myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 147,570
- 655,915
Bwana P ni mchambuzi mzuri, Yeye kama walivyo Watanzania wengi hujali TONGE lao kwanza kabla ya ukweli..Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawqpo la kozi ya sheria pale UDSM.
Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika kuwaruhusu Mdee na wenzake kuendelea kuwepo Bungeni pasipo uamuzi au zuio lolote halali la Mahakama.
Tusubiri.