Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Mimi nimeishamshtukia Kikwete,,,, amewaweka watu DHAIFU kuongoza mihimili ya dola ili awe anawaburuza anavyotaka kwa kutumia uchovu na udhaifu wao.
Mfano Spika wa bunge ni dhaifu na mchovu, anashindwa kuongoza bunge na maccm na serikali yao wanapitisha kila aina ya takataka bungeni...
Mkuu wa jeshi la polisi ni dhaifu kwa na mchovu, maccm yanapitisha kila aina ya dhuluma huko na kubambikia watu kesi...
Mwanasheria mkuu ni dhaifu, kila mtu anajua kuwa Werema ni kama hakusomea sheria vile..
Mbaya zaidi JAJI MKUU ndio dhaifuest, mahakama imegeuzwa kama jalala la kutupa kila aina ya uchafu. Sasa kama sheria zinakiukwa mchana kweupe maana yake wanataka watu wajuchukulie sheria mkononi, wanataka wanaCDM waandamane kumtoa Lwakatare ili wapate fursa ya kuua watu na kuisingizia CHADEMA. Hakuna dhambi mbaya kama kuutumia msingi wa haki kukandamiza haki. Lakini Kikwete aelewe kuwa 2016 sheria anazopindisha zitapindishwa pia kumsulubisha na yeye