Sakata la uenyekiti ACT: LIMBU amvaa Zitto

Sakata la uenyekiti ACT: LIMBU amvaa Zitto

Akili za kuambiwa changanya na zako.Toka lini boss na muwezeshaji wa chama akawekewa zengwe..? Na kama kweli hicho kipengele cha kukaa miezi sita kwanza kipo,basi tutasikia amendment ya katiba very soon ili kumwezesha boss ashike hatamu.
 
afande sele atakoma. aliposikua prof j kapata shavu cdm la kuzunfuka nchi nzima na chama nae alitamani hivyo ila akapootoka kuingia act
 
Zitto katiba ya ACT haikuruhusu kugombe kitu chochote mpaka baada ya miezi6.

Mnafiki kila siku unaporomoka kila uchwao
 
Matumizi mabaya ya Ruzuku ya Chadema ndo yanayomuwewesesha huyu kibaraka wa ufipa. Aliyemwambia Zito anagombea nani? Mbona watu wanaweweseka na vionjo,je likianza movie si ndo watatembea uchi?

Yaani mnamkataa mwenyekiti wenu hivi hivi, eti mnasingizia CHADEMA
 
Bora wamfukuze kabisa
Ebu rudi kule mfyuu
Dinazarde, we ungemuuliza "bora wamfukuze kabisa nani?" halafu baadae unamwekea wimbo wa kitorondo kaingiaje huku manake hata kusoma kwenyewe hiyo mada nina uhakika hajaisoma zaidi ya kuja kupunguza maumivu tu huku!

Eti mpwa warumi, bora afukuzwe nani? Mbowe, Zitto, Mnyika, Dr. Slaa, Kikwete, Lowassa au Limbu? Na afukuzwe kwa sababu zipi? Aidha afukuzwe na nani au mamlaka gani? Huyo unayetaka afukuzwe, amevunja kipengele kipi cha katiba ama ya chama au ya jamhuri? Aidha, ni kanuni ipi itakayoongoza kufukuzwa kwake?

NB: Kama huna majibu ya hayo maswali, tafadhali pitia quote hii hapa chini:
Hiyo nyumba sio ya diamond mbona? Ni ya kinje ipo tegeta
Kisha, mbele ya jina lako utaona kamshale kenye rangi ya kijani kanaelekea kulia! Click hako kamshale ili kakurudishe ulikotokea, manake kule unasubiriwa na akina matumbo, Ruttashobolwa, Paula kilaki, Maboso na wengineo wengi... hebu rudi kule!
 
Even me I wonder why!!? Kuna umuhim gani wa kuishambulia ACT-Tanzania wakati adui mkubwa ni mkoloni mweusi ccm? Ukiona mtu anaishambulia ACT, tubashaka na upinzani wake.

Ni hiyo ACT wanaposema Kazi kubwa ni kuisambaratisha CHADEMA na CUF wewe unaona ni sahihi??
 
11083942_801040546652716_1559526027667200553_n.jpg
 
Dinazarde, we ungemuuliza "bora wamfukuze kabisa nani?" halafu baadae unamwekea wimbo wa kitorondo kaingiaje huku manake hata kusoma kwenyewe hiyo mada nina uhakika hajaisoma zaidi ya kuja kupunguza maumivu tu huku!

Eti mpwa warumi, bora afukuzwe nani? Mbowe, Zitto, Mnyika, Dr. Slaa, Kikwete, Lowassa au Limbu? Na afukuzwe kwa sababu zipi? Aidha afukuzwe na nani au mamlaka gani? Huyo unayetaka afukuzwe, amevunja kipengele kipi cha katiba ama ya chama au ya jamhuri? Aidha, ni kanuni ipi itakayoongoza kufukuzwa kwake?

NB: Kama huna majibu ya hayo maswali, tafadhali pitia quote hii hapa chini:Kisha, mbele ya jina lako utaona kamshale kenye rangi ya kijani kanaelekea kulia! Click hako kamshale ili kakurudishe ulikotokea, manake kule unasubiriwa na akina matumbo, Ruttashobolwa, Paula kilaki, Maboso na wengineo wengi... hebu rudi kule!

Akikujibu nahama tz
 
Ukweli kuhusu ZITTO ZUBERI KABWE wadhihirika!
Siku chache baada ya aliekua mbunge WA Kigoma Kaskazini ZITTO Kabwe kujiunga na chama cha ACT imethihirika kwamba kilicho mfukuzisha CHADEMA yeye pamoja na wenzake Kitila Mkumbo na Samsoni Mwigamba kwa tuhuma za usaliti na kutaka kupindua uongozi WA CHADEMA uliopo madarakani, shutuma hizo zinadhihirika kwa Mara nyingine katika chama dhaifu na kichanga kabisa cha ACT baada ya kufunya jaribio LA kumuengua mwenyekiti WA chama hicho na kutaka kumuweka ZITTO kunyume kabisa na taratibu na katiba ya chama hicho. Hii inaonyesha wazi watu hawa wana uchu wa madaraka au wana mpango wa kudhoofisha kabisa harakati zinazofanywa na wenzao WA vyama vya upinzani vya kuiondoa CCM madarakani. Watanzania tunahitaji kuwa makini sana na watu kama hawa
13654_1591120207841561_820387240799510725_n.jpg
 
Teh teh, katiba ya act imeanza kukanyagwa kanyagwa kisa tu zitto apate uenyekiti wa chama hicho! Wadau wenye katiba ya act watuwekee hapa jamvini mara moja ili tuone nani mkweli.
 
Back
Top Bottom