinzani vya kuiondoa CCM madarakani. Watanzania tunahitaji kuwa makini sana na watu kama hawa
13654_1591120207841561_820387240799510725_n.jpg
Chama kichanga kimekamata/kimewashika bongo!
 
Machadema mtahara damu mwaka huu
roho ya ccm imeshikiliwa na Lowasa ccm mwaka huu mtaandika mengi mnahangaika na CHADEMA ambayo inazidi kuimarika mnaacha ccm inayokaribia kufa rasmi kabla ya octoba mwaka huu Lowasa hii staili yako ya kuimaliza ccm nimeipenda .
 
Zitto yuko pale kwa kazi maalum ya CCM!!! Kugawa kura za 2015 ili CDM ikose nguvu. ACT mnajidanganya. Kitila Mkumbo ni System na aliwamaliza wanafunzi DARUSO enzi za Urais wake wa Daruso. Na alipenyezwa pale kumaliza nguvu ya migomo na mzee Punch kuifanyia ushushushu. Kwa mantiki hii Kitila na Zitto lao moja tu, kufifisha kura Oktoba!!!
 
Zitto yuko pale kwa kazi maalum ya CCM!!! Kugawa kura za 2015 ili CDM ikose nguvu. ACT mnajidanganya. Kitila Mkumbo ni System na aliwamaliza wanafunzi DARUSO enzi za Urais wake wa Daruso. Na alipenyezwa pale kumaliza nguvu ya migomo na mzee Punch kuifanyia ushushushu. Kwa mantiki hii Kitila na Zitto lao moja tu, kufifisha kura Oktoba!!!

Hapo umenena mkuu kuhusiana na Kitilla. Nilikuwa na wasiwasi mkubwa sana naye. Hata hivyo.anajidhalilisha sana kutokana na njaa yake. Siku si nyingi wataaibika hawa wapinzani wa upinzani.
 
Naunga mkono kauli ya Nape Nnauye kumsulubisha Lowasa anayeanza kampeni mpema. Pia namuunga mkono Limbu kwa kutoachia kiti cha ACT kwa wanyang'anyi.
 
ningekuwa msajili ningeshauri ACT igawanywe! "ACT -wazalendo na ACT-Tanzania ili usajili ufanyike upya,

hii ndo itakuwa suluhu ya kugombea jina au kama kuna kundi halijaridhika basi lisajili chama kingine kwa jina lingine upya,

kwa mtazamo wangu hapo kinachogombaniwa ni jina tu,

sidhani kama hiki chama kina wanachama na mali zozote za kugombewa
 
Kwa anaefahamu anijuze guyz. Huyo limbu anadai katiba ya chama inasema mwanachama anatakiwa awe ametimiza miezi 6 ili kuwa eligible kugombea nafasi yoyote,while uyo abdallah msemaji wa chama anasema katiba hiyohiyo inaruhusu az long az mwanachama katimiza siku 7 za uanachama wake,wale wanachawa awa act au yeyote anaejua kuhusu katiba yao atusaidie katiba inasemaje on that
 
Back
Top Bottom