Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,035
- 144,387
Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawapo la kozi ya sheria pale UDSM.
Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika kuwaruhusu Mdee na wenzake kuendelea kuwepo Bungeni pasipo uamuzi au zuio lolote halali la Mahakama.
Tusubiri.
Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika kuwaruhusu Mdee na wenzake kuendelea kuwepo Bungeni pasipo uamuzi au zuio lolote halali la Mahakama.
Tusubiri.