Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

Mkuu Lukolo , Tatizo la watanzania ni wepesi kuamini maneno kutoka kwa wanasiasa bila kuyachuja.

Hebu chukua kiti na ufikirie, unataka kuamini kama Mh. Lissu angeitisha press conference na kusema Lwakatare ni GUILT?.

Wanasheria wa CHADEMA wamekuja kwenye public court kutafuta sympathy na kutaka kubadilisha mtazamo wa watu kuhusiana na hili swala.

Hatuwezi kuanza kujenga mitazamo kuhusiana na kesi kwa sababu hata hatujasikia upande wa pili wa marumbano kisheria.

Nia ya Mh. Lissu ni kutaka kuwavuta viongozi wa CCM ili kuifanya kesi iwe ya kisiasa ndiyo maana ameanza kuwachokonoa ili waanze kutoa matamko ya kisiasa.

Kama kesi atashinda, kulikuwa na umuhimu gani basi wa kuanza kuwahubiria waandishi wa habari?. He's just pre-empting the coming court ruling for political reason. Hata hivyo kwenye maelezo yake aliyotoa kuna mapungufu kibao.

Let's wait and see. Imesemwa, hakuna haja ya kuandikia mate na wino upo.
Sina uhakika sana ina madhara gani kisheria kuongelea suala lililoko mahakamani kwenye public. Nilifikiri ni kosa kisheria kusema haya kwenye vyombo vya habari ilihali kesi ipo mahakamani.
Ninachokiona hapa Ng'wamapalala, ni kwamba Lissu hajaweka wazi kama ile video inayomwonyesha Lwakatare ni fake au ni halisi isipokuwa alichezewa akili ili aseme yale aliyosema. Maana anakubali kwamba Ludovick alikwenda kwa Lwakatare. Then alifanya nini? Ikawaje? Mimi simtetei sana Lwakatare, japo naamini kwa kiasi kikubwa ile video ni mchezo tu wa CCM. Siwezi kabisa kuamini kwamba eti Lwakatare alikuwa anawakilisha mipango ya chama, hicho ni kitu kisichowezekana.
Lets wait and see, litaishaje hili.
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni mfuasi wa CUF?. Mbona Watanzania tunakuwa waongo kiasi hiki?. Basi kama ukitaka kuudanganya umma, jaribu kwanza kupitia mabandiko yako ya nyuma au jaribu kutokusahau ulichokiandika nyuma.

Angalia ulichoandika kwenye hii thread yako,

Ni angalizo tu.

Umeona udili na hako ka u CUF baada ya maji kufika shingon?, endeleeni kutetea video yenu, acha kukimbilia vitu visivyohusiana na mada.
 
Usije shangaa hili likaipatia umaarufu Chadema. Naanza kuiona kama ni movie iliyopangwa kila upande ukitaka kumwingiza mwingine matatani. Wasipocheza vizuri CCM watajikuta wamenasa kwenye mtego wa Chadema. Nani alijua Lema angerudishiwa ubunge baada ya kuvuliwa na mahakama? Katika mazingira haya kuna uwezekano wa kila upande kuwa na 'mapandikizi' Serikali inaangushwa na wataalamu wake ambao wamelewa madaraka kiasi cha kutoonyesha umakini katika utendaji wake loophole ambayo wataalamu wa Chadema wanaweza kuitumia kukuza majina yao na kukiongezea chama umaarufu. Ni mapema kujua nani atatoka na kicheko hapa. Tuvute subira ni mchezo usiotabirika!
Ndiyo maana wanasema Law ia an ass.

Common sense inaonyesha kama Lwakatare ameonekana ni yeye anatenda kosa lakini kwenye application ya sheria anaweza akasepa. Ndiyo maana kuna watu court inawaona wako huru pamoja na kutenda makosa huku wengine wakifia jela bila kutenda makosa.

Mimi nina wasi wasi na wanasheria wa serikali kama wako competent enough kukabiliana na kesi ya ugaidi. Time will tell. Only stupid can dance around.
 
Umeona udili na hako ka u CUF baada ya maji kufika shingon?, endeleeni kutetea video yenu, acha kukimbilia vitu visivyohusiana na mada.
Maji gani yamefika shingoni?. Mbona unaweka watu kwenye box?. (WAO na SISI). Kwani mimi nimeshitakiwa au nimeshitaki mahakamani.

Halafu watu mlivyo na akili finyu, umeisha toa ruling hata kesi yenyewe huijui ilivyo zaidi ya kusikia kutoka kwa wanasiasa tena wa upande mmoja. Ulitegemea Wanasheria wa Lwakatare waitishe press conference na kusema Lwakatare is guilt?.

Tumia ubongo wako vema na epuka kuweka watu ovyo kwenye boxes.
 
Magamba yameumbuka na mikakati yao ya kuichafua CHADEMA...lol! Aibu kubwa!!!!
 
Maji gani yamefika shingoni?. Mbona unaweka watu kwenye box?. (WAO na SISI). Kwani mimi nimeshitakiwa au nimeshitaki mahakamani.

Halafu watu mlivyo na akili finyu, umeisha toa ruling hata kesi yenyewe huijui ilivyo zaidi ya kusikia kutoka kwa wanasiasa tena wa upande mmoja. Ulitegemea Wanasheria wa Lwakatare waitishe press conference na kusema Lwakatare is guilt?.

Tumia ubongo wako vema na epuka kuweka watu ovyo kwenye boxes.

Subiri kwanza mwenzio Magulu akatuthibitishie kama ile video aliyokuwa anatamba kuwa nayo kwa muda mrefu kama ndio hiyo ama ni nyingine, Hapo ndipo tutaanza kuheshimiana.
 
Sina uhakika sana ina madhara gani kisheria kuongelea suala lililoko mahakamani kwenye public. Nilifikiri ni kosa kisheria kusema haya kwenye vyombo vya habari ilihali kesi ipo mahakamani.
Ninachokiona hapa Ng'wamapalala, ni kwamba Lissu hajaweka wazi kama ile video inayomwonyesha Lwakatare ni fake au ni halisi isipokuwa alichezewa akili ili aseme yale aliyosema. Maana anakubali kwamba Ludovick alikwenda kwa Lwakatare. Then alifanya nini? Ikawaje? Mimi simtetei sana Lwakatare, japo naamini kwa kiasi kikubwa ile video ni mchezo tu wa CCM. Siwezi kabisa kuamini kwamba eti Lwakatare alikuwa anawakilisha mipango ya chama, hicho ni kitu kisichowezekana.
Lets wait and see, litaishaje hili.
Mkuu Lukolo , kuna msemo usemao A LAW IS AN ASS.

Wanasheria wazuri wanaweza kucheza na sheria na mtuhumiwa akasepa wakati hata common sense inaonyesha kama ni guilt.

Mimi nina wasi wasi na uwezo wa wanasheria upande wa serikali kama wako tayari kupambana kisheria.

Hata mimi ninafikiri hata kama Lwakatare alikuwa anafanya vitendo kama hivyo havikuwa na blessing ya chama as a whole zaidi ya watu wachache tu.

Sisi ni macho na masikio katika hii saga ya kisheria.

Napenda discussion zako kwa sababu uwa uko wazi katika discussion tofauti na watu wengi hapa JF ambao wako tayari hata kutoa matusi ili tu kuonyesha kama na wao wapo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Lukolo , Tatizo la watanzania ni wepesi kuamini maneno kutoka kwa wanasiasa bila kuyachuja.

Hebu chukua kiti na ufikirie, unataka kuamini kama Mh. Lissu angeitisha press conference na kusema Lwakatare ni GUILT?.

Wanasheria wa CHADEMA wamekuja kwenye public court kutafuta sympathy na kutaka kubadilisha mtazamo wa watu kuhusiana na hili swala.

Hatuwezi kuanza kujenga mitazamo kuhusiana na kesi kwa sababu hata hatujasikia upande wa pili wa marumbano kisheria.

Nia ya Mh. Lissu ni kutaka kuwavuta viongozi wa CCM ili kuifanya kesi iwe ya kisiasa ndiyo maana ameanza kuwachokonoa ili waanze kutoa matamko ya kisiasa.

Kama kesi atashinda, kulikuwa na umuhimu gani basi wa kuanza kuwahubiria waandishi wa habari?. He's just pre-empting the coming court ruling for political reason. Hata hivyo kwenye maelezo yake aliyotoa kuna mapungufu kibao.

Let's wait and see. Imesemwa, hakuna haja ya kuandikia mate na wino upo.

Una ROHO ngumu kijana
 
Last edited by a moderator:
Maji gani yamefika shingoni?. Mbona unaweka watu kwenye box?. (WAO na SISI). Kwani mimi nimeshitakiwa au nimeshitaki mahakamani.

Halafu watu mlivyo na akili finyu, umeisha toa ruling hata kesi yenyewe huijui ilivyo zaidi ya kusikia kutoka kwa wanasiasa tena wa upande mmoja. Ulitegemea Wanasheria wa Lwakatare waitishe press conference na kusema Lwakatare is guilt?.

Tumia ubongo wako vema na epuka kuweka watu ovyo kwenye boxes.

Acha kulalama humu jukwaani waite magamba wenzio waje kukusaidia kujibu hoja.
 
Subiri kwanza mwenzio Magulu akatuthibitishie kama ile video aliyokuwa anatamba kuwa nayo kwa muda mrefu kama ndio hiyo ama ni nyingine, Hapo ndipo tutaanza kuheshimiana.
Mimi ninamheshimu kila mmoja hapa JF. kama wewe huheshimu watu hilo ni tatizo lako, ndiyo maana nikakwambia usiweke watu kwenye boxes. Jisemee kwa nafsi yako na utaeleweka.

Kwani wewe ni mwendesha mashitaka au wakili mtetezi, unaanza kuongelea mambo ambayo hata mahakama haijasema lolote. Kwani Mwigulu akiitwa itaongeza au itapunguza nini katika maisha yangu?. You're just all over the place.
 
Haya maneno nimeyapenda.yanafanana na ya Tundu Lissu kwenye ile taarifa yake.Sijui mwigulu akiisikiliza hizi statements za LIssu anajisikiaje?hakawiii kuropoka kwamba ametumwa na Vasco Da GAma.kama ana akili, muda huu atakuwa anatapa tapa kutafuta wanasheria wa kumtetea.anatamani hii wikiendi isingekuwepo.
Tundu Lissu ni special case jamani wenye wivu wapande miti wajinyoge. Sina hofu kabisa na ninajua chadema walivyo smart kwenye mambo yao hii ngoma ya watoto lazima ikifika jioni wote warudi majumbani mwao wakalale tubakie wakubwa mitaani
 
Na kweli.hata Mwigulu akiitwa haita athiri maisha yako.bora umejitoa mapema
Mimi ninamheshimu kila mmoja hapa JF. kama wewe huheshimu watu hilo ni tatizo lako, ndiyo maana nikakwambia usiweke watu kwenye boxes. Jisemee kwa nafsi yako na utaeleweka.

Kwani wewe ni mwendesha mashitaka au wakili mtetezi, unaanza kuongelea mambo ambayo hata mahakama haijasema lolote. Kwani Mwigulu akiitwa itaongeza au itapunguza nini katika maisha yangu?. You're just all over the place.
 
Mkuu Lukolo , kuna msemo usemao A LAW IS AN ASS.

Wanasheria wazuri wanaweza kucheza na sheria na mtuhumiwa akasepa wakati hata common sense inaonyesha kama ni guilt.

Mimi nina wasi wasi na uwezo wa wanasheria upande wa serikali kama wako tayari kupambana kisheria.

Hata mimi ninafikiri hata kama Lwakatare alikuwa anafanya vitendo kama hivyo havikuwa na blessing ya chama as a whole zaidi ya watu wachache tu.

Sisi ni macho na masikio katika hii saga ya kisheria.

Napenda discussion zako kwa sababu uwa uko wazi katika discussion tofauti na watu wengi hapa JF ambao wako tayari hata kutoa matusi ili tu kuonyesha kama na wao wapo.
Wewe si ndio nimekuambia maji yako shingoni ukajifanya hujui?.
Acha kusingizia uwezo wa wanasheria wa serikali, Kutetea uwongo huwa ni ngumu hata uwe mwanasheria vipi.

Acha ifahamike tu.
 
Back
Top Bottom